Agape Choir EAGT Sinon, Arusha - Namwona

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Agape Choir ni kwaya iliyoko katika kanisa la EAGT Sayuni- Sinoni Mkoani Arusha linaloongozwa na Katibu Mkuu wa Kanisa la EAGT nchini Tanzania Askofu Dr. Leonard M. Mwizarubi.
    Wimbo wa Namwona ni wimbo ulioimbwa katika Ibada ya Christmas tarehe 25.12.2022 katika kanisa la EAGT Sinoni Arusha.
    Mungu wa mbinguni akubariki sana na karibu kuusikiliza wimbo huu wa Christmas.

ความคิดเห็น • 13

  • @janechipeta6231
    @janechipeta6231 11 วันที่ผ่านมา

    ❤❤mbarikiwe kwakweli mnaimbag nyimbo zilizoshiba

  • @agnesmwizarubi7479
    @agnesmwizarubi7479 5 หลายเดือนก่อน

    I love the song❤

  • @getrudetillya1736
    @getrudetillya1736 ปีที่แล้ว

    Yesu ainuliwe katikati ya mataifa!!!

  • @abrahamcharles8895
    @abrahamcharles8895 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki sana Agape Kwaya

  • @barnabamnyasi8077
    @barnabamnyasi8077 ปีที่แล้ว +2

    Namtukuza Mungu kwa ajili ya Agape Choir. Wimbo mzuri sana.

  • @fimboyoseph8146
    @fimboyoseph8146 ปีที่แล้ว +4

    Kweli wimbo huu unanibariki sana.

    • @abrahamcharles8895
      @abrahamcharles8895 ปีที่แล้ว

      Hakika, Bwana ni mwema. Mungu awabariki sana kwa huduma yenye kibali.

    • @fimboyoseph8146
      @fimboyoseph8146 ปีที่แล้ว

      Amina sana

    • @marianakatemi5870
      @marianakatemi5870 ปีที่แล้ว

      Amen.

    • @chezalinaamerika8629
      @chezalinaamerika8629 ปีที่แล้ว

      Hongeren Kwa utume wa uinjilishaji mzuri na kwakutimiza andiko la kumtangaza kristo pasipo kuionea aibu injili ya Bwana,Mbarikiwe sana "

  • @marianakatemi5870
    @marianakatemi5870 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo unabariki sana. Asanteni sana watumishi wa Mungu

  • @andrewloy5176
    @andrewloy5176 ปีที่แล้ว

    Congrats for the powerful song

  • @magretkijanga6038
    @magretkijanga6038 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema sana