Agape Choir EAGT Sayuni, Arusha
Agape Choir EAGT Sayuni, Arusha
  • 7
  • 32 288
AGAPE KWAYA YAWAPONGEZA KWA KISHINDO WAIMBAJI WAKE WALIOFAULU KIDATO CHA NNE 2022
Mnamo siku ya Jumamosi tarehe 17.06.2023 kwaya ya Agape iliyoko katika kanisa linaloongozwa na Askofu Dr. Leonard Mwizarubi waliweza kutekeleza lengo la kuwapongeza waimbaji wanaosoma mashuleni na kupata ufaulu wa daraja la kwanza na la pili. Siku hii tuliweza kumshukuru Mungu kwa kuwapongeza wanafunzi wanne.
มุมมอง: 455

วีดีโอ

Nyimbo mchanganyiko za Agape Choir EAGT Sayuni-Sinoni
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
Agape Choir ni kwaya iliyoko katika kanisa la EAGT Sayuni- Sinoni Mkoani Arusha linaloongozwa na Katibu Mkuu wa Kanisa la EAGT nchini Tanzania Askofu Dr. Leonard M. Mwizarubi. Tumewaandalia nyimbo mbalimbali na karibuni sana kusikiliza na Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Agape Choir EAGT Sinon, Arusha - NDOA BORA
มุมมอง 10Kปีที่แล้ว
Agape Choir ni kwaya iliyoko katika kanisa la EAGT Sayuni- Sinoni Mkoani Arusha linaloongozwa na Katibu Mkuu wa Kanisa la EAGT nchini Tanzania Askofu Dr. Leonard M. Mwizarubi. Wimbo huu wa ndoa bora unapatikana toka Wimbo Ulio Bora 8: 6-7 Mungu wa mbinguni akubariki sana na karibu kuusikiliza wimbo huu unaoleta baraka kwa wanandoa wengi.
Agape Choir EAGT Sayuni, Arusha - YAPENDEZA
มุมมอง 4.9Kปีที่แล้ว
Agape Choir ni kwaya iliyoko katika kanisa la EAGT Sayuni- Sinoni Mkoani Arusha linaloongozwa na Katibu Mkuu wa Kanisa la EAGT nchini Tanzania Askofu Dr. Leonard M. Mwizarubi. Karibu sana katika wimbo huu wa YAPENDEZA. Unaongelea inavyopendeza watu tunapomshukuru Mungu wa mbinguni. Kwani yeye kila siku anatusaidia na kutuwezesha. wimbo huu unatoka kwenye Biblia kitabu cha Kutoka 25: 4-10
Agape Choir EAGT Sinon, Arusha - Namwona
มุมมอง 4.3Kปีที่แล้ว
Agape Choir ni kwaya iliyoko katika kanisa la EAGT Sayuni- Sinoni Mkoani Arusha linaloongozwa na Katibu Mkuu wa Kanisa la EAGT nchini Tanzania Askofu Dr. Leonard M. Mwizarubi. Wimbo wa Namwona ni wimbo ulioimbwa katika Ibada ya Christmas tarehe 25.12.2022 katika kanisa la EAGT Sinoni Arusha. Mungu wa mbinguni akubariki sana na karibu kuusikiliza wimbo huu wa Christmas.
Agape Choir EAGT Sinon, Arusha - YESU KALETA RAHA
มุมมอง 4.7Kปีที่แล้ว
Agape Choir ni kwaya iliyoko katika kanisa la EAGT Sayuni- Sinoni Mkoani Arusha linaloongozwa na Katibu Mkuu wa Kanisa la EAGT nchini Tanzania Askofu Dr. Leonard M. Mwizarubi. Wimbo huu wa Yesu Kaleta Raha unatoka katika kitabu cha Isa. 9: 1-2 na Yha 1: 45 - 46. Karibu sana kuusikiliza
Agape Choir EAGT Sinon, Arusha - Utoshelevu
มุมมอง 7Kปีที่แล้ว
Agape Choir EAGT Sinon, Arusha - Utoshelevu

ความคิดเห็น

  • @janechipeta6231
    @janechipeta6231 11 วันที่ผ่านมา

    ❤❤mbarikiwe kwakweli mnaimbag nyimbo zilizoshiba

  • @NancyJonas-h1j
    @NancyJonas-h1j 2 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana nawapenda

  • @JamesLekeni
    @JamesLekeni 2 หลายเดือนก่อน

    Nimewapenda sana. Bwana Yesu awabariki sana

  • @Sindato-xy3xu
    @Sindato-xy3xu 2 หลายเดือนก่อน

    Amen sana watumishi wa mungu awabariki

  • @agnesmwizarubi7479
    @agnesmwizarubi7479 5 หลายเดือนก่อน

    I love the song❤

  • @EsterSalvatory-yd8ym
    @EsterSalvatory-yd8ym 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri wapendwa mungu awe nanyi🙏🙏

  • @ElizabethMafie-m1g
    @ElizabethMafie-m1g 7 หลายเดือนก่อน

    Waao

  • @jacksonbuyungu9510
    @jacksonbuyungu9510 8 หลายเดือนก่อน

    Na hii liwe fundisho kwa wengine namna ya kuwatia moyo vijana wetu Mara wanapofanya vizuri

  • @jacksonbuyungu9510
    @jacksonbuyungu9510 8 หลายเดือนก่อน

    Safi sana watu wa Mungu. Vijana wanasikia kupendwa na kujali. Keep going

  • @winniejokakuu1551
    @winniejokakuu1551 8 หลายเดือนก่อน

    woooow❤go go dears kwa utukufu wq Mungu

  • @DokiaRenatus
    @DokiaRenatus 8 หลายเดือนก่อน

    Youbu danlodi

  • @Sindato-xy3xu
    @Sindato-xy3xu 10 หลายเดือนก่อน

    Amen sana mungu awabariki watumishi wake

  • @janechipeta6231
    @janechipeta6231 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe agape choir

  • @silvestermwita
    @silvestermwita ปีที่แล้ว

    Nakupenda saaana huu wimbo

  • @oscarmushi3212
    @oscarmushi3212 ปีที่แล้ว

    Safi Sana Agape Choir mmefanya vzr

  • @abrahamcharles8895
    @abrahamcharles8895 ปีที่แล้ว

    Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza ndugu wakae pamoja kwa umoja. Mbarikiwe sana.

  • @fimboyoseph8146
    @fimboyoseph8146 ปีที่แล้ว

    Inabariki sana kuona watoto waliofanya vizuri wanatiwa moyo. Hongera Agape choir.

  • @agnesmwizarubi7479
    @agnesmwizarubi7479 ปีที่แล้ว

    Waoh. Congratulations to our dear sons and daughters

  • @fransiskakimbori3569
    @fransiskakimbori3569 ปีที่แล้ว

    Sifa na utukufu tunamrudishia Bwana YESU 🙏🙏

  • @evasamson6338
    @evasamson6338 ปีที่แล้ว

    Hongera sana watumishi wa Mungu. Hakika kumtumikia Mungu Kuna faida

  • @isackzakayo2206
    @isackzakayo2206 ปีที่แล้ว

    Pongezi saana kwa Agape na Wafaulu wote

  • @shaydebby5678
    @shaydebby5678 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @abrahamcharles8895
    @abrahamcharles8895 ปีที่แล้ว

    Twaona Fahari kuishi na Yesu Milele. Mbarikiwe sana Agape Choir.

  • @GianLobaya-vj2gy
    @GianLobaya-vj2gy ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana watu wa Mungu kwa huduma njema sana

  • @fransiskakimbori3569
    @fransiskakimbori3569 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana na agape kwaya

  • @fimboyoseph8146
    @fimboyoseph8146 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zinabariki sana hizi.

  • @isackzakayo2206
    @isackzakayo2206 ปีที่แล้ว

    Agape !!!

  • @beathabinagwa1659
    @beathabinagwa1659 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana Agape Bwana aendelee kuwatumia ili kutia moyo mioyo ya wengi waliokata tamaa.

  • @eldaisrael3328
    @eldaisrael3328 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana

  • @fransiskakimbori3569
    @fransiskakimbori3569 ปีที่แล้ว

    Amen🙏😇

  • @Africa-123
    @Africa-123 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri

  • @nicksonbrown9914
    @nicksonbrown9914 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri, ujumbe nzuri ,muonekano wa mandhari na waimbaji ni wa kiwango Cha juu sana.Mbarikiwe sana

  • @isackphanuel4334
    @isackphanuel4334 ปีที่แล้ว

    Mungu awainui kwa viwango vinginee vya juu zaidi

  • @andrewloy5176
    @andrewloy5176 ปีที่แล้ว

    Congrats for the powerful song

  • @andrewloy5176
    @andrewloy5176 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana kwa wimbo mzuri. Glory to God.

  • @obiya66
    @obiya66 ปีที่แล้ว

    Good jo

    • @Africa-123
      @Africa-123 ปีที่แล้ว

      Wimbo uliobora

    • @obiya66
      @obiya66 ปีที่แล้ว

      @@Africa-123 mungu awabariki sana

  • @agapekwayaeagtmlimwacdodom9597
    @agapekwayaeagtmlimwacdodom9597 ปีที่แล้ว

    Waoooooh Mbarikiwe sana wapendwa wenzetu, wajina wetu! Mungu awainue zaidi mnafanya vyema!!!!

  • @stallonehezrone9183
    @stallonehezrone9183 ปีที่แล้ว

    Amina utukufu kwa Mungu mbarikiwe kwa wimbo mzuri

  • @sarahfimbo5722
    @sarahfimbo5722 ปีที่แล้ว

    Baraka tele kwa Agape choir. Very nice song.

  • @sarahfimbo5722
    @sarahfimbo5722 ปีที่แล้ว

    Wimbo wa baraka sana huu. Great message in dead. Congrats Agape choir.

  • @isackzakayo2206
    @isackzakayo2206 ปีที่แล้ว

    Waooooo

  • @revostinasamwel8028
    @revostinasamwel8028 ปีที่แล้ว

    Wow! It is a good song kwakweli. Mungu awabariki sana Agape choir

  • @getrudetillya1736
    @getrudetillya1736 ปีที่แล้ว

    Yeah, it teaches indeed

  • @fimboyoseph8146
    @fimboyoseph8146 ปีที่แล้ว

    Wimbo wa baraka sana huu kwa wanandoa.

  • @marianakatemi5870
    @marianakatemi5870 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo unabariki sana. Asanteni sana watumishi wa Mungu

  • @mariamjacob906
    @mariamjacob906 ปีที่แล้ว

    Kazi njema sana wimbo unabariki sana. Inapendeza sana kumshukuru Mungu

  • @getrudetillya1736
    @getrudetillya1736 ปีที่แล้ว

    Jesus is everything!!

  • @getrudetillya1736
    @getrudetillya1736 ปีที่แล้ว

    Haleluyaaaaa... Glory to God!

  • @getrudetillya1736
    @getrudetillya1736 ปีที่แล้ว

    Yesu ainuliwe katikati ya mataifa!!!

  • @geofreyhongoa1740
    @geofreyhongoa1740 ปีที่แล้ว

    Mungu awainue utukufu hadi utukufu