Pt2_Siri:majina ya ukoo yanavyosababisha watu kuteswa na mizimu|USHUHUDA WA BINTI ALIYEKULIA KUZIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 50

  • @stephenmwanza6905
    @stephenmwanza6905 9 หลายเดือนก่อน +4

    Amina dada Mungu akubariki,hii injili ndio mimi nahubiri sitaki kujua nitapendwa ama sipendwi lakini ukweli nitausema,naitwa Mchugaji Stephen Mwanza niko Kenya

  • @nanyamasheilah5695
    @nanyamasheilah5695 9 หลายเดือนก่อน +2

    Karibuni Sana KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 twapenda ndugu zetu watanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-ro6kq5xx2d
    @user-ro6kq5xx2d 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amen, barikiwa sana sana

  • @leonidasbzzojoyhatung3118
    @leonidasbzzojoyhatung3118 9 หลายเดือนก่อน +7

    Kiukweli siri ya mizimu kanisa linateseka kwasababu wachunganji wameona kwamba ni jambo la waganga.ndomana hatutobowi wakati tunatumia bidi kwa kila kitu.😅

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ushuhuda mzuri sana barikiwa dadangu promover tv hongereni kwa kazi nzuri munayoifanya

  • @mariamayambwe
    @mariamayambwe 3 หลายเดือนก่อน +1

    hata mimi nimeteseka sana,wachungaji wakishindwa kukuombea wanakuchukia,wanakupakazia,Mungu awarehemu

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 9 หลายเดือนก่อน +5

    Wow what a testimony. Be Blessed Sister Rabeka may God Protect You and your Ministry. Jacktan be blessed

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ameeeni 🙏🙌 God bless you... ushuda wenye nguvu ujumbe mzito

  • @elpidiusezekiel2729
    @elpidiusezekiel2729 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hakuna watu wabishi juu ya mapambo kama wake za wachungaji na vikundi vya wamama kanisani da

  • @salomekemunto1373
    @salomekemunto1373 9 หลายเดือนก่อน +3

    AMINA AMINA Promover TV pamoja na dada yetu. Mungu azidi kuwabariki Sana kwa kazi nzuri. nimebarikiwa sana, Baraka Baraka katika Jina la Yesu Kristo Mfalme AMINA.

    • @roidajengela9530
      @roidajengela9530 9 หลายเดือนก่อน

      Siku yaja ya hesabu kwa wachungaji wanaosema yalikwisha msalabani na washirika waowako vifungoni.Wao hawaamini kama kuna mizimu inawakwamisha,na Mungu anapowasemesha hawachukui hatua maana hawana imani hiyo na hivyo wanaona ni shetani amesema.Mtumishi shituka Saidia Washirika wako waende mbinguni

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri jacktan,naomba ukampe huyu mtumishi wa Mungu fedrick nafsi yingine he is knowledgeable ili atufunze zaidi.asante

  • @adeladamasi4391
    @adeladamasi4391 9 หลายเดือนก่อน +1

    AMINA 🙏 Mungu baba anisaidiye napenda izoo cheni ereni zavitoo nakuusu mizim atauokoke ni mungu baba asaidiye utoke kwenye mizim

  • @billyisadia5651
    @billyisadia5651 4 หลายเดือนก่อน

    Maombi yetu kila wakazi ziwe pia na kukataa dhambi za ukoo. Ndizo mizimu.

  • @nanyamasheilah5695
    @nanyamasheilah5695 9 หลายเดือนก่อน

    BWANA YESU ASIFIWE 🙏🙏nimejifunza mengi sana kutoka KENYA 🇰🇪🇰🇪 asante sana mchungaji na mama Rebecca kwa ushuhuda huu..haya yote ni kweli na MUNGU aendelee kufunua NEEMA YAKE KWETU tufuniliwe na tukombolewe kutoka Kwa vifungo vyooote 🙏🙏

  • @getrayakoyi9185
    @getrayakoyi9185 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni kubwa mtumishi wa mungu alie hai sema yote usiogope kusema kweli umenifundisha mizimu inatesa wengi mpaka wachungaji Hadi masikofu yesu kristo aturehemu na atufungue

  • @issachege5606
    @issachege5606 9 หลายเดือนก่อน +2

    Me ushanga makanisa Leo hii watu navipodozi ila ukiwambia tuu mnakosana

  • @pastorpetermageta6833
    @pastorpetermageta6833 9 หลายเดือนก่อน +3

    Very inspiring

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 9 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN . MUNGU AKUBARIKI BABA MCHUNGAJI

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 9 หลายเดือนก่อน +3

    Jacktan umulete tena huyo mtumishi atufundishe ana mafundisho mazuri

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  9 หลายเดือนก่อน

      Sawa,tutamleta tena

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amina asante Yesu kwa kutufunulia hizi siri

  • @MarthaZabron-gg3uj
    @MarthaZabron-gg3uj 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekupenda bure

  • @asenathogallo2154
    @asenathogallo2154 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji yuko sahihi sadaka nimuhimu .

  • @FestoJemsi-lr8pw
    @FestoJemsi-lr8pw 9 หลายเดือนก่อน

    ⛓️⛓️ KAMA UNAUZA HUVAAGI NIZAMBI PENGINE NIMEAJILIWA NISAIDIENI

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 9 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN PROMOVER TV TUKO PAMOJA

  • @scolamusa1226
    @scolamusa1226 4 หลายเดือนก่อน

    Kunaukoohauna ushirikina hataukipangajina hakunashida

  • @brunojohn1853
    @brunojohn1853 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kamani huyu dada anaongea kweli.

  • @innocentkaramuta8200
    @innocentkaramuta8200 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nilinunua earrings nikivaa naskia upepo unapita Kwa earrings,niliacha kuvaa

    • @user-jv1qw8rw3k
      @user-jv1qw8rw3k 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hata mm nilikuwa nasikia mungurumo masikioni kama nipo pembezoni mwa bahari na nikivaa cheni nawashwa shingoni nimeacha kwa sass sivai

  • @paulnjoroge8791
    @paulnjoroge8791 9 หลายเดือนก่อน

    Mathayo 5:17-18 Kwa kuwa Kristo hahaha kutangua Sheria na manabii. Ina maana kuw hata hayo yaliyoandikika katika Walawi 5 yanafaa Sisi kuyatenda

  • @HildaPaul-hm4jk
    @HildaPaul-hm4jk 9 หลายเดือนก่อน

    Inamaana huyu mchungaji alikuwa hajaoa mpaka anakutana na Rebecca? Kama alioa kwann asingendelea nae😊

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 9 หลายเดือนก่อน

    ATI huyu binti alipo mtoa mbuzi ndipo alipopona?? Huo ni ushirikina tu

  • @asendeecasa8873
    @asendeecasa8873 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba za huyu mchungaji jamani

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi watoto wangu nimewapa majina ya ukoo wote nifanyeje na wamekua wakubwa

    • @priscillahpolepole8427
      @priscillahpolepole8427 9 หลายเดือนก่อน

      Ingia kwny MAOMBI likatae katika ulimwengu wa Rohoni,hàta wakikuita ww umelifuta Haina shida

    • @priscillahpolepole8427
      @priscillahpolepole8427 9 หลายเดือนก่อน

      Pia usisahau kutoa sadaka

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumish Bado unaongelea kuhani mkuu? Yesu alifata nn saaa

    • @beatricemortensen8533
      @beatricemortensen8533 9 หลายเดือนก่อน

      Ongera kwa kumwelimisha mchungaji huyu, kuna mafundisho mengi ya upotofu.

    • @paulnjoroge8791
      @paulnjoroge8791 9 หลายเดือนก่อน

      Mathayo 5:17-18

  • @stellapaul2442
    @stellapaul2442 9 หลายเดือนก่อน

    Ndo tushaita saa tufanyej jmn

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 9 หลายเดือนก่อน

    Number za uyo mchungaji

  • @backyardmultipleafricanveg791
    @backyardmultipleafricanveg791 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi na na swali je nilazima mtu atowe sadaka kama walio itowa wazee kama walitowa mbuzi lazima na sisi tutoe mbuzi ama? Na je mizimu inatutesa tu ni ya ukoo je wachawi hawawezi tumia mizimu kututesa ? Naomba mnijibu niko kwenye vita ya ndoto na mimi

    • @user-fq6ox8ck4p
      @user-fq6ox8ck4p 9 หลายเดือนก่อน

      Tunatoa Damu ya Yesu na sadaka ambayo itakuuma ( jifunze kwa sadaka ya isaka) kwasababu gharama za sadaka za mizimu ilkuwa kubwa Sana

    • @user-fq6ox8ck4p
      @user-fq6ox8ck4p 9 หลายเดือนก่อน

      Pia alitoa mbuz kwasababu aliunganishwa kwa mbuz

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo majina ya kizungu ndiyo mazuri eti?

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 9 หลายเดือนก่อน

    Sasa pst tufanyeje tuwe salama