TUNAUZA NG'OMBE WA MAZIWA | WE ARE SELLING DAIRY CATTLE | DSM - TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • TUNAUZA NG'OMBE WA MAZIWA | WE ARE SELLING DAIRY CATTLE | DSM - TANZANIA
    SIFA ZA HUYO NG'OMBE KWENYE VIDEO
    Mtamba anamimba ya miezi mitano (5)
    Uwezo wa maziwa ni lita 14-20 kwa siku, akizaa (History ya wazazi)
    Hajawahi kuzaa
    Aina/Kabila/Breed: Friesian.
    NB:
    1. Hatuuzi ndama, wala ng'ombe asiye na mimba.
    2. - Mtamba au aliyozaaa bei ni moja.
    Call/Text/WhatsApp; +255 712 25 31 02
    @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
    Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
    Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo
    Aina (breed/kabila) za ng'ombe tunao wauza ni Friesian, Aryshire, Jersey, Holstein, Fleckvien cows, nk
    Ng'ombe tunaowauza wana uwezo tofauti tofauti wa kutoa maziwa, Uwezo wao wa kutoa maziwa ni lita 14, 16, 18, 20, 25, 30, 35, 40, 45 au zaidi kwa siku.
    Bei ya ng'ombe inategemea uwezo wa ng'ombe kutoa maziwa na kabila.
    Friesian ni moja ya kabila la ng'ombe linalotoa maziwa mengi, ukilinganisha na kabila nyingine za ng'ombe.
    Ukinunua ng'ombe kwetu, utafundishwa bure, namna bora ya kutunza ng'ombe wa maziwa.
    Kwa wateja wa mikoani na Zanzibar mtasafirishiwa ng'ombe kwa gharama nafuu.
    #ngombewamaziwa #Friesian #freshiani #maziwa #ngombe #dairycattle #milk #dairycow #jersey #ngombewakisasa #wauzajiwangombe #arshire #wauzajiwamifugo #shambalangombe
    Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, oppositw na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji aina ng'ombe wa maziwa wasiliana nasi kwa
    Simu:
    +255 712 253 102(WhatsApp)
    +255 692 430 263
    Email:
    mifugotz@gmail.com
    TH-cam: • Tunauza Vifaranga wa b...
    Website link: joackcompany.b...
    Google location: maps.app.goo.g...
    #joackcompany #Kilimo #mifugo #ufugaji #tanzania #mbeya #tanga #daressalaam #morogoro #ufugaji #kilimoufugaji #mwanza #arusha #iringa #dodoma #tanzania🇹🇿
    JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

ความคิดเห็น • 3

  • @mshanastanley9501
    @mshanastanley9501 ปีที่แล้ว

    Weka mawasiliano pia aina ya ngombe lita za maziwa kwa siku, umri wa ngombe, amezaa marangapi????

  • @hemedihanya9799
    @hemedihanya9799 ปีที่แล้ว

    Sasa wekeni namba

  • @janniferkimani5153
    @janniferkimani5153 ปีที่แล้ว

    Munapatikana wapi