SU-57 Jet Hatari ya Urusi Imetua China Kufanya nini?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 43

  • @technology.0508
    @technology.0508 2 หลายเดือนก่อน +4

    Unatisha mkali big up sana

  • @shabanjumanne119
    @shabanjumanne119 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali sana kaka kila siku naweka bando kwaajili ako kaka👊👊👊👊👊

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nice 👍👍

  • @Logicentric
    @Logicentric 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndege za urusi zomekuwa designed kuhimili mazingira magumu. Ndio maana ni rahisi kizimaintain na zinaweza kifanya kazi kwenye hali ya hewa yeyote. F-35 ikipigwa na mvua tu stealth yake inapungua na ni very expensive kuimaintain.
    Unaweza kuangalia Russian Checkmate kama unaangalia mbwembwe ingawa bado haijatoka lakini inaonekana iko vinished vizuri zaidi.
    Lakini mbona SU-57 manaishindwa kuiona huko Ukraine?
    Mara nyingi inaingia kwa strategic missions na kuharibu air defences.
    Wazungu wanapenda kujisifu lakini ukweli umejulikana.
    Russia yuko vizuri sana

  • @evaristbamfu7149
    @evaristbamfu7149 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uote hayo wanayajua hao urusi. Usijifanye wewe unajua kuliko wao.
    Russia siyo nchi ya watu wasiofikiti kaka. Wako mbaaaaaaali sana

  • @MikiJuma-q4k
    @MikiJuma-q4k 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana unatisha

  • @markomapessa9536
    @markomapessa9536 2 หลายเดือนก่อน

    Heat seeking track

  • @essaongongolowo2400
    @essaongongolowo2400 2 หลายเดือนก่อน +1

    Russia always prove them wrong, and they defeat them all who criticize Russia when fighting in the battlefield of war and have a unprecedented superiority in avionic technology.

  • @yahyasuleiman9539
    @yahyasuleiman9539 2 หลายเดือนก่อน

    Mm naona haija feli inataka kuonesha majabu ya hiyo jet ili kuonesha kuwa wnavyoiona waione ila ni ndege ya kuotemabali

  • @MakenziAndrea
    @MakenziAndrea 2 หลายเดือนก่อน +7

    Wizara ya ulinzi ya tanzania inatakiwa imuweke huyu jamaa kwenye sekta ya ununuzi wa siraha .. huenda akachangia mchango mkubw kweny jesh letu hasa kweny maendeleo ya technologia ya kijeshi

    • @kanukanute1514
      @kanukanute1514 2 หลายเดือนก่อน

      Sahihi kbsaa

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 2 หลายเดือนก่อน

      Shida ss hatutaki watu wenye Elim tunampenda kusfia

    • @pixeldrop5874
      @pixeldrop5874 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @ibranoahngidange5909
      @ibranoahngidange5909 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani sisi tuna nunua silaha za kupigana na nani?! Zaidi ya chadema😂😂😂

    • @Emanueli-vz6fd
      @Emanueli-vz6fd 2 หลายเดือนก่อน

      Shida pochi😅😅😅

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yaan we mtaalam sana wa hiz ndege kuliko waliotengeneza inafuraisha

    • @AyoubHajj
      @AyoubHajj 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa kweli achaa jamaa ana juwa sawa ety 😮😮

    • @dunsonditaniumz2811
      @dunsonditaniumz2811 2 หลายเดือนก่อน

      banaa

  • @Справедливость-у1щ
    @Справедливость-у1щ 2 หลายเดือนก่อน

    Всем привет с России. Мы Уважаем всех. Россия не хочет быть первой, но мы не позволим быть лучше нас не кому.

  • @dunsonditaniumz2811
    @dunsonditaniumz2811 2 หลายเดือนก่อน +1

    sisi zetu za Africa ziko wapi za 5th generation

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 2 หลายเดือนก่อน +1

    🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱💯💯💯👍👍

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 2 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏👏👏

  • @lukongerajab1120
    @lukongerajab1120 2 หลายเดือนก่อน

    Maxtech
    Hayo magepu ni lazima Urusi afanye sababu ulipo ongelea ndege hii mwaka 1 uliopita kwenye RCS ulisema ni High Secret kwa kila nchi .Sasa vp leo amuoneshe mchina? Kupitia Radar zake? Na ndege Su57 iliobebwa ipo complete na rada za mchina haziwezi iona kabisa.

    • @Maxtechtv
      @Maxtechtv  2 หลายเดือนก่อน

      Kweli ni siri lakini unaweza ukaficha RCS ya ndege bila kuweka hayo magepu mfano jet za marekani zikiwa zinapaa huwa zinatumia kitu kinaitwa luneburg lenses hizi huwa zinaficha RCS ya jet nimeziongelea kwenye video yangu ya F-35 iliyopotea kipindi kile

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy 2 หลายเดือนก่อน

    Umekuwa shabiki wa ukraine mda mrefu sana wanakupa shingapi bro hao marekani

  • @thebabilon7
    @thebabilon7 2 หลายเดือนก่อน

    Msicho kijua nikwamba J25 wanaoitengeneza niwa China na S35 ya marecani wanaoitengeneza niwa China pia Marecani hawana ubunifu wowoteule 😂😂😂😂

  • @geofreypeter714
    @geofreypeter714 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tuletee uchambuzi wa bomber plane ya china h_20

  • @shabanjumanne119
    @shabanjumanne119 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kila siku mi wakanza

  • @ALLYZAHOLO-gr9py
    @ALLYZAHOLO-gr9py 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ckuelewi kabisa

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 2 หลายเดือนก่อน

      Kesho uta muelewa

  • @SalumuChamkulu
    @SalumuChamkulu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yani wewe unaakili kuliko Russia

  • @AllySule-t9g
    @AllySule-t9g 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wacha ni subscribe nauongo wako wewe umeipate hiyo story wakati East Africa hamtengenezi zaidi ya sufuria zakupikia ugali😂😂😂😂

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 2 หลายเดือนก่อน

      😢😂😂

    • @АлексАндров-б1м
      @АлексАндров-б1м 2 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

    • @toshizohijikata9164
      @toshizohijikata9164 หลายเดือนก่อน

      NA DEGE LISILOLIWA, USICHEZE MBALI NA UNGA ROBO,TAFAKARI MAARAGE NI MBOGA AU FUTARI WANGA WENGI ANGA ZANGU!

  • @maxwellmkandawire3162
    @maxwellmkandawire3162 2 หลายเดือนก่อน

    Russia wamefisha Kutu hapo

  • @jamesmarumbo6820
    @jamesmarumbo6820 2 หลายเดือนก่อน

    Wabongo wajinga sana kila mala tunapewa habari za mabeberu wakat hapa kwetu kuna habari nyingi za kujadili nyie umnajadili upumbavu wa mabeberu!! habari zao zinatuhusu nini sisi watanzania

  • @jastinmkoba
    @jastinmkoba 2 หลายเดือนก่อน

    Tupia video Kila siku tupo na wewe sie tunapenda vitu kama ivi ambavyo vinatupa amadini katika ubongo

  • @abuukajembe-to6sd
    @abuukajembe-to6sd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waoo sio wajinga ww

  • @Gadielrussia
    @Gadielrussia 2 หลายเดือนก่อน

    nyie mnataka muwekewe Kila kitu waz mjuie Kila kitu wa Russia sio wajinga