NMB Bank yatenga TZS Bil. 200 kwa ajili ya kutoa mikopo kwa machinga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ก.พ. 2022
  • Ni wajibu wetu kuhakikisha tunainua wafanyabiashara wadogo ‘Machinga’ kiuchumi.
    Tumetenga Sh.bilioni 200 kwa ajili ya kuwapa mikopo Wamachinga.
    Usipitwe na hii! Lakini pia kata Bima maalum ya Machinga dhidi ya moto na mafuriko kuanzia Sh. 10,000/- kupitia matawi yetu.
    #NMBKaribuYako

ความคิดเห็น •