WAFANYABIASHARA WAGOMA SIKU 2, WAMWAGA MACHOZI MBELE YA MBUNGE - ''TUNA MSIBA, TUSAIDIE BABA''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024
  • WAFANYABIASHARA WAGOMA SIKU 2, WAMWAGA MACHOZI MBELE YA MBUNGE - ''TUNA MSIBA, TUSAIDIE BABA''...
    Tangazo la Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu la kuhamisha Mnada katika Mji wa Dutwa limezua taharuki katika mji huo na kusababisha mgomo wa siku mbili wa wafanyabishara wakubwa na wadogo kufunga maduka yao.
    Zaidi ya Maduka 300 yalifungwa na kuleta taharuki kubwa kwa wananchi katika kujipatia mahitaji muhimu kutokana na ukubwa wa mji huo.
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 3

  • @NchamaLude
    @NchamaLude ปีที่แล้ว

    Ushauli wangu, viongoz mpange kila ck ya wiki kuwe na mnada vijiji tofaut tofaut ili ongezeko la watu ilipungue hapo dutwa, pia mnapowahamisha waandalien mazingla mazur, mnawaandaa kwa mda mrefu, hamjui kuliliwa na watu au wazazi ni laana kubwa sana jitahdin msipende kuliliwa na watu ktk utumishi kunasik mtastaafu ndyo mtaona kila sula ulio izurum kama inakujia hiv, jitahdin jamani maisha ni hayahaya, kila mmoja anapo amka anaomba mwenyez mungu ampatie riziki, wapen hata mwaka wajiande wasije kulalamika binadam anapolia machozi kwa wakat wake ipo ck nawe anae kulilia utalia kwa wakat wako, ck ya kuwaatangazia, mbuge anakuwepo, madiwan, tanrod, hata mnapowaambia sasa wanawaelewa, na kingine hapo dutwa mnada haukai ck mbili, mnada ni ck moja tu na ck za kilimo watu huw syo weng, viongoz limalizen hilo kwa kushirkiana, achen kujengeana chuki na wanaichi. Mwenyez mungu akawatangulie. Kila kitu kikienda kwa utaratibu baraka zipo tu, kila kitu kikienda kwa vurugu ni laana kubwa, hata usipo iona wewe neno la mungu linasema nawapatiliza wana maovu ya baba zao. Jiepshen na laana hiyo ni mbaya sana vyeo vinapta tu , akili nyingi na syo nguvu nying.