SIDE CHICK (Mchepuko) EP 03|| S01 || LOVESTORY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 139

  • @SadaMohammedIssa
    @SadaMohammedIssa 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Yani hii move moto❤❤❤

  • @Lovekidoti32
    @Lovekidoti32 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Kilamba na somoe kila movie ni wapenzi, me nawapenda mnaendana❤

  • @Annabellekerry
    @Annabellekerry 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kendy unanunua mapenzi kwa kai😂😂😂😂😂😂

  • @DanilovianaViana
    @DanilovianaViana 23 นาทีที่ผ่านมา

    Kiramba IPO vizuri sana shukuruni sana kwa Mashauri mazuri 🎉

  • @EmmyYorammy
    @EmmyYorammy 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Zuu umemsahau candy 😂😂 unamchukulia mumewe tena

    • @JohariMakinda
      @JohariMakinda 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umeonaeh

    • @JohariMakinda
      @JohariMakinda 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Zuu jamni anapenda kumchukilia Kandy kila mume wa kendy anamtaka yeye

    • @JohariMakinda
      @JohariMakinda 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Zuu jamni anapenda kumchukilia Kandy kila mume wa kendy anamtaka yeye

    • @HarunAyoub
      @HarunAyoub 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mimi naona kama story zinaenda kukutana kwa mara ya pili jaribu kuwaza sana na kuleta idea ingine hizi movie mpaka sasa ni pale pale tuu kwa house girl tunebadilishiwa tu hapa kaekwa yule na kule kaekwa huyu

    • @HarunAyoub
      @HarunAyoub 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wacha tuone muendelezo wake tuone yatayo jiri nna imani kuna kitu special kinakuja😂😂😂

  • @machozimukucha
    @machozimukucha 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ILA Candy jamani nikiboko kweli 🎉❤❤

  • @ZawadiMumba-xw3uf
    @ZawadiMumba-xw3uf 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi nzuri❤

  • @MwanaidiJuma-x2y
    @MwanaidiJuma-x2y 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jaman move tamu sana Ii toeni vipande mapema

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Da zuu nakupenda bure mdogo wangu ❤❤❤❤❤

  • @sakina5550
    @sakina5550 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tasha jamn pole sana😢😢 kilamba kazi nzur🎉🎉🎉🎉

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kszi nzr ❤❤

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tasha iyo Minywele Sijapenda

  • @AishaMwagambo
    @AishaMwagambo 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Tasha kayatimba😂😂😂

  • @IreneMwenda-v7w
    @IreneMwenda-v7w 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Na mm nawahi leo ila naomba like hata Moja tu

    • @waraha2024
      @waraha2024  10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      hongera sana shabiki yetu wa nguvu

  • @RahelMhezi-f9o
    @RahelMhezi-f9o 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tasha kayatimba kazi nzr jaman pokeeni 🎉🎉🎉🎉

  • @SalmaFataki
    @SalmaFataki 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu.awabarik

  • @agnesspeter5181
    @agnesspeter5181 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Waoooh kazi iko pw san

    • @waraha2024
      @waraha2024  10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      shukrani sana

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Yani candy nimekuzalau mpaka mwisho huna Akili yani unataka udai talaka Kwa sababu ya huyo kibenteni...

    • @MariaSalim-u5z
      @MariaSalim-u5z 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Sasa unadai vp talaka kwa ajili ya MTU ambaye wew ndo unamhonga ila candy

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Jamani Tasha pole sana ivi uliwazaje kumuowa Candy jamani 😂😂😂😂umeva bala kaka mtoto wetu apo umepatikana😢

    • @SerenaKarembo
      @SerenaKarembo 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kapatikana haswa😂😂😂

  • @MiriamuMuro
    @MiriamuMuro 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hizo nywele Tasha hazijakupendeza kabisa

  • @MiriamuMuro
    @MiriamuMuro 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hatimaye kilamba kamuowa somoyeee. 😂😂😂😂

  • @EsterPeter-l2k
    @EsterPeter-l2k ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dad zuu nakupenda sana kpnz

  • @SimoniJuma-zc6ld
    @SimoniJuma-zc6ld 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😅😅😅😅😅😅daaaa kend wewe nikiboko aisee daaa unafrahisha sana hongeren😅😅😅😅😅❤❤❤ kwa kaz nzur

  • @machozimukucha
    @machozimukucha 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polesan Mr Tasha 🎉🎉❤❤❤

  • @aishahamis1609
    @aishahamis1609 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani nimefurahi tasha kwenda kwa zuu

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi nzuri sana ❤❤❤❤

  • @PendooDwii-lv3tk
    @PendooDwii-lv3tk 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kai nyonya maisha baba

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nimewahi😂😂😂😂😂😂😂

    • @waraha2024
      @waraha2024  10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      hongera sana kwa kuwahi, usisahau kushare na kwa wengine ili wafurahie kazi nzuri

  • @yunicebanelle1173
    @yunicebanelle1173 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kend unazinguwa ...ukiamua kuwa na serengeti boys uwe na hela usiwe tegemezi 😂😂😂

  • @WiltherArisa
    @WiltherArisa 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Candy role waicheza vizuri kweli,,kuna wanawake aina hii ,kama akuna pesa hakuna heshima🙆🙆🙆🙆Kazi nzuri nawapenda sana❤❤

  • @FatumaJuma-vk8nv
    @FatumaJuma-vk8nv 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    I move n ya moto kwa kwel 🎉🎉🎉🎉

    • @waraha2024
      @waraha2024  10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      shukrani sana

    • @FatumaJuma-vk8nv
      @FatumaJuma-vk8nv 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@waraha2024🙏

  • @GinaFaruqueFaruque-e6j
    @GinaFaruqueFaruque-e6j 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana Mr tasha ❤❤❤ tupe muendelezo

  • @JoyceKayombo-y3g
    @JoyceKayombo-y3g 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Movie nzuri Ila ongezen dakika

  • @FaithGeoffrey-i8c
    @FaithGeoffrey-i8c 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wah Tasha wagu pole xana lkn unaeda na zuri kabxa

  • @coolboymicky3651
    @coolboymicky3651 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    💯💯💯

  • @MagrethKasomo-w7n
    @MagrethKasomo-w7n 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani ni funzo tosha kwa mimi ninae nakrbia kuongea kweny ndoa❤❤

    • @Swabrina-
      @Swabrina- 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mashallah kila la kheri❤

  • @AsmasaidiTitu
    @AsmasaidiTitu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tasha umeolewa kweli kendy mavi

  • @Frank-l2k
    @Frank-l2k 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kendy wewe mwisho wako kitakutaramba tu I say!!!😢😢😢

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Candy hii secter imempendeza na vile Yuko mcharuko😂😂😂

  • @FelistusKimanzi-f2g
    @FelistusKimanzi-f2g 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂noma sana

  • @EvalineDaniel-l5m
    @EvalineDaniel-l5m 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi nzuri

  • @LennaAjiambo
    @LennaAjiambo 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leo mm pia naomba yangu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimefurahiswa Na Maneno ya some 🎉🎉🎉🎉 movie tamu km asali kiramba hiii movie unaitendea haki ❤❤❤ jmn kendy uko mashaallah 🎉🎉

  • @ZainabuRiziki-e9z
    @ZainabuRiziki-e9z 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana mr tasha

  • @SuzyAna-vu9li
    @SuzyAna-vu9li 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zuu kasahau yanyyma😂😂

  • @MiriamuMuro
    @MiriamuMuro 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila candy Ni kiboko jamaniii duu vurugu Hadi kwenye bao 😂😂😂😂😂😂

  • @AdelinaUhinga
    @AdelinaUhinga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole Tasha Ila umeuvagaa kend

  • @LatifaChaibo
    @LatifaChaibo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tasha hujapendeza staili ya nywele badili samaan hauko sawa

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tasha hupendezani na candy jamani 😢umeyakanyaga

  • @Hopekiti
    @Hopekiti 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kilamba na somoe mwaendana❤🎉🎉 Tasha wetu pole😢😢 umepatikana round hii😅😅

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 32 นาทีที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤🎉

  • @ZahraZahrabakari
    @ZahraZahrabakari 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtu n bff wake pambeee🎉🎉🎉

  • @ZubedaBita
    @ZubedaBita 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kay tafuta kazi alafu ndo unamwambia adai talaka

  • @JosephineJacob-zo8sq
    @JosephineJacob-zo8sq 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaz nzr

  • @ErastoMsemwa
    @ErastoMsemwa 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tasha umeyakanyaga pole

  • @user-marionkerubo
    @user-marionkerubo 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤

  • @PhilbertHabonimana-o1z
    @PhilbertHabonimana-o1z 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kai arikuanataka helatu hakunabingine mapenzi kawa kend hana

  • @FarajialadaFarajialada
    @FarajialadaFarajialada 4 นาทีที่ผ่านมา

    yan kendi kla movies anakua guzo kwann hawi msitaalabu kdog

  • @AdelinaUhinga
    @AdelinaUhinga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kai Kai tafuta pesa zako

  • @saidabakarsalmini691
    @saidabakarsalmini691 2 นาทีที่ผ่านมา

    Anaye kubali kuwa Tasha kaharibu muonekano wake nywele tujuani 😢😢🎉🎉

  • @MimiMunezero
    @MimiMunezero 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Wa pili nipeni like

    • @waraha2024
      @waraha2024  10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      safiii

  • @Thuma-g8o
    @Thuma-g8o 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Cendy hauna hakili Kai yuwasema huashe mumeo nayeye ndie yuwampa cendy maokoto hakuletee Leo wasema yy ndie kilakitu kwako

  • @MwanaidiJuma-x2y
    @MwanaidiJuma-x2y 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yan cendy Kila movi Kila siku utakua wa bahati mbya tu.. mm nipo hap zuu anagombania Jimbo ilo wewe chezea

  • @ReginaJanuary
    @ReginaJanuary 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie watu hatar

  • @BenadethaPaul-s4n
    @BenadethaPaul-s4n 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Candy wavunja mbavu zangu mm

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Candy sio bure ukajitafutia flana ya lebo "RARE" kweli tabia zako muozo ni rare hazipatikan kwa wanawake wote😢

  • @MagrethMwajombe
    @MagrethMwajombe 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tasha hizo nywele mm sijazielewa hata kidogo hujapendeza

  • @SerenaKarembo
    @SerenaKarembo 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Enyewe kukokea maisha ni kukosea kuoa😢😢😢😢

  • @aishahamis1609
    @aishahamis1609 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi candy adai talaka afu atahonga nini maana kibenteni chake hakina pesa kila siku kinagongea😂

  • @SaumKhusein
    @SaumKhusein 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyu cady jmn

    • @waraha2024
      @waraha2024  10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      anamnyanyasa sana tasha

  • @MiriamuMuro
    @MiriamuMuro 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila kilamba. Anaongea sana mpunguzieni muda .. anaongea mnoo kilamba Hadi anaboa

  • @SalmahLuvuno
    @SalmahLuvuno 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila candy bwana haachi😂😂

  • @ZenahZeynah
    @ZenahZeynah 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Wa kwanza🎉🥳

    • @waraha2024
      @waraha2024  10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      umetisha sanaaaaa zena

  • @janeburu6538
    @janeburu6538 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tasha hio Siyo ndoa ni ndowano kendy mwenyewe anakuchiti ebu muowe zuu alafu tu me miss house geril jamani😮😮

  • @JentrixSungu
    @JentrixSungu 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wee Kai tafuta pesa zako Wacha kula pesa za mwanaume mwenzio huna ata aibu ntk pia wewe kendi Kuna wale wanataka iyo ndoa siku Moja utalilia choo

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii Imekaa je Kaaje . Kai Kumwambia Kendi Adai Talaka Hili Aweze Kumuo. Na Kila Kukicha Anataka Ela Kwa Kendi . Ebu Tasha Fanya Umwache Uyu Kendi Tuone Kama Kai Atamuoa Au hilikua Story Ya Bunuasi😂

  • @MarryKahando
    @MarryKahando 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tasha kwenye draft kavaa viatu vyeupe kalud om kavaa vyeus walio tambua ilo like apa😅😅😅😅😅

  • @AnisaZanibu
    @AnisaZanibu 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Candy maamzi unayo yafanya utakujajuta sana

  • @davidoj6689
    @davidoj6689 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wa mia 500

  • @NuruSalum-x2t
    @NuruSalum-x2t 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Leo wa 22 like japo moja

  • @akimanamariam4451
    @akimanamariam4451 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kady weye utakuja kuriya mwisho wa sik

  • @rechomusango2184
    @rechomusango2184 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ila huyu kai,,kam nyau vile 😅

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DianaNelima-i5i
    @DianaNelima-i5i 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nani aliwaleta hawa pamoja tena mamaanisha candy na sania😅

  • @sarafinafungo2067
    @sarafinafungo2067 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tasha amebadilisha viatu saa ngap kwny draft viatu vyeupe njian vyeusi

    • @maskiniHanamshirika
      @maskiniHanamshirika 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Upo vzr ime idi niregeshe nyuma movie😂😂😂😂

    • @sarafinafungo2067
      @sarafinafungo2067 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂​@@maskiniHanamshirika

  • @SamouOman
    @SamouOman 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Love sania

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Assalam alaykumu walhama tullahiwa barakatuh!
    Nduguzangu wafwatiliaji wa SUDECHK( MCHEPUKO
    Njeemunavyoona Tasha wakatimgumu anaaoupitia unaweza mushaulinini iliawezekujiepesha nahayamatatizo yanaomukumba kilawakati
    Mimi wakwanza
    namuomba asimuonyeshe chochote kibayakuhusu Muke wake iamwache hivyohivyo bdaae atapatamjibu kutokakwa Allah
    huyo Muke wake atakujaangukiapua
    mdasimulefu ahsante

    • @UmaziTsuma-vu8nj
      @UmaziTsuma-vu8nj 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Walaykum msalam warrahmatullahi wabarakatu

  • @FarhhFarhh
    @FarhhFarhh 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaznzuaanana❤❤❤❤❤❤❤

  • @MwajumaKhamis-d5b
    @MwajumaKhamis-d5b 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani candy hafai kuwa mke hata kidogo candy mcharuko kaziwea kudanga Tu mshenzi

  • @fatumamkuzi8051
    @fatumamkuzi8051 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kijira cha harusi bado mkovo
    Nime ipenda sana yane huyu ndo anasema udaipur talaka kumbe pia nae n omba omba

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Candy we una acte scène za kua mukali duuuh pol tasha 😢😢

  • @mejubagu6825
    @mejubagu6825 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mfumbo mfumbie mjinga mwerevu hutambuwa

  • @HUSNANyosso
    @HUSNANyosso 58 นาทีที่ผ่านมา

    Mr Tasha usirudie tena kuweka hiyo daw uloweka kichwani umeharibu nywele

  • @ZeinabBakar-je4nr
    @ZeinabBakar-je4nr 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dhaaa nimelate sana ño 31😂😂😂😂 naombeni like jamani nawapenda 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @IsabelFelipeNhakunhaku
    @IsabelFelipeNhakunhaku 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kai unamwambia kendy aombe talaka na ww MDA auna lolote .kweli jamani

    • @fatuma6011
      @fatuma6011 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hapo ndio candy anafaa atumie akili

  • @MwajumaKhamis-d5b
    @MwajumaKhamis-d5b 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tasha kaowe zatiti wako😂😂😂

  • @EdithAteka
    @EdithAteka 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa candy unaitiza talaka na kai anakutegemea kutoka kwako huoni unajiweka hatarini

  • @AminaNgumba
    @AminaNgumba 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa ww candy hujifikilii huy kai kila kitu anakutegemea ww alaf anakushawishi udai taraka naww unaliafik