#EXCLUSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 77

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 2 ปีที่แล้ว +11

    Hongera sn Diva kwa kuwa ni Shabiki Mzuri wa Jonas Mkude.... Kipindi kimeenda Vizuri sn 👏👏👏👏👏👏👏

  • @adamhussein8494
    @adamhussein8494 2 ปีที่แล้ว +7

    thanks babra for love mkude

  • @zou7470
    @zou7470 2 ปีที่แล้ว +7

    Diva leo limekushuka ulijuwa atasema wasani wa wcb Kond geng for life 🤣🤣🤣🔥💪

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 2 ปีที่แล้ว +4

    Mama mshamba kavaa miwani ya jua chumbani. Anadhani kuvaa miwani kuwa smart,hajui kuvaa wakati gani.

  • @erickselei3426
    @erickselei3426 2 ปีที่แล้ว +4

    Genius nungunungu chuga huku wakwetu kabsaa maniger

  • @nostresslyly5454
    @nostresslyly5454 2 ปีที่แล้ว +12

    Big up sn brother diva amejuwa watataj wa star wa wasafi 🤣🤣🤣🤣jeshiiiiiii oyeeeer

    • @zou7470
      @zou7470 2 ปีที่แล้ว +1

      Umeona limemushuka 🤣🤣🤣

  • @sadikilumumba1370
    @sadikilumumba1370 2 ปีที่แล้ว +10

    Diva unajuwa kutongoza kuliko wa nahume. AHiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🙌

  • @niyogushimaoscar9248
    @niyogushimaoscar9248 2 ปีที่แล้ว +10

    Mkude ni team konde gang🤣🤣💪💪

  • @emanuelanthony6830
    @emanuelanthony6830 2 ปีที่แล้ว

    Mkudeee anakuambiaa anaikubali Outside💪💪💪💪

  • @ernesternest1325
    @ernesternest1325 2 ปีที่แล้ว +4

    Ilove this interview

  • @awadhkupela9511
    @awadhkupela9511 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole ka mkubwa nungu nungu ,utapona inshallah

  • @zanzibarsafi2882
    @zanzibarsafi2882 2 ปีที่แล้ว +2

    Gusa hapa kumsikiliza mshabiki mkubwa wasimba jr super bebe

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 2 ปีที่แล้ว +2

    Diva atari sana

  • @Official83640
    @Official83640 2 ปีที่แล้ว +2

    Diva hd kwenye kipindi jaman kah mnafundisha nn watoto wetu eeh

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 2 ปีที่แล้ว +5

    Nipigie na mm ni mshabiki wako nipo vizuri kwakweli napiga jembe bala huku kwetu tukuyu 🙆

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 2 ปีที่แล้ว +2

    Diva nisalimie NINAH muambie nampenda sana ni karembo na kapole

  • @mussamussa9446
    @mussamussa9446 2 ปีที่แล้ว +9

    Ameambiwa anapanda outside ya Harmonize anauliza tena mwishoni achague nyimbo Mkude kajiongeza kamtaja JUX, lazima muamini KONDE BOY aka JESHIIII aka TEMBO ndio habari ya JIJI .

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 ปีที่แล้ว

      Kwel maaana ndo anaongoza kwa tuzo za njeee🤣😂

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 2 ปีที่แล้ว +10

    Nimegundua kitu kimoja kuwa mademu wazuri wanapenda masela wenye pesa ya kubadilisha mboga na kigari cha mizunguko ya town.😂😂😂

    • @paulhollela9493
      @paulhollela9493 2 ปีที่แล้ว

      Haswa hawa mademu wenye shepu ndo maana mimi nataka demu aliyekonda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @afroboytv5339
    @afroboytv5339 2 ปีที่แล้ว +9

    Harmonize the East African icon.

    • @bongotrending2255
      @bongotrending2255 2 ปีที่แล้ว +1

      Diva kapoa baada kusikia katajwa harmonize adi sura ikachange 😁😁😁😁

    • @zou7470
      @zou7470 2 ปีที่แล้ว +1

      Diva limemushuka 🤣🤣🤣

  • @shaibufungo3363
    @shaibufungo3363 2 ปีที่แล้ว +6

    Diva jamani anatisha

  • @deusichaupele170
    @deusichaupele170 2 ปีที่แล้ว +2

    Diva nitumie nooo

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 ปีที่แล้ว +2

    Diva umekuwa mzuri sana tangu uje Wasafi. Nini siri yako mamilake?

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mwizi huyu duuu

  • @Bruno4cus
    @Bruno4cus 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmeishiwa content

  • @reaganevral5258
    @reaganevral5258 2 ปีที่แล้ว +4

    Diva tupiliya mbali nyimbo ivi amesikiya harmonize njo anapendwa 😀😀😀...na angela 😀😀...japo ulitafuta tiya nyimbo..wewe😀😀

  • @hamidangitu227
    @hamidangitu227 2 ปีที่แล้ว +2

    Diva simuelewi na simba jaman

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 2 ปีที่แล้ว +3

    DIVA mwekundu

  • @ramadhanmkindu631
    @ramadhanmkindu631 2 ปีที่แล้ว

    Big up Sana diva

  • @mayilahamisi3730
    @mayilahamisi3730 2 ปีที่แล้ว +7

    Diva aliposikia jamaa anampenda Harmonize hadi na mood ikapungua 🤣🤣🤣

    • @zou7470
      @zou7470 2 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣

    • @mussamussa9446
      @mussamussa9446 2 ปีที่แล้ว +1

      yaaani ameishiwa pozi zote

  • @vocatusmecksedeck5793
    @vocatusmecksedeck5793 2 ปีที่แล้ว

    Diva una sula mbaya lakini sauti mungu lakujalia

  • @whimsymaverick3057
    @whimsymaverick3057 2 ปีที่แล้ว +2

    Dada wa Kimarekani

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 2 ปีที่แล้ว +2

    Wanawake dah

  • @awesosaladi3638
    @awesosaladi3638 2 ปีที่แล้ว

    Jeshiiiiii

  • @jemsichali5437
    @jemsichali5437 2 ปีที่แล้ว +6

    Nyie si mmeombwa wimbo wa Konde haaaahaaaaa

    • @zou7470
      @zou7470 2 ปีที่แล้ว +1

      Mukumbushe uyo mjinga🤣🤣🤣amejitowa akili gafla

  • @nurumwenkale7278
    @nurumwenkale7278 2 ปีที่แล้ว +2

    Diva nahic ulijua atatajwa mond ! Dah konde gang c mchezo

  • @mussamgande2530
    @mussamgande2530 2 ปีที่แล้ว +2

    Yani ww diva unatongoza live 😂😂😂😂 Ila kisauti chako tu kinashawishi

  • @bensonfrancis5599
    @bensonfrancis5599 2 ปีที่แล้ว +2

    Wasafi wanajua kutafta hela

  • @iamsixbert_tx5289
    @iamsixbert_tx5289 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh

  • @mshigenilussingu6
    @mshigenilussingu6 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna mchezaji mwenye Muonekano Kama AUCHO, Kama unabisha jinyee

    • @benjjlifetechnologie435
      @benjjlifetechnologie435 2 ปีที่แล้ว

      Natamani kujua kama ww ni wakike au wakiume. Maana yanga kuna mambo mengi

    • @sixbertmwakaluwa5665
      @sixbertmwakaluwa5665 2 ปีที่แล้ว

      @@benjjlifetechnologie435 Akijibu narudi😂

  • @wananchitv8690
    @wananchitv8690 2 ปีที่แล้ว +3

    Tuache utani jamani, hv Mkude ana mwonekano gani? Wapo wachezaji wengi wenye mwonekano sema mmetafuta star anaecheza Simba. Huyo Mkude hamfikii mwonekano hata Fei Toto

    • @edyi9187
      @edyi9187 2 ปีที่แล้ว +2

      Mwonekano sio sura nzuri wew😂😂😂unyama ukiwa mwing lazma wakukubali

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 ปีที่แล้ว

      kabisa Fei number 1

    • @jaabirmsuya7682
      @jaabirmsuya7682 2 ปีที่แล้ว

      Unaujua muonekano wa mwanaume jomba?

    • @azizamihungo9659
      @azizamihungo9659 2 ปีที่แล้ว

      @@zuleikhakhamis3303 Huyo feitoto anamuonekano gan zaidi ya kulegeza macho Yale Kama kala kungu ndo maana akagongwa kule Lindi na Mchezaj was Namungo

  • @aishaomary7984
    @aishaomary7984 2 ปีที่แล้ว

    Nyoooooo

  • @habibajafari8752
    @habibajafari8752 2 ปีที่แล้ว +3

    Maraya mwenye kiwango

  • @asternjulius890
    @asternjulius890 2 ปีที่แล้ว +3

    Malaya kwenye ubora wake hahah hii mpya

  • @shadrackkuambiana2867
    @shadrackkuambiana2867 2 ปีที่แล้ว

    Mkude kakataa Kama amfundishi matu na tumeona mda anamnyanganya pesa za mapinduzi morrisoni alitukana na crip tunazo

  • @brantinambata5602
    @brantinambata5602 ปีที่แล้ว

    Habari za hasan dilunga

  • @huseinsaid5894
    @huseinsaid5894 2 ปีที่แล้ว

    Mkude

  • @martinanney6192
    @martinanney6192 2 ปีที่แล้ว

    Diva nimemic ala za roho Claus fm

  • @alexmalema4094
    @alexmalema4094 2 ปีที่แล้ว +8

    Hahahahahahahaha kudadeq mkude anampenda jeshiiiiiiiiii mlitaka aseme diamond hahahahahah imekula kwenu

    • @zou7470
      @zou7470 2 ปีที่แล้ว

      Limewashuka wacafu waroho 🤣🤣🤣

  • @imaramc6802
    @imaramc6802 2 ปีที่แล้ว +1

    Mh

  • @brantinambata5602
    @brantinambata5602 ปีที่แล้ว

    dilunga

  • @halimakondo6019
    @halimakondo6019 ปีที่แล้ว

    Wamtaka

  • @huguetteigiraneza4760
    @huguetteigiraneza4760 2 ปีที่แล้ว +2

    Sauti sas 🤣🤣🤣🤣

  • @luckyyusto8159
    @luckyyusto8159 2 ปีที่แล้ว +2

    Lazima amshabikie mvuta ganja mwenzie😂

  • @edwinedward5352
    @edwinedward5352 2 ปีที่แล้ว +3

    Umeoa!!🙄🙄🙄😁😆😂

  • @issakagema6810
    @issakagema6810 2 ปีที่แล้ว

    Diva ni fataki kabisaa ndio anatuharibia wachezaji wa timu yetu, 😂😂😂😂😂😂😂😂 mfano chama sasa hivi hana atanguvu miguuni anafanya kazi ngumu gani

  • @rwebangirarutta5558
    @rwebangirarutta5558 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtafte mayele