Allh akuweke salim wangu uzidi kuwa no 1 na inshllh allh atakulinda na mabalaa na mahasid wte waulimwengu na kila anaekufanyia uadui allh atawalipa mara elf 1000 inshllh
mashaallah nasheed hii nikiisikia tu moyo wangu unanikusa hasa ujumbe wake mashaallah hatasimu yangu mlio wake nimeeka mlio wa nasheed hii salim nakupenda na nakubai kazi zako mashaallah kama unampenda salim ally eka comment yako hapo chini
Hongera my lovely best munsheed salim ally nakupenda na nakubali kazi zako mashaallah kama unamkubali na inampenda salim ally eka comment yako hapo chini mungu akueke maisha marefu sali m ally
Big up Broo sjawah kutoa coment yang ata kweny videos za MTU yoyot yule but hii imegusa saan kwa sis wazanzibar na tanzania kwa jumla al akhy hongera sana unajua mungu akuzidishie broo اللهم آمين
Muungano wowote ambao haukujengwa kwa msingi wa UchaMungu haudumu na watu hudhulumiana wao kwa wao. Tungoje baada miaka 5, labda watu waseme hakuna upinzani tena. Tulishuhudia maridhiano 2010 na mwisho wake tulifikia wapi?
Y? Baadhi ya nasheed zako zinakaribia kufanana kwenye uwekaji wa sauti. Usjauri:Tumia Muda mwingi kutafuta sauti zisizofanana, na unapoweka sauti jaribu kutovita hisoa zako ktk nasheed ulizotoa
Allh akuweke salim wangu uzidi kuwa no 1 na inshllh allh atakulinda na mabalaa na mahasid wte waulimwengu na kila anaekufanyia uadui allh atawalipa mara elf 1000 inshllh
mashaallah nasheed hii nikiisikia tu moyo wangu unanikusa hasa ujumbe wake mashaallah hatasimu yangu mlio wake nimeeka mlio wa nasheed hii salim nakupenda na nakubai kazi zako mashaallah kama unampenda salim ally eka comment yako hapo chini
Hongera my lovely best munsheed salim ally nakupenda na nakubali kazi zako mashaallah kama unamkubali na inampenda salim ally eka comment yako hapo chini mungu akueke maisha marefu sali m ally
Umoja ni nguvu kutengana ni udhaifu, mungu udumishe umoja wetu (wazanzibari) 🙏😭
Amn ya rabbal alamyn inshallah 😭😭😭😭
Aamin
Amiiiiiiiiiiiiiii🤲🤲🤲
Maa Shaa Allah.. nasheed nzr sana😘 Allah akuzidishie nguvu uzdi kutultea nasheed zny ujumbe mzito ndan yake ..... tunkupnda sana akhy
Mashaallh nashid ipo vzr allh 2ujaalie kila la kher tupendane tushirikiane kwa pamoj na wala tusitengane
Mashallah ujumbe mzur San najskia kulia tu nkiskilza
Mashallah Mashallah kazi safi sana
Mungu amjaze hekma na hurumu pamoja na uchamungu rais wetu kwa wananch wake
Mashallah Salim Ally Ujumbe umetufikia🌎
Asalaam alaykum.Mansha Allah.Kaka hakika ninakukubari sana.sina shaka na uwezo wako.
Maa shaa Allah. Jazaakum llahu khaira wabaraka llahu fiykum. Akhuwiy
Maaashaallah
Big up Broo sjawah kutoa coment yang ata kweny videos za MTU yoyot yule but hii imegusa saan kwa sis wazanzibar na tanzania kwa jumla al akhy hongera sana unajua mungu akuzidishie broo اللهم آمين
Mashallah
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Safi sanna
Mashaallah
Muungano wowote ambao haukujengwa kwa msingi wa UchaMungu haudumu na watu hudhulumiana wao kwa wao. Tungoje baada miaka 5, labda watu waseme hakuna upinzani tena. Tulishuhudia maridhiano 2010 na mwisho wake tulifikia wapi?
♥️♥️♥️
Hii na nasheed ya Tushikamane pamoja na kisa nini sauti zake zinakaribiana mnooooo
Y? Baadhi ya nasheed zako zinakaribia kufanana kwenye uwekaji wa sauti.
Usjauri:Tumia Muda mwingi kutafuta sauti zisizofanana, na unapoweka sauti jaribu kutovita hisoa zako ktk nasheed ulizotoa
Raghad wa watu