jinsi ya kupika viazi vya nazi | viazi ulaya | mbatata | viazi mviringo vya nazi | mapishi rahisi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2024
- leo nawafundisha jinsi ya kupika viazi vya nazi
MAHITAJI:
viazi 1/2 kg
kitungu thaum 1 tsp
tomato mbili
tui la nazi vikombe viwili
kitungu maji mbili
ndimu moja
bizari njano 1 tsp
pilipili
chumvi kiasi
mafuta ya kupikia 2 tbsp
dania kwa kupamba
Follow me on istagram: instagram.com/mapishi_rahisi
حسنه
Tuletee jinsi ya jutengeneza tui la nazi, thanks, I love your recipes.
Yummy na hisi njaa asante dah
I love this step by step…….Asante saana
nice masha Allah
Masha Allah
mashallah😍😘
Mashaallah nice lkn kidogo tofauti na mabadiliko ☺️ lkn ndio mapishi rahisi 👍🏼
Nyc video alternative ya tui la nazi
Maziwa
Maa shaa Allah
You talk very well mashaallah
Nice Maa shaa Allaah, tx 4 share sis
Tamu sana
Favorite yangu Shukran
Afwan habibty
Unachemsha viazi dakika ngapi?
ukitaka kuweka tomato paste unaweka na hiyo bidhari manjano or unaweka kimoj t ??
Napenda mapishi yako dada hii nitapika niulize naeza tumia any maziwa ya nazi
Yes dear😊
Saut dada
Kitu kama Niya Nazi haufai kukaanga kitu
Yummy😋😋
Nice
napenda viazi sana
Asant vitam
Yummy
😍😍😍😍😍😍
Unavoongea kama umetoka kukimbiaaaa ila umeweza
Hizo pilipili kwa ajili ya nini
ilham precious kwa ajili ya kula na pia ni kama mapambo
@@aboutlife255-p9b I hate you