Nitazidi kumuenzi sana mtoto wa Mwalimu, Mola Azidi kukulaza Mahali pema penye wema, daima Mchango wako wa kuihangaikia na kuchangia Lugha ya Kiswahili utakumbukwa daima.
Haya makala daaaa... yanakutwa sana roho yangu.alichokipanda yeye keni na hassan mwana ali bado kinaendelea kumea,licha kujaribu sana kufikia hassan na baada ya jaribio la miaka kumi bila kumpata ,hili linanitia simanzi kwani huenda angekuwa hai ken labda siku moja angenitambua!
Mungu amrehemu profesa Ken Walibora, mwalimu mahiri na stadi wa lugha ya Kiswahili. Kiswahili kitukuzwe!
Kazi nzuri Hassan, chozi hunidondoka kila mara nisikiapo hii sauti, kumbukizi bora.
Atakumbukwa sanaa Bw Ken
Nitazidi kumuenzi sana mtoto wa Mwalimu, Mola Azidi kukulaza Mahali pema penye wema, daima Mchango wako wa kuihangaikia na kuchangia Lugha ya Kiswahili utakumbukwa daima.
The world misses the legend. May his soul rest easy, he was an inspiration to us.
Kazi nzuri kaka Hassan
Mahojiano mazuri 👏
Nzuri mjombaa
Haya makala daaaa... yanakutwa sana roho yangu.alichokipanda yeye keni na hassan mwana ali bado kinaendelea kumea,licha kujaribu sana kufikia hassan na baada ya jaribio la miaka kumi bila kumpata ,hili linanitia simanzi kwani huenda angekuwa hai ken labda siku moja angenitambua!
Tusikatae kukosolewa. 💯
My heart pains till today,,RIP prof Ken walibora
Ken Wallbora alikuwa mwalimu mwema akiwa na Sauti Safi na iliyonyooka.
Mimi napigania milki ambayo si ya dunia hii.
Ken alikuwa na utabiri mwingi sana. Hata ingawa anasisitiza kuwa ni sadfa.
Walibora anasema kuwa alisema kuwa ako furaha kuna wale wako tayarisha kufa ili kiswahili kiendelea.