Chumvinyingi we kamanda sana ila sijamuona nyauuu jamani😅😅😅😅😅noma sana pongezi kwa kuanza mwaka vizur na kituuu kizuri sana Chumvinyingi mungu akusimamie kweny kazii yako kila kukicha
CHUMVI BABA UNANIPA MARAHA, ETI UKIACHA VIHATU MSIKITINI UMELABWA 😂😂😂😂😂🎉 I LOVE U SO MUCHO CHUMVI, WTACHING FROM USA IN UKU USA TUNAKUPENDA SANA CHUMVI.
Chumvi punguza mifungo ya pipi mana movie zako nyingi zimekua uchawi mifungo ya pipi jaman kamati yako unajua kutunga story Sema unaalibu story zinakua kama zinajiludia soko litakua gumu tunakupenda bolesha tofauti 🥰🥰🇦🇪🇦🇪🇦🇪🥰🥰🥰
habari zenu chumvi nyingi gang mimi ni shabiki wenu mkubwa toka fundi umeme sijamis seris hata moja ushauri wangu sasa nyinyi mmeshakua sana kwa mtazamo wangu ningeshauri kila seris muwe mnabadilisha majina sio na pia staili za kisofa mc na yule mchaga wawe wanabadilika badilika yangu ni hayo
Daaah.chumvi huna baya❤❤.yani we mkali wawakali asikwmbie mtu we na team yako nyi wakali asei.karbu maina.umetuletea mmbo yetu hongera sana❤❤❤❤.ila paraga we noma😂😂😂😂😂😂😂
Kaka ukosei kila move nzuli mie shabiki wako kinoma sikupingi kaka
Nakubali sana kazi zenu chumvinying gang tulete kwa siku epi 2 hili tufahidi sana
Chumvinyingi we kamanda sana ila sijamuona nyauuu jamani😅😅😅😅😅noma sana pongezi kwa kuanza mwaka vizur na kituuu kizuri sana Chumvinyingi mungu akusimamie kweny kazii yako kila kukicha
Chumvi. Umetuletea. Chanuo. Safi sana. Kazinzuri. Sana. Hongereni. Natimu yako. 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🥰🥰
Kbsa nimefurahi
Nakubali San chumvi nyingi back to back kipaji hakirogeki ✔️🔥💯
Atimae kitu kimeanza wasanii wakali na wazuri wamekuja kwa chumvi nyingi pakali apa kazi iendelee wapendwa 🙏🙏 mulipo nipo nawapenda sana ❤❤❤❤❤
Wow atimae maina wetu amelejea tena kwenye gem akiwemo Nachanuo ju wemetisha kaka bado Nuru tu utulete pia😊🔥
CHUMVI BABA UNANIPA MARAHA, ETI UKIACHA VIHATU MSIKITINI UMELABWA 😂😂😂😂😂🎉 I LOVE U SO MUCHO CHUMVI, WTACHING FROM USA IN UKU USA TUNAKUPENDA SANA CHUMVI.
Jamani kama chanuo yupo twafurahi sana Chumvi nyingi kazi nzuri sana Acha mwenyezi mungu akubariki zaidi
Madam Maina is back👌👌🤝🤝🤝
tena kazidi chanuo
lakini nuru hayupo jamini😮
@@khadijamfaumemohamedimilan2618 hope watarudi na watakuja mastaa wengi hii ndio chumvi nyingi gang
Alaf sio maina 2na chanuo ndan chumv kaupfa mwing
mimi napenda vipande sio virefu na vinaeleweka mkuu umetisha sana...
Kazi nzuri naona chanuo ndani ya uwanja,Ila iyo nyimbo umeuaaaaaa😅😂😂😂 kama unaliaaa
Good job Chumvi nyingi,, napenda sana jinsi unavyo endesha kazi yako,,much love from Kenya.
Chanuo alishut kipindi amepigwa mana sio kwa kuvimba huko macho
Umu nan chumvi nyingi anakula mjani 😮😮
Chumvi punguza mifungo ya pipi mana movie zako nyingi zimekua uchawi mifungo ya pipi jaman kamati yako unajua kutunga story Sema unaalibu story zinakua kama zinajiludia soko litakua gumu tunakupenda bolesha tofauti 🥰🥰🇦🇪🇦🇪🇦🇪🥰🥰🥰
Mfungo wapipi😁
@@paulinaselemani mwenzangu sio poa🤣🤣🤣🤣 nimwendo wamizimu na Maiti tu🤣🤣🤣
MashAllah 🎉🎉. Welcome Chanuo and Madam Maina tulikumiss sana nliona uko kwa kina Mbwela hurudi tena huku kumbe lkua n muda tu.
Mbarikiwe sana
Back to back kipaji akirogeki❤❤
chumvi nying gang ....nakukubali saan katik season za kutisha...unaupiga mwingi saaana.....🎉🎉big up
Waa chumvi nyingi uko sawa kaka tuede nalo
Chumvi nyingi gang thanks qwa kumsitiri chanuo ssa piga kazi dada 🎉🎉🎉❤❤
Asante sana chumvi nyingi kaka kwakutuletea chanuo mungu akubariki sanaa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nawakubar sana chumvinying Gang pigen kaz
😊😊😊😊eti uyu jama ni mweusi sana Anafaa kuigiza movie za kichawi
nawapenda jmn wahusika wa chumvi gang hasa chumvi nyingi❤❤❤💘
Hongereni geng la chumvi nying
Kazi nzuri Mr. Chimvinyingi
Apa nimefurahi kumuona maina❤❤
Estou feliz por lhe ver chanuo no chumvi nyingi gang🔥🇲🇿😘
Dont jug with chumvi and chanuo but chanuo ur main character from madebe lidai
Chanuo is back lakn mimi Leo ni wa Kwanza Leo from mwanza
habari zenu chumvi nyingi gang mimi ni shabiki wenu mkubwa toka fundi umeme sijamis seris hata moja ushauri wangu sasa nyinyi mmeshakua sana kwa mtazamo wangu ningeshauri kila seris muwe mnabadilisha majina sio na pia staili za kisofa mc na yule mchaga wawe wanabadilika badilika yangu ni hayo
Hayo majina sasa ndo yanaleta radha zaid ❤❤
Dah umetishaa sana @chumvi tulimis madam maina
Napend xan kazi zenyu sana na mm natka kujiunga n nyinyi
Maina is back again🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 🎉🎉🎉🎉
Wau chanuo na maina umeniweza chumvi nawapenda sana hawa watu hasa chanuo nchakali
Chumvi nyingi hapaaaaa let's go . Umenifanyia dawa kbs
Wangwani story nzuri Sana hongera nyote mlioshiriki hakika mnafanya Kazi nzuri ❤❤❤❤❤
Maina and chanuo mkali wao back in action
Chanuo ndo mke wa Madiba?
Chumvi ww kweli nyani haoni kundule eti mtu mfupi kasaidiwa kwahivyo ww na chendu nani?mrefu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅
❤😂😅chumvi nying hujawahig kufulia
daaa chimvi nyingi gen naikubari sana
Ah Chanuaoo kwanza nikupe mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉 Chumvi nyingi Safi Sana
Kazi nzuri Sana chumvinying gang🫡🫡
Kama ndiyo kwanza unaangalia tafadhali gonga like ili tuende Kwa pamoja ❤❤❤❤
Mambo
@@PhilipoLegeza poa za weye
Happy to see chanuo back again in acting from Kenya much love❣️❣️
Nakubali kamanda chumvi ww ni kamanda❤❤❤
😂😂hyo nyimbo imenifurahisha sana 😂❤hongera zenu washiriki🎉
Chumvi mbna nimefrahi kumleta chanuo ndani ya mjengo, huezi Amini hapa umeupiga vzur mpenzi wangu much love from kenya riadhy ❤❤❤❤❤
Kazi nzr big up
Kifungo kari lakini inatisha😂😂paraga pore sana kaka yetu😂😂😂❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kuku mgeniiii😅😅😅😅😅😅japo una kambaaa mguuni😅
❤❤❤
Mimi ni wa kwanz leo naomba like zang❤.... chinv gang big upo🎉🎉🎉
Weee umeludia kazi ya maiti wee tizo
Napenda San kazi zako kaka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Chumvi nyingi banae hiyo nyimbo yako aaaaaaah ziiiiiiiiiu😂😂😂😂😂😂😂😂😂anyway Karibuni sana madam Maina na Chanuo❤❤❤
Daaah.chumvi huna baya❤❤.yani we mkali wawakali asikwmbie mtu we na team yako nyi wakali asei.karbu maina.umetuletea mmbo yetu hongera sana❤❤❤❤.ila paraga we noma😂😂😂😂😂😂😂
Asante kaka yani unatujali san mashabiki zako
Nimeanza nakicheko. Naona hiii noma
Team strong tuko sambamba na team gang
🎉 safiii nilikuwa nasubir kwa hamu❤❤❤
❤❤❤
Waaah nakubali sana 😂😂😂
Chumvi Umetisha sana 🙏🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Bandika bandua kazi iendelee🎉🎉🎉
Niambie chumvi
Wa nyumbani umatisha 🎉🎉🎉🎉
Asnt chumvi na kumlet chanuo
❤❤❤nangoja mishi nimemwona maina🎉🎉
Maina nakupenda sana
Chumvi umetiaha naomba like zangu
Akili nyingi 🧧,waiting ep 02..........
😅😅😅😅😂chumvinww ulitakiwa uwe mzaramo 2😅😅
Naona tunaanza ❤fayaaa😂
Kuku mgeni lakini umekosa kamba😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Upo sawa kijana
❤❤wakwanza from USA 🇺🇸
Weeee naijuuwaa iyooo 😀👋 from wapi eti
Kazi nnzur
Wa kwanza apa nipeni like Zanku nawatch nikiwa Wisconsin USA 🇺🇸 😁🙏🏿
nataka kwenda kanada nipe njiavbasi😅😅😅
Chumvi nyingi ❤
Wakwanza leo nahomba like zangu 💪💪
sawa😊
Chanuo twakumiss san
Mkovizuri sana
Tumeipenda
Chanuo&chumv nying oaneniiiii nawapenda sana nimefurah kumuona chanuo jomoniiiii
Maina kipenzi nilikumis sanaa chanuo habibty karibu chumv nying gang na wapenda woote ❤❤
Tujuane mashabiki wa madam maina, like hapo🎉🎉
Jaman waw maina na chanuo juu atal ume weza kaka
Kwan huyu muimbaji ni chumvi nyingi 😂😂😂😂
nimefulai kumuona maina
Madam mayina, karibu Tena, tumekumiss sana
We zinduna mbona unazidi kututishqaaa😅
Ya moto sana hii🤜
Team chanuo team furus tujuane
Jmn chumvi😂😂😂😂 acha uoga😂😂😂
Yni huu mwaka tuliuanza vzr mashaAllah chumvi ujakosea ata tupo nawe mpka
Team strong gonga like.kwa team gung
Movie nzur Sana hii na kayabananga, fundi umeme na Siri ya kifo pamoja na muuza maiti, nimezikubari sana
nakubali kaka
Unapenda kulia ww jamaaa😂😂
Me nasubil inayokuj hiii imeenda