❤ safi sana Chumvi Nyingi, hii nayo ni official kazi ❤❤❤ Huu ndio uigizaji mnaotakiwa kuigiza. Ubunifu 100% kwa moto huu Chumvi nyingi Gang naanza kukuwekeni kwenye ramani ❤
Chumvi series nzuri sana chamsingi tumuombe Mungu tumalize vzur. chumvi unajua kuibua vijana vipaj vyake na unajua kutoa story nzur ambayo inatufunza katka maisha yetu ya kila siku upewe🎉🎉🎉🎉 yako
nice move hapa chumvi yupo serous amna akhaa akhaa akhaaa
Sasa hapa MC machete kapata nafasi yake chumvi upo vizuri ebu kuwa siriasi mpaka meisho ❤❤❤🎉🎉
Wacaweee kitu kipya ico Cumvinyingi tulikua tume kumisi bala🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Oyaaa wee hawa chumvi hawa wapo vzr
Chumvi na kukubali ❤❤❤❤❤
Aaah umetisha chumvi nyingi ❤❤❤🎉🎉🎉
Chumvi,.,.,chumvi,.,.,chumvi,.,.,.,hii sasa iende hadi epsode 50 na kuendelea., kama unakubaliana na mimi weka like hapa,. Chumvi ataona 🇰🇪🇰🇪🖐️
Sawa boss tumekupata
Chuvi nyindi ukovizuli
❤❤
@@Jakobosambalaasant
Uje sasa utuekee ep 3 aki utanijua😂😂😂😂@@chumvinyingigang
Pa mojo sana 🎉🎉
26 on trending achiiii!!! Chumvi ngingii weeeeee aii katibuli
Wakwanz jaman kweny simba mweus
Uyu dada mzur mashallah
😂😂😂 huyo anayemlalamikia fundi nimempenda🎉
Nmependa saut ya chumvi nying aty kumbe ukiacha kujichetua saut ni nzur hv❤🎉
Pamoja sana
❤ safi sana Chumvi Nyingi, hii nayo ni official kazi ❤❤❤ Huu ndio uigizaji mnaotakiwa kuigiza. Ubunifu 100% kwa moto huu Chumvi nyingi Gang naanza kukuwekeni kwenye ramani ❤
Yaani imeingia hadi on trending kwel movie kali mno
Karibuni jamani nilikua nimewamiss sana Chumvi Geng
Imekaaa poa sana 🔥🔥
Chumvi umeua snaa m n shabiki akoo hatar skuwah kosaa hataa Moja series yakoo hongera
Kazi nzuri sana mwamba wetu chumvi
Chumvi nyingi my gang 🎉nilikua nimewamiss ❤❤more love from kenya 🇰🇪🇰🇪
Kazi mpya na chumvi 👍
Nmefurah kuona epsod inadakk nyingi tafazalini musije kumalzia dakk 14 jmn nawapenda❤❤❤❤❤❤
Kazi Nzuri Sana Broo
Umeanza Vyema Sana Muhimu Ni Kuomba Mungu Na Kufanya Kazi Sana Naamini Bado Safari Ya Maisha Inaendelea Big Up to All Gang
Sawa
Kazi mpya na iko moto🙌🔥🔥💞 tupo pamoja mwanzo mwisho🎉❤🔥
Chama limelud kwa nguv let's go
Wana gang 🔥
mbna mmefanya mb zimekuwa nying sana
Wangapiii wamefurahi Km.mm.mozesi.kurudi.tenaaa.kwamara.nyingineeeee
Waooh ni nzuri hongera chumvi nyingi
nzuriii xana tunainjoiii chumviii❤🎉🎉
Hongera kaka ❤
Chumvi gang hawana kazi mbovu..here we go
Naipenda kaz yak
Chumvi nyingi hapa family imekua kazi nzuri
Mzigo ndo huu sasa, tumeusubiri sana
Kazi Ipo Fresh Pokeeni maua yenu
Chumvi ukicheza serise uko vizuri muno
Asant sana
Wow moses is back ❤❤❤
Kazi nzuli sana ❤❤❤🇨🇩🇨🇩
Kazi mzri nawapenda ote🎉🎉❤
Poa chali yangu chunvi nyingi🎉🎉🎉 ok sana Man
Ati kisofa sio chongo tena 😂😂😂😂 mumeweza wana chumvi nyingi gang😂😅😅😅😅
Hapo chumvi umeua sana hili dude
Kazi nzuri Sana chumvi 🔥🔥🔥🔥
Move nzuri❤❤
Asant
Huu ni mwanzo tu lkn ni 🔥
Chumvi ukiwa selias move inanoga sana ❤
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉❤❤❤
Shaaytaaaa ❤❤❤mambrook
Nimefurahi sana kuona mmetoa movie nyingine ❤
Chumvi nyingi apaaa🙌🙌
Khaaa jamn kwanni msinge toa vpnd hata viwili move nzur so poa❤❤❤
Daah huyo fundi ana utu anavyozungumza wee ama mwaonaje watazamaji
Chmvi nyng paaaa😂😂😂😂 hii na saivi kali sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakubali kabisa🎉🎉🎉🎉🎉
Mmetisha sana wanangu
Nimekubal sana brother chumv tupo pamoja hii kazi ni kubwa kuliko makaniki og from khm❤❤❤❤❤
Sijawahi kuwapinga🎉
Wow! Kitu poa😅😅
Kaka chumvi unajua sana kaka
Namba moja makofi kwangu
Mlete episode next place 😢 waiting from Mombsa 🇰🇪
Nimeipenda hy
Kazi ni 🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Asant
Dah hii kitu asee🙌
Namba moja like zangu🎉
DAH KWELI MNATHAMINI MASHABIKI ZENU MFN KISOFA KABADILIKA BIG UP
Lazma tuwasikilize
Hiii ni moto🔥🔥
Kwa mara nyengine teinaaaaaaaaaa😂🎉
Kazi nzuri❤❤❤
Tuko pamoja sumba mweusi
From Germany..we love the gang..lets enjoy this new series🥰
chumv wew ni fire 🔥
Chumvi nyingiiiii
Wow moses karibu nilikumiss sana
Asant sana
Chumv ukiwa serious ivo upendezi
Kazi nzuri sana kaka
Chumv nilikusahau kwasaut yk yaupole umeroogwa wee😂
Chumvi series nzuri sana chamsingi tumuombe Mungu tumalize vzur. chumvi unajua kuibua vijana vipaj vyake na unajua kutoa story nzur ambayo inatufunza katka maisha yetu ya kila siku upewe🎉🎉🎉🎉 yako
Asant sana boss
broo chumvi umeuwa sana mimi kama shabiki wako nimekubali chumvi nyingi geng bali 2 bao kipaji hakilogeki
Nawakubali sana chumvi nyingi
Chumvi kari🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉
Asant
My brother chumvinying big up sana semaa salute,siku moja nataman uweze kuona kipaji changu na mm nijiunge katika group lako
Amin
@@chumvinyingigang namba zako ninazo kak nitakutafuta inshallah 🙏
Kusema kweli nimefrah kumuona Moses❤ waoh
Here we gooooooo ❤❤❤
Asant boss
Sema moses ana kitu atafika mbali 💪💪💪💪👊👊👊👊
Chumvi nyingi mwanangu wa rufiji 🎉🎉🎉yako upewe
Nimeyapokea
Wa kwanza kutokea zenjiii
Kaka chumvi kwakeli unaweza sana endelea kupambana kaka🎉🎉🎉🎉🎉❤
Sawa boss
Vizuli Sana kamanda 🎉🎉🎉
Mwanzo mpya mmbo mapya hamna kazi mbovu team chumvi 🎉🎉🎉
Kabisa bos
Miss u Guys 🤣🤣 waiting for this episode too
Hii nimeipenda sn umetish San chumv
Serse nzur sana 🔥🔥🔥💯🫶
Asant
Chuma kimetua mjin❤🎉
😂😂nyi mafundi waongo waongo fundi wakweli wakunyoa kunyoa😂
SIMBA MWEUSI🥰🔥🔥🔥
Mc machetee nakubali mdogo wangu.
Asant sana
Mwandishi katulia Sana inapendeza
Umetisha broo'🙌
Kali kinoma
Kisofaa😂😂😂😂😂😂😂nilikumiss mnooo brooo
Simba mweusi❤❤❤