Yesu Aja Mawinguni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Yesu Aja Mawinguni
    Mtunzi: Edwin Njeru
    Key: G Major
    Yesu aja mawinguni, na mawingu ndiyo malaika wake;
    Uwe mwangalifu, ujitayarishe, ujivike vazi safi la harusi, Neno laonya:
    Wote -- Mcheni Mungu na kumtukuza,
    Kwani -- Saa ya hukumu yake imekuja;
    Muumba -- Msujudie, aliyezifanya,
    Mbingu -- Nchi, bahari na mito ya maji.
    Ndugu, je, ajapo Yesu utakuwa bora? Mtumishi mwema?
    Au kwa huzuni utakimbilia milima na miamba? Waovu wasaliti watasema:
    Sasa yataka subira ya wanaoshika amri zake Mungu;
    Watapumzishwa, Yesu akirudi watamfuata, katika siku hiyo watasema:

ความคิดเห็น •