Mabingwa wa shindano na watoto waonesha cheche zao
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ก.พ. 2021
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Amen , Yaani hii ndio iliyosahaulika makanisa mengi ya ki kristo. Hongera sana Askof Gwajima kwa kusisitiza mafundisho haya.
Mungu akubariki mtumishi kazi nzuri
Amina! Mungu wa mbingu na nchi awalinde watoto hawa nasi kama kanisa la Mungu kwa pamoja tuwaaombee ulinzi na haya waliyoyashika yasiondoke ndani ya mioyo yao mileie, Amina!!!!!!
Hallelujah ❤
Amina hakika mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata atakapokua mzee
Mungu wa mbingun awabaliki Sana watoto Hawa ni nguzo ktk Taifa letu amina
Wonderful