Wow Dogo Rubi,Agg yaani wimbo mzuri,Mmeimba vizuri..MUNGU Azidi Kuwainua Kila Siku Mkijishusha zaidi kwake,Atawapandisha kwa Kadri awezavyo.. Hongera Matisho na Familia yote. Lightness Fue👉Makongo Juu.
Video ni quality nzuri sana ,Hongereni kwa kuendelea kulihubiri neno la Mungu kwa njia ya uimbaji. Nawashauri mfanye balance wanakwaya wenu waonekane wote kwa usawa maana wapo wanaoonekana mara nyingi kuliko wengine. Aidha ninawaombea kwa Mungu awabariki wote.
Woow,.. Super extra ordinary directed. 😘😘... You guys are my lifetime playlist. You never disappoint honestly... My notification bell is always on not to miss any of your amazing items.
This is a Wow 👌👌❤️
ameen... groly be to God... nyie watuu mnanigusa sana..leo.imenbid nicomment ila huu wimbo mmefanya vizurii sanaaaaa
Asante sana
Hii ni zaidi ya mguso na hongera wa jina kwa utunzi mzuri
Waooh mbarikiwe San kwa jumbe zenu nzuri MUNGU azidi watangulia for more prechable songs ❤❤❤❤❤🙏🙏🙏
Amina, Asante sana🙏
🙏🙏🙏❤
Amina , Mungu azidi kuwatumia zaidi na zaidi
Uniform za Wana wakike nimezielewa
🤗🙏🏿😊😊🇹🇿
Amina, Asante sana
Soul soothing music. Muende mbali family music.
Kazi nzuri
Mungu azidi kuwainua Family Music
Amina
AMINA kubwa Kaka yangu anaimbia humo anaitwa WIN GAN kwa ss yupo kikazi Dodoma namfuata katika Womb yetu na anaenifuata anaitwa Cenon mpo nae Dar
Nice one my people😙😙
Hakika kwa YESU KUNA UZIMA TELE..... Good job Mungu awazidishie katika Hali zote.
Amina Amina🙏
Mbarikiwee sanaa family music
Amen
Amazing keeping growing in honestly🎉
Amina sana Mungu awabark sana Bwana tu karb tujiandae
Amen
Wimbo mzuri sanaaaa.
Wadada mmependeza sanaaaa.
Amina, Asante sana. Barikiwa
Mbarikiwe wapendw kwa ujumbe mzuri
Amina
Amina Amina safi kabisa Mungu awabariki sana
Amina
Vile namiss Mzizima Church, aise asante kwa harmony tamu, you never dissapoint
Asante sana
Wow Dogo Rubi,Agg yaani wimbo mzuri,Mmeimba vizuri..MUNGU Azidi Kuwainua Kila Siku Mkijishusha zaidi kwake,Atawapandisha kwa Kadri awezavyo.. Hongera Matisho na Familia yote. Lightness Fue👉Makongo Juu.
Da Light umetisha sana, Asante sana Mungu akubariki. Tunashukuru kwa kututia moyo.
Hot song
Video ni quality nzuri sana ,Hongereni kwa kuendelea kulihubiri neno la Mungu kwa njia ya uimbaji. Nawashauri mfanye balance wanakwaya wenu waonekane wote kwa usawa maana wapo wanaoonekana mara nyingi kuliko wengine. Aidha ninawaombea kwa Mungu awabariki wote.
Amina, Asante sana kwa ushauri. Wakati mwingine tutazingatia na kufanyia kazi.
God bless you guys keep it up .... consistency ktk kumtumkia Mungu wetu wa mbinguni hta baada ya chuo
Amina
Beautiful song Mbarikiwe 🙏
Hongera sana family Music,Mungu azidi kuwainua
Amina sana Lilian
Amina sana,Tunabarikiwa na nyimbo zenu
Amina
Mbarikiwe sana @family music wimbo mzuri sanaa
Amina🙏
Sauti ya kwanza kwenye korasi🔥🔥🔥🔥 I'm blessed with ur singing style
Amen
They hit the high note perfectly
Can someone 😊 connect me with the base guy here he sings well through all songs I have heard he can sing good Acapella.
So cool ......the massage is awesome. Be blessed family music Tz
Amen🙏
thank you for this sweet song be bless
Good song, good video
Amen
I couldn't ignore this one...the messaging, arrangement is great...God bless you brethren..Mungu aibariki kazi yenu na kuwahifadhi siku zote
Amina
mbarikiwe sana nakubali
Aki wimbo mtamu na mzuri sana👌🏾. Asante sana wana FM Kutubariki, asante nawe mwalimu Matisho pia…. You really inspire me🙏🏽
Thanks alot🙏
May God continue blessing you as you bless us🙏🙏
Amen❤️
Nabarikiwa sana wapendwa
Amina
Mbarikiwe sana, Mambo yamekaa vizur
Amina sana ndugu yetu🙏
Safi sana
Ndiyo
More blessed
Amen
Amen Amen,Mungu azidi kuwabariki zaidi🙏🏻🙏🏻
Amina🙏
Awesome
Mungu na Awabariki Sana
Amina, Asante sana
Ameeen....Mungu azid kuwabarik
Amina
Unanijenga kabisa
Mbarikiwe sanaaaa🙏
Amina
I love the song.quite inspiring
Amen
From kenya ,kitale .love your songs 🙂
Aminaa
Woow,.. Super extra ordinary directed. 😘😘... You guys are my lifetime playlist. You never disappoint honestly... My notification bell is always on not to miss any of your amazing items.
Thankyou Klein, be blessed
Mungu azid kuwabarik 🙏🏼
Amina🙏
Mbarikiwe na bwna
Amina
Amen
You guys 🙌... Good Arrangement..
Thankyou
Nabarikiwa saaana
Amina
Yes one of these days, he will be coming to take us to heaven, that's the Great hope!! Sing it loudly!!
🙏
Ujumbe tamu wimbo mtambu hkka tumebarikiwa .on a corrigé toutes fautes de les videos passeés.ça cest bon je vous remerci .Dieu vous benisse
Amen, l'œuvre de Dieu avance.
Preach guys
Mungu awabariki sana 🙏🏾
Aminaa
Beautiful song and urgent message blessings to you all family
Amen, Amen
Ble😍ssings
Ameen 🙏
Wow fantastic song 🔥🔥
Amen
The harmony is on another level. May God bless this choir.
Amen
Awesome 👏🏽
Thank you
Wonderful voices, Amazing Harmony. Always a blessing hearing from Family Music Tz. 🎉🙏🏼
Amen, thank you so much
Hallelujah 🙏👏👏👏
Amen
Wonderful message. Amen
Amen
Mie ni mkenya,Mimi si mwana SDA lakini hhii ngoma imenibamba saaana...Mimi kama dj lazima nitaicheza.Nimeiyona kwa agape tv.
🥰woow be blessed🙏
Amen 🙏
🙏🙏
God is good 🙏
All the time🙏
Ameen
amina
🙏🏾
🙏🙏🙏🙏🙏
The family music tz
Huo mziki unanimaliza Sana who is pianist of the song?
amina