Huu nao ni 🔥🔥🔥 inapendeza kuona vijana wakitumia sauti Mungu alizowapa kwa utukufu wa jina lake barikiweni sana tu muimbieni Mungu mpaka mwisho wa maisha yenu kwani nyimbo zenu zinawavuta wengi karibu na kristo nawapenda mnoo💕💕💕💕💕💕
Do we have one composer in tz? Coz most of the choirs sing the same composition they are the best . I think studio , programmers, composer's, and finally the choir members give their best from their hearts. I like your songs men, they inspire no dance just smooth they talk to the inner being. Kudos
Wote waliokombolewa kwa damu
Watafurahi pasipo kuzeeka.
ENZI na ENZI.
AMINA.
mtunzi wa huu wimbo kwakweli abarikiwe saaana
Kazi nzur mbarikiwe sanaaa❤
Amina
1:15 dada hongera kwa tabasamu zuri
mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri na sauti nzuri za kumuiimbia mbwana ,asanteni kwa huduma yenu
Amina sana Barikiwa
Wimbo mzuri sana jamn,
Nyimbo tamu Sana mbarikiwe watumishi was baba
Amina sana barikiwa zaidi mtu wa Mungu
Ouyeah!!,,,,, Praise the Almighty higher King above....
Amen
Kaziii nzuriii jamaniiii nabarikiwa
Hakika mnanibariki sana kwa jumbe zenu nzuri,
Mungu awabariki na endeleeni kuifanya kazi ya Bwana.
Barikiweni sana. Mungu aendelee kuwatumia
Amina barikiwa
Aise wimbo mzuri saana tena saaana mubarikiwe sana
Amina tubarikiwe sote
Mbarikiwe sana
Huwa na barikiwa San na nyimbo zenu
Amina sana neema Musa
Aminaaaa!!!
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu ,Bwana atukuzwe
Amina barikiwa zaidi
Ya moto sana hii, Mungu awabariki sana watumishi
Amina ubarikiwe zaidi
Daaaaaah sina cha kusema zaidi ya AMINA AMINA AMINA🙏🤗🙏😘😘
Amina sana ubarikiwe sana
@@jomiresovoicestz May Lord our Saviour make you all growing up so as the whole world to get your ministry
Amen
Maiga naona unasukuma ngarambe kazi nzuri
Barikiwa Mokayaaaa🙌🙌🙌
Mbarikiwe wapendwa
Amen
Mungu wabariki sana vijana
Amina barikiwa pia mtu wa BABA
Amen, MUNGU awainue muifanye kaz yake kwa kiwango cha juu zaid
Amina tunashukuru sana kwa ombi la namna hii
Ubarikiwe zaidi na zaidi pia
safi kbx wimbo mzuri. songeni mbele
kaka kaka
barikiwa sana kamkubwa..
Barikiwa sana mate
Huyo Neema Mang'ela ni hatari
Mungu azidi kuwainua sana na barikiwa😍😍
Amina sana sister Rosemary tubarikiwe sote
@@jomiresovoicestz Amina
@@rosemarymashauri8628 we love you
Hiyo smile ya hao wadada🙌🙌🙌 great song btw bravo!
Amen mr SIMWINGA ERICK
Thanks Kwa female Uniform adhim na makini mnooo....Thanks for the Song,thanks for arrangement and thanks for Th Video.
Amen
Jeshi la YESU 🎺🎺🎼🎻👏👏👏👏
Amina Barikiwa sana
Amina
Be blessed more jomireso
Amen
Blessed the servants of Christ. We love you na tunawaombea
Amina Sana tunafarijika sana
Melody yenu inanibariki sanaaa mungu awabariki sanaaaa.
Amen barikiwa pia
Mbarikiwe sana, huu wimbo sana bila kuchoka
Hivi hili kundi lipo mkoa Gani aise, natamani nihudhurie ibaada yenu Moja nibarikiwe na huduma yenu
Nice❤❤
Amen, Mungu awatangulie vijana Wa Yesu baraka zake ziwaandame milele na milele, Hold on the ministry brethrens 👏👏
Amina sana tunashukuru saana kwa maombi
Ni vyenye nawapenda sanaaa 💞❤️
Go higher saints 🌠🌠🌠
Amen .. we love you too
naendelea kubarikiwa
AMINA
Nabarikiwa Sana na huu wimbo cha ajabu hauishi ladha barikiwa pro eph@ticha
Amina
Wimbo mzuri, barikiweni
Amina sana tunaomba mibaraka mingi kwa ajili yako pia..tusikilizw tupate ujumbe kusudiwa na Mungu atuongoze sana kujifunza kushukuru
Daaah! Sasa itakuwaje🙆🙆 Mbona wimbo mtamu hivi jmn?
BWANA azidi kubariki kazi hii njema
🙏🙏🙏
Amina tunakushukuru sana kwa kuiombea huduma hii maombi yako ni jambo la msingi sana tunafarijika kusikia unatuombea ..tunakuombea kubarikiwa zaidi
Huu nao ni 🔥🔥🔥 inapendeza kuona vijana wakitumia sauti Mungu alizowapa kwa utukufu wa jina lake barikiweni sana tu muimbieni Mungu mpaka mwisho wa maisha yenu kwani nyimbo zenu zinawavuta wengi karibu na kristo nawapenda mnoo💕💕💕💕💕💕
Amen
mungu awaongezee nguvu zaidi
Amina
Amen ! Nc Melody with Lyrics
Waooo very nice song be blessed
Nice piece 👍 may this song be a blessing unto others too
Amen be a blessing
Mbarikiwe sanaa!! arrangements nzuri wa sauti na nyimbo ni tamu
Amina sana
Nabarikiwa mno
Mungu awatunze wapendwa mzidi kutusogeza miguun pa baba kwa nyimbo tamu kias hiki
Amina tunashukuru sana kwa ombi la namna hiii ubarikiwe zaidi
Oooh Hallelujah 🙌 be blessed my family.
We love you
Amina mbalikiwe sana
Amina sana
God is able mtukuzeni mungu bilakuchoka Amina
Amina
Mnanibariki sana watumishi wa Mungu
Amina tunakuombea kubarikiwa zaidi
This is good music 🎵🎶🎵 ❤️❤️ God bless your ministry
Amen. To God be the glory😊
@@quinter4962 sure
Love this song..from kitale Kenya..im blessed 😉
Be the blessing amen
Halleluya, be blessed Jomireso
Amen
Jamani
NICE SONG
🙌🙌🙌🙌
Song of the YEAR!!
May GOD bless you!
Amina sana tubarikiwe zaidi
😁😁😃of the year
@@jomiresovoicestz
🙏🙏
AMINA
@@jomiresovoicestz
Hakika🙏
BWANA Wa Majeshi awasimamie Katika Utumishi Wenu ulio tukuka,Amen
Wa kwanza mie
Amina barikiwa
Amina🔥🔥👏👏👏👏
Amen
Haleleyah
HALELUYAH
What a good music
You are talented and blessed
Amen
Good bless you 🎊🙏🙏
Mbarikiwe watumishi
Amina sana
💕🇹🇿🙏🏿🙏🏿 Glory to God
Hallelujah
Barikiweni na BWANA.
Amina barikiwa sana
Jomireso again
Hallelujah
Mojawapo ya nyimbo ninazozipenda kutoka kwa wanaJomireso🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 ''Enzi na enzi hata siku kwa siku tutaabudu milele katika enzi kuu''
Amen ubarikiwe Sana 🙏🙏🙏🔥
@@jomiresovoicestz Amina. Mungu Azidi kuwatumia kueneza Injili yake hizi nyakati za mwisho🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@@abel_seti hallelujah 🙌
Nice song❤
Amen
Waoooooooo🙏🙏🙏🙏🙏👍👍
Amina tubarikiwe
Mbarikiwe sana sauti Zina mpangilio mzuri🥰
Amen 🙏
Amen ❤❤
❤️❤️
Amina😍
Hallelujah
Stay blessed much🙏
Amina sana @Magdalena
Ameni
Hallelujah
Hongereni sana Mungu wabariki sana
Amen
Amen
Hallelujah Jesus
Halleluyah
Amen
its marvelous be blessed guys
Amen
❤️
🙏
❤pianist composer waimbaji ❤mnaninariki jaman
Amen
Nice song
Amen kuwa mbaraka mpendwa
wow i love your songs❤
Amen 🙏🙏🙏
Blessed my favorite songs ❤️
Amen
Barikiwe
Amina
Such a Melody. The vocals are angelic. Am blessed.
Amen
Amina 🙏
Mnanibariki Sana .Mungu azidi kuwatumia kwa kazi yake,🙏🙏
Amina sana tunakuombea mibaraka zaidi
Asante nimebarikiwa
Amina tunakuombea kubarikiwa zaidi
ameen
Aminaaaa
Wooooh Amen
Amen 🙏
Be blessed singers
Amen
Do we have one composer in tz? Coz most of the choirs sing the same composition they are the best . I think studio , programmers, composer's, and finally the choir members give their best from their hearts. I like your songs men, they inspire no dance just smooth they talk to the inner being. Kudos
🙏🙏🙏
@@jomiresovoicestz who sings bass for your group?
Be blessed my family
Amen be blessed too
Your songs are so calming ❤
Amen
be blessed 🙏🙏❤❤
Amen 🙏🙏be blessed too
Nabarikiwa nikiwa nimekaa palee
😀 Amen
#ENZI
18k
🤲
❤❤❤❤❤
Amen,nimependa sana
Amina tubarikiwe sote na ujumbe ndani ya wimbo
❤pianist composer waimbaji ❤mnaninariki jaman
🙏🙏🙏