Sisi wanawake tunataka nini kwa wanaume? Hekima za BITINA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • #ChristinaShusho #Gospel
    (C) Relax Investment
    Christina Shusho Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.to/christi...
    Written & Performed by Christina Shusho
    For Bookings: cshusho@gmail.com
    Follow Christina Shusho on:
    / christinashusho​
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

ความคิดเห็น • 479

  • @freetravelsagents3768
    @freetravelsagents3768 4 ปีที่แล้ว +22

    Mwanamke anahitaji mwanamume mwenye hofu ya Mungu tu...Kwani Mungu ndiye BABA WA WOTE na Mwanamume pia anahitaji mke mtiifu katika mema pia....

  • @josepholando83
    @josepholando83 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen hapo uligonga ndipo napenda sana ni kweli

  • @gwangubwilamalambugi4841
    @gwangubwilamalambugi4841 4 ปีที่แล้ว +5

    Asante kwa mafundisho
    Hapo dada umenigusa sana

  • @childofgod4412
    @childofgod4412 4 ปีที่แล้ว +3

    Upo vizuri na haupo vizuri nina maana kwamba wapo utakaowasaidia na wapo ambao hawatasaidika kutokana na mazingira ila yote mema.ningependa nikushauri kitu kimoja ondoa watu gizani na maswali ya wewe kuachana na mume wako ebu ambia watu ukweli ni upi maana wengi wanajua haupo na mumeo yeah najua utasema hiyo ni maisha yako haiwahusu lakini upo ndani ya maisha yao sasa weka mambo wazi hapo itakuwa umefanya la maana sana.

  • @mbithejustus246
    @mbithejustus246 4 ปีที่แล้ว +4

    Hivi shusho unatakakusema umepata wakujibu maswali

  • @dorisfabian3703
    @dorisfabian3703 4 ปีที่แล้ว +2

    Sio hawa wanaume wa siku hizi wanaishia kutuumiza tuuu...watu hadi tunakata tamaaa

  • @mariamichael4775
    @mariamichael4775 ปีที่แล้ว +1

    Yaaan moyo wangu umeuma...maana umesema ninachotaka

  • @rosegichana7080
    @rosegichana7080 4 ปีที่แล้ว +7

    Very true I was very close to my dad ,and he loved me so much,thank you Christine .

  • @lesliemgaya5913
    @lesliemgaya5913 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante dada

  • @kitchamalimbukokims540
    @kitchamalimbukokims540 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante Sana kwa shauri nzuri sana dada christina alafu ni muhimu sana kwa sisi wanahume hiyio

  • @vonsonjackson4003
    @vonsonjackson4003 3 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed mtumishi wa Mungu

  • @mwenebatuayamba4899
    @mwenebatuayamba4899 4 ปีที่แล้ว +1

    Upendo wa baba ni tofauti na upendo wa mume . na ndomana kuna utofauti kati ya Mme na baba. Ubarikiwe

  • @cleophaskisa5674
    @cleophaskisa5674 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Dada Shusho kwa mawaidha mazuri sana.Kisha nahitaji tu kuongea na ndugu zangu ambao wanamuukumu sana dada yetu kwa mambo mengi yaliyopita.Mimi hata simjui vema huyu dada,niko Kenya lakini nazipenda ngoma zake.Tukumbuke kama binadamu tuna unyonge na maandiko inasema tumepungukiwa zote na utukufu wa mwenyezi Mungu,tuache kuwahukumu wengine wanapokosea ama kuteleza maishani,Mungu ni mwenye huruma na ni yeye Hkimu pekee.Amina.

  • @kahindochance9539
    @kahindochance9539 11 หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa mafundisho mazuri maman yangu

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 4 ปีที่แล้ว +4

    Ms Shuso , wapendeza . 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @blessedforever9486
    @blessedforever9486 4 ปีที่แล้ว +3

    Hapo basi dadangu ushasema kweli kabisa.
    MUNGU akubariki dadangu Christina shusho.Wewe ni wa Baraka Maishani Mwangu.
    U.s.a twakupenda💞

  • @costantinambuna1143
    @costantinambuna1143 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa dada angu umenena ...hapo kwenye maswali ... ubarikiwe Sana

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 4 ปีที่แล้ว +2

    Shusho wapendeza , ngozi yako laini . love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @tanzaniafxlab
    @tanzaniafxlab 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante christina
    Wanaume hatuwezi kujua kama tusipofundishwa

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 4 ปีที่แล้ว +3

    Tunahitaji Upendo tu.Upendo unabeba kila kitu. Mwanaume akimpenda kwa dhati mkewe ni kila kitu. Mke nae atamtii mmewe.

  • @deus3766
    @deus3766 4 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ni mama mpumbavu sana.Umetelekeza ndoa yako sasa umeingia kwenye mitandaoni.

  • @lwitikoasa6899
    @lwitikoasa6899 4 ปีที่แล้ว +12

    mwanamke yoyote anaye tegemea kulizishwa kirakitu na mwanaume amepotea hakuna mwanaume duniani aliye kamilika muombe mwanaume YESU KRISTO tu akutengenezee mumeo rasivyo wanawake mtakwama ameraniwa amtegemeae mwanadamu

    • @madammanka2731
      @madammanka2731 4 ปีที่แล้ว

      Ataongea nini tena ameacha kumhubiri Kristo. Hayo ndio matunda

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 4 ปีที่แล้ว +6

    Kila mtu Siku hizi anajiona anajua nimshauri maisha hii ya dunia haina formula kwanza si kila bint aliyeolewa aliwahi kuwa karibu baba ake pile mke nikuridhika hakuna mtu dunian anaweza kumtozelesha mwanadamu mwezake kamwe Mungu tu mwenye pamoja nakumwangakia bado tu akatoka kwa Mungu ,je utaweza kumtosheleza ishi maisha yako mwanamke usitafute ya zaidi bora uzae watoto wako uwe na chakula chako uvae ulale uamke uishi achana namakoromboze mengi wasanii hawa wameshakomaa na ujinga wao.

    • @childofgod4412
      @childofgod4412 4 ปีที่แล้ว +2

      Yaani wanasahau kwamba vitu vya muhimu sana katika ndoa ni upendo na heshima sanasana kumtegemea Mungu kwa kila jambo

    • @agustinoezekiel367
      @agustinoezekiel367 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

  • @kingmathew1118
    @kingmathew1118 4 ปีที่แล้ว +3

    Heshima kwako Dada yang Christina

  • @lucymigara4438
    @lucymigara4438 4 ปีที่แล้ว +3

    thanks Christina with your dream

  • @yohanamabubu2491
    @yohanamabubu2491 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mama kwa ujumbe mzuri, Mungu azidi kukutumia ili uokoe ndoa za wengi.

  • @TVPasteurDrANDRE
    @TVPasteurDrANDRE 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen, nimazito bali yanaeleweka sana. Wengi wana nimbilia ndoa Bali hawa itaji wafunzwe na waelewe .

  • @Queen..113
    @Queen..113 4 ปีที่แล้ว +2

    God bless you

  • @user-vi7jy4xl8i
    @user-vi7jy4xl8i 4 หลายเดือนก่อน

    Umeonge vizuri sana Christina. Hakuna kitu kibaya kama mtu anayemtegemea achukue nafasi ya baba kuku cover halafu akuchukulie kama mtumwa. Wanaume wanapaswa kujifunza hili

  • @PETERCYMON
    @PETERCYMON 4 ปีที่แล้ว +4

    Christina what you had when you sang 'Nataka hushirika Nawe Roho' is not there today,, Heri umurudie Mungu kwa sababu kama tuko katika mwili huu hatujafika na unaweza enda Jihanamu ata kama mwanzoni ulimtumikia Mungu kwa kweli na roho. But we can come back to God.

  • @queeneva3709
    @queeneva3709 4 ปีที่แล้ว +1

    Sure a leader is there to lead. If a father was a protector and leader you should be one.

  • @neemajackson4076
    @neemajackson4076 4 ปีที่แล้ว +3

    Safiii sanaa my dada uko sawa nakuelewa mnooo

  • @samsonmogaka5101
    @samsonmogaka5101 4 ปีที่แล้ว +8

    Thanks sister for the wonderful advice, in fact I didn't know tht. Be blessed alot

  • @gwakisamwakatage4656
    @gwakisamwakatage4656 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante leo umejibu mtihani wa utafiti wangu. Umeniongezea jambo. Ndio maana nikuonapo najisikia nipo na dadangu kipenzi. Mimi ni shabiki no 1

  • @happyjohn7630
    @happyjohn7630 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah mama umeongea k2 sana mungu haendelee kukutunza

  • @trafficmanager2924
    @trafficmanager2924 4 ปีที่แล้ว +1

    Yeah hii ni kweli kabisa. Same to men too. Tunahitaji pia mwanamke a fill gape ya mama. So true.

  • @drcelinekavira5654
    @drcelinekavira5654 4 ปีที่แล้ว +4

    Dada Christina. wewe unanifurahisha zaidi Kwa jambo la pili. Wanaume wengi Sana wameshidwa hili. Roho za wakewe zimeenda inje na pendo limepunguka. Kwa kweli musijana ni rafiki ya Baba, anapenda Baba kuliko Mama. Kama wanaume hawafanye angalisho Kweli mambo haitaendeka Katila Ndoa.
    Love you souch sister

  • @kelymutungule2620
    @kelymutungule2620 ปีที่แล้ว

    Asati Sana maman kwa shahuri

  • @dorothymmbone8864
    @dorothymmbone8864 4 ปีที่แล้ว +5

    Awesome. What a great message shusho. GOD bless you abundantly.

  • @laini120
    @laini120 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nakubaliana na wewe 100%. Asante Christina

  • @leocadiashinge7888
    @leocadiashinge7888 4 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante Dada T

  • @catherinekole3875
    @catherinekole3875 3 ปีที่แล้ว

    Haki nakupenda 2 bure unasauti nzuri2 mungu akuongonze maisha

  • @robinsonnjenga3325
    @robinsonnjenga3325 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada shusho.... God bless you, mafunzo mazuri sana

  • @ezekiamgimba4564
    @ezekiamgimba4564 4 ปีที่แล้ว

    Kama Mungu amesema niubavu wangu naitakua Nani anaweza kuvunja a hadi ya Mungu

  • @marywaceke4885
    @marywaceke4885 4 ปีที่แล้ว +2

    Am from Kenya and already am loving your wisdom

  • @alfredaloo4834
    @alfredaloo4834 4 ปีที่แล้ว +2

    Nashangaa sana,,,,

  • @fatinesscharrs5963
    @fatinesscharrs5963 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana mtumishi

  • @johnbanda6617
    @johnbanda6617 4 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli kabisa, hapo umeongea vizuri kwa maono yako, lakini kama Mkristo; hujamfunza mwenzako kwa hekima, mke wa yakobo aliyempenda sana Ambaye ni Raeli, alipobeba miungu ya babaye pamoja naye, mumewe aliomba Mungu aangamizwe nayo, akaaga, tafathali ambia hiyo wa kiwango yako na usiite ushauri wa aina hiyo hekima mara nyingine.

  • @vavarenz968
    @vavarenz968 4 ปีที่แล้ว

    Amen Bwana yesu asifiwe
    Nafurahiye sana manone haya ya kujenga kwa watoto ( wa dogo wetu) mimi ni munyarwanda kakini napenda sana dada Christine shusho na ni napenda sana nyimbo zake asante tena asante mungu akubariki

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 8 หลายเดือนก่อน

    yes very nice from Burundi 🇧🇮 Lives in cape Town

  • @sabinanassary9575
    @sabinanassary9575 4 ปีที่แล้ว

    Asante nashukuru Mungu akubariki Sana Dada Christina shusho

  • @bijouxtsikongwe7570
    @bijouxtsikongwe7570 2 ปีที่แล้ว

    Dada Wangu Mungu akubariki sana,

  • @user-ff2vz2dy4k
    @user-ff2vz2dy4k 4 หลายเดือนก่อน

    Aaaaaa kumbeeeeee hii roho ilikuwemo toka zamani endelea mama nimeisikia hekima dah

  • @claudemagadju7650
    @claudemagadju7650 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa mashauri madame Christine. Mungu akubariki. Lakini, iyo kujibu maswali za muke sio iliyo uua munaziri wa Mungu SAMSONI??? Naitaji jibu.

  • @hellenashely2167
    @hellenashely2167 3 ปีที่แล้ว +2

    truly a servant of God be blessed 🙏🏻

  • @graceibrahim4924
    @graceibrahim4924 4 ปีที่แล้ว

    Nimechoka eeeh Yesu naomba hekima itokayo kwako

  • @sharoombay8997
    @sharoombay8997 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mamaaa.

  • @jimmungai8552
    @jimmungai8552 4 ปีที่แล้ว +2

    God bless you Shusho.

  • @teddykanondo5753
    @teddykanondo5753 4 ปีที่แล้ว +13

    Rudia ndoa yako acha kuwatesa watoto. Sijapenda kabisa tabia zako. Unataka kuwafundisha nini vijana wadogo.

    • @majaliwamsigwa3974
      @majaliwamsigwa3974 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo hakumbuki aliko toka na wimbo wa unikumbuke Yesu

    • @samuelkahamire6869
      @samuelkahamire6869 2 ปีที่แล้ว

      Samahani kuwa na utaratibu ya kuandika, please umeniumiza roho kwamambo ambayo ume ya andika, uyu mama mimi nazipenda sana nyimbo na mafundisho yake .usione mwili ona roho inayo zungumuza ndani mwake

  • @diamamersa4803
    @diamamersa4803 2 ปีที่แล้ว

    Love you so much

  • @godfreymushi13
    @godfreymushi13 4 ปีที่แล้ว

    Tazama ilivo ujinga kumleta baba ako kwa ndoa baba ako na mume wako ni tofaut kama kitamb na ujauzito MUNGU alivo sema utamwacha baba ako na mama ako ulijua ni umbal wa mwl tu MUNGU akuhurumie kwa kumwimba bila matendo

  • @thomasphilimonmolel8855
    @thomasphilimonmolel8855 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa mafundisho mazuri

  • @karembokahindimsanzu9645
    @karembokahindimsanzu9645 4 ปีที่แล้ว +5

    True and very important💞

  • @irinewafula1557
    @irinewafula1557 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisaa wanawake wsnahitaji kusikilizwa sana na wanaume na kujibu maswali wakiulizwa jambo ameen christine

  • @amanikamana1287
    @amanikamana1287 ปีที่แล้ว

    The question is why they love money more and answering and they cannot provide.

  • @ruthjohn4317
    @ruthjohn4317 4 ปีที่แล้ว +17

    Mama yangu😂😂😂😂 hakika umenifanya nilie leo kabisa mama umeokoa ndoa yang kabs..mama mme wang hakuw na ufahamu huo mama sijui nikulipe nn mama Jamn mama.Asant mama

  • @mamawakesho3228
    @mamawakesho3228 ปีที่แล้ว

    Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @nonequeartur126
    @nonequeartur126 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Mchungaji Shushu kwa ushauli wako.

  • @pchab1966
    @pchab1966 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana Dada Tina. Umenitambulia ndipo nilipotea njia na mke wangu. Nime elimika.

  • @isaacndaba1278
    @isaacndaba1278 4 หลายเดือนก่อน

    Wow
    Real inspiration .

  • @samsonbomani8459
    @samsonbomani8459 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Kwa darasa ubarikiwe Sana.

  • @user-op7ps3qw6q
    @user-op7ps3qw6q 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kipenzi kwa elimu ya ndoa

  • @philomenakaara5415
    @philomenakaara5415 4 ปีที่แล้ว +4

    Mm sijui uzuri wa kuwa na baba sikubahatika lakini hapo kwa maswali nakuunga mkono 💯

  • @rosegichana7080
    @rosegichana7080 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli Christine

  • @elizabethgitaka3284
    @elizabethgitaka3284 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Christina na je kwa dada ambao hawakupata malezi ya baba nao utawasaidia vipi kwa ndoa zao

    • @jeremiahmwakitalima4820
      @jeremiahmwakitalima4820 4 ปีที่แล้ว +2

      Wapendwa suala la ndoa likikosa uwepo wa Mungu, kikachotawala ni elimu Jamii ambayo saa ingine inatoka kwenye kusudi la Kimungu. Mungu ndiye anaetengeneza ndoa na si mafundisho jamii. Bahati mbaya Mungu huwa hahusiki kwenye mwanzo wa kuanzisha ndoa, na hata akihusika, mbele ya safari tunamwacha Mungu tunapoona kuna amani

    • @R.Dickon
      @R.Dickon 3 ปีที่แล้ว

      @@jeremiahmwakitalima4820 Ukweli ni huu binadamu daima sio expert wamahusiano Ila wapo wanaotoa uzoefu wao ambao mara nyingine hauko chanya 100%

  • @asddsa9995
    @asddsa9995 4 ปีที่แล้ว +14

    And the bible says ,woman will leave her parents and get married to a man and they become one,👏so men too needs attention love and care,sometimes tunajipenda sana as ladies.no man can be compared to your dad,tena dads love us sana as girls,

    • @titusmuthee4149
      @titusmuthee4149 3 ปีที่แล้ว

      Absolutely, men needs respect, love and recognition. Waume sio production machine!

  • @lusekelorichard2787
    @lusekelorichard2787 4 ปีที่แล้ว +17

    Think more Shusho! may be you are right according to your capacity of understanding to this matter. How could I know the treatment that your parents were treating you! patient is all about, and let God lead every relationship. Thanks.

  • @joycempalanzi6199
    @joycempalanzi6199 4 ปีที่แล้ว +2

    Asanteee mumy

  • @consolataantony7365
    @consolataantony7365 4 ปีที่แล้ว +2

    asante kwa ujumbe wako my mdada

  • @gaudensiamganga1695
    @gaudensiamganga1695 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana daer mamy nakupenda

  • @jairoamwayi5011
    @jairoamwayi5011 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisaa Shusho..Mungu akubariki sana

  • @alexisniyongabo833
    @alexisniyongabo833 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana Dada Christina Shusho

  • @milliemihesoh194
    @milliemihesoh194 4 ปีที่แล้ว +11

    Ahsante kwa hili..
    Someone is about to fill the gap of my Dad come 2021..
    N to answer th quizs that i hv..😁

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 8 หลายเดือนก่อน

    yes very nice ♥️

  • @user-vi7jy4xl8i
    @user-vi7jy4xl8i 4 หลายเดือนก่อน

    Ni rahisi watu kukulaumu lakini kwa fundisho ulilotoa naamini wanaume na wote waliokuwa wanakusukumizia mzigo wa lawama wataliangalia jambo hili kwa jicho la tatu, Mungu akatengeneze palipoharibika ili urejee kwenye ndoa yako. Naamini Mungu anaweza kutengeneza upya kile kilichoharibika kabisa

  • @maryann2463
    @maryann2463 3 ปีที่แล้ว +1

    i am watching this video and I am learning a lot, the woman.s desire is not only love but responsability

  • @swaidonatha6663
    @swaidonatha6663 4 ปีที่แล้ว +1

    Very true, the fact Sana dada. Be blesd

  • @joe6
    @joe6 4 ปีที่แล้ว +2

    This is an angle I never saw before but on the course of my marriage my wife has numerous times made reference to her father and with this wisdom I can put one plus one together. Thank you so much Dada may God bless you and grant you more wisdom to keep blessing us.

  • @rachelatupele8283
    @rachelatupele8283 3 ปีที่แล้ว

    Mi nadhani kutafuta kua na tabia kama za baba ake mke so sahih sana.

  • @lindamasikavisusu5286
    @lindamasikavisusu5286 3 ปีที่แล้ว

    Aksanti sana maman christina

  • @kisharakisha6540
    @kisharakisha6540 4 ปีที่แล้ว +4

    Thank you shusho we women we need to be cared before saying I do, many men don’t like questions they even say it’s nagging which it’s our nature

  • @dorcasruth5088
    @dorcasruth5088 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika umenena kabisa, barikiwa AMEN 🙏🏻

    • @rozinkinda1607
      @rozinkinda1607 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante umenena wengi. Wao wanajua in Hera tu

  • @dinoprosper491
    @dinoprosper491 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa shauri alakini

  • @pendokesi3977
    @pendokesi3977 4 ปีที่แล้ว

    Dada Tina yaani nakupenda bure...Mungu akubariki

  • @sarahtunza2252
    @sarahtunza2252 ปีที่แล้ว

    Tunashukuru Sana dada Kwa mafunzo Yako.sarah

  • @hajirarashid8505
    @hajirarashid8505 4 ปีที่แล้ว +1

    Ww chizi kweli hapo hakuna kitu

  • @zeyanaalbattashy1991
    @zeyanaalbattashy1991 4 ปีที่แล้ว

    Asante.... Anty mameno yako ni kweli kabisa.

  • @masibosvlogmasibos9738
    @masibosvlogmasibos9738 4 ปีที่แล้ว +5

    Jee? Walo lelewa bila MA baba hawajui love ya baba

  • @nellienyambukulola6968
    @nellienyambukulola6968 3 ปีที่แล้ว

    Sisemi kitu ila Amen

  • @childrenhour-bestcartoons7104
    @childrenhour-bestcartoons7104 3 ปีที่แล้ว

    VERY REAL .