Messenger - Orchestra Bima Lee

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 30

  • @dadaskidas7642
    @dadaskidas7642 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka mbali sana, 1992 nikiwa kidato cha 1

  • @KhatibuHalidi
    @KhatibuHalidi ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka enzi za mzee ruksa

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 3 ปีที่แล้ว +5

    Aahh! Bima ni Moto wa kuotea mbali! Mzee Max Bushoke napenda sana sauti yako!

  • @abdallaabdulrahman8319
    @abdallaabdulrahman8319 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Kweli usilolijua ni usiku wa giza, siku nyingi nilijua wimbo huu ni wa Vijana Jazz.

  • @evanssichalwe1716
    @evanssichalwe1716 7 ปีที่แล้ว +8

    Yaani hii ni tafsiri halisi ya muziki wa Tanzania natamani kizazi hiki wangejifunza from you guys

  • @hailamtenjela6801
    @hailamtenjela6801 3 ปีที่แล้ว +2

    huu ni mziki ulopendwa na utazidi kupendwa kizazi hili kinakosa mengi

  • @hermanmwandigiri2450
    @hermanmwandigiri2450 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zenye ujumbe!!Safi Bimalee.

  • @rwezahurarevocatus1886
    @rwezahurarevocatus1886 6 ปีที่แล้ว +2

    Naiambatanisha na matokeo mabaya ya timu yangu ya simba kipindi kile Mara utasikia sikio la kufa halisikii dawa kipindi michezoni ujue kazimishwa mikooni mpaka Karibu kushuka daraja,

  • @KhatibuHalidi
    @KhatibuHalidi ปีที่แล้ว

    Kiingilio sh 50 maisha yalikuwa bomba

  • @alfredmunnah721
    @alfredmunnah721 3 ปีที่แล้ว +2

    Muziki ulipokuwa unaitwa Muziki.

  • @isayandolomindolomi1853
    @isayandolomindolomi1853 2 ปีที่แล้ว +1

    Hizo ndizi nyimbo zinazoishi

  • @miriamfritsi9183
    @miriamfritsi9183 8 ปีที่แล้ว +1

    wow,nice msg,the song reminds me back realy.17.4.16.

    • @asiabakari9350
      @asiabakari9350 7 ปีที่แล้ว

      maisha yalikua mazuri sana enzi hizo

  • @dominiquebatule1346
    @dominiquebatule1346 2 ปีที่แล้ว +1

    Good amaizing song

  • @ericernest845
    @ericernest845 5 ปีที่แล้ว +3

    Enzi za kuandikiana barua nazimiss Sana🚮🔍🕯️

  • @hassanmkwenya8368
    @hassanmkwenya8368 3 ปีที่แล้ว +3

    Bushoke.aliama.nao.kutoka.oss.ndekule

  • @shadiidinyo1657
    @shadiidinyo1657 6 ปีที่แล้ว +1

    hatari sana hapo bushoke baada ya kutoka band ya morogoro

  • @deogratiasrwabuyongo5433
    @deogratiasrwabuyongo5433 7 ปีที่แล้ว +3

    Maxmillian Bushoke huyo

    • @khamissalum431
      @khamissalum431 5 ปีที่แล้ว

      Safi sana bushoke

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 4 ปีที่แล้ว

      Huu wimbo alihama nao kutoka Safari sound. Ule wa safari sound ulikua mzuri zaidi ya huu sema hakurekodi

  • @richmnyambugha5463
    @richmnyambugha5463 2 ปีที่แล้ว

    Sept, 2022🙏🙏

  • @Chemba67
    @Chemba67 5 ปีที่แล้ว +2

    Kipindi kile nacho kulikua na Basata wasio sikia wala kujua kitu eti wimbo huu ulifungiwa..... Kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu..... Eti utavunja ndoa za watu wakimaanisha mabosi... Au viongozi.... Basata mpaka leo hawajapona ugonjwa wao vichwani 🤣

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 4 ปีที่แล้ว

      Ilikuweje ukafunguliwa? Maana mimi nimeusikia tangu wakati nikiwa mdogo na sijasahau hata chembe ya neno todate. Wimbo mzuri sana huu.

    • @Chemba67
      @Chemba67 4 ปีที่แล้ว +1

      @@jamesnteleva7073 sina hakika kama umefunguliwa na kama unapigwa ktk redio (RTD). Hapa tunasikiliza na kufurahia teknolojia huru ya mtandao....... Ni wimbo mzuri sana wenye ujumbe mzito unaoishi.

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Chemba67 Okay.🙏🏾 Kwa kweli, ni wimbo mzuri sana.

  • @KhatibuHalidi
    @KhatibuHalidi ปีที่แล้ว +2

    Kiingilio sh 50 maisha yalikuwa bomba