LULU DIVA "Kapokonywa vitu, Saizi ametelekeza mtoto !!!"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Hivi karibuni kumekuwa na maneno yanayoendelea mtandaoni kuhusu msanii Lulu Diva ambapo inasemekana msanii huyu ametelekeza mtoto huko kwao kijijini Tanga sasa Ayo Tv imempata Lulu Diva na amefunguka kuhusu hilo je ni kweli ana mtoto na kamtelekeza.?

ความคิดเห็น • 56

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanza WA zeeka mshipa itakakamaa itakuwa shida kupushi mtt ushindwe na gigi yuwakuwa na katoto Kake mashallah

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 6 หลายเดือนก่อน +2

    Lulu Kama Mungu bado hajakujalia Seema tu ila usiseme mda bado we Ni mtu mzima

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 6 ปีที่แล้ว +7

    kwa ushauri wangu uolewe au uzae bcz unazeka,

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 6 หลายเดือนก่อน +4

    Lakini yule binti amefanana na wew hadi sauti

  • @BahatiMburano-hh6qz
    @BahatiMburano-hh6qz 14 วันที่ผ่านมา

    Sasa mbona muna fanana sana hadi sauti lulu muogope Mungu jamani

  • @AsungaSteven
    @AsungaSteven 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa wanafanana sana

  • @ShijjaKizumbi
    @ShijjaKizumbi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwachen Lulu wetu jaman kashasema Hana mtoto lean lazima😂🎉😂🎉😂🎉🎉

  • @mkaliwenuoriginaltv7655
    @mkaliwenuoriginaltv7655 6 ปีที่แล้ว +2

    Lulu diva nakupenda Sana

  • @LeylaMbeswa
    @LeylaMbeswa 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani yule dogo muongo lulu sio mama ake nikiki tuu yule muongo alikuja tuu dar kwa ajili ya sana mam na baba ake wapo zanzibar kwao ni zanzibar yule ana tafuta tuu kiki kama mna msapoti nyie msapotini ili awe malufu lakini msii mshambulie lulu divaa ana chafuliwa tuu

  • @khayrahawaahmedwaahmed8494
    @khayrahawaahmedwaahmed8494 6 ปีที่แล้ว +1

    usiseme ivo unaweza kujipangia na mungu akakupangi

  • @ImamAbas-f9b
    @ImamAbas-f9b 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu anaonyesha umezaa huyo uso unanyesha

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 6 ปีที่แล้ว

    Lulu nakupenda mie hao wanakuzulia ujinga sijuwi wanataka kitugani wakuache mtoto mwenye bahati zako kama wanaweza wapande juu wakazibe

  • @hbmusictv1176
    @hbmusictv1176 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani uyo anae dai ni mtoto wa luludiva muongo namjua vizuri sana alikuja dar kwa jili ya kufanya sanaa iyo ni kiki tu tunajua ukweli wote

  • @hashimuhehwa4389
    @hashimuhehwa4389 6 ปีที่แล้ว +2

    Mmm sitii neno kwamba huna mtoto mmm lulu lulu muogope Mungu unamkataa mwanao hivi hivi!!!!

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 6 หลายเดือนก่อน

      Kafanana nae kweli zangi sura mpaka sauti.

    • @MariamuAnifa
      @MariamuAnifa 6 หลายเดือนก่อน

      Hana mtt huyo tupo nae hapa mwaka wa 12

  • @victorineBahati
    @victorineBahati 6 หลายเดือนก่อน

    Unasema visuri dada

  • @winikewe5186
    @winikewe5186 6 ปีที่แล้ว

    nakupenda mamy

  • @bettykadzo2007
    @bettykadzo2007 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama huyo dada anadanganya wewe sio mamake DNA ifanywe watu waamini, alafu mbona huchukui hatua kama sio mwanao uka muhoji nakuenda naye hadi kwa babu yake kuamini ni kweli sio mtoto wako watu wataamini vipi sio mwanao toa ushahidi

  • @abdulkashoga4704
    @abdulkashoga4704 5 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo ni wako huyo

  • @antonyngala1977
    @antonyngala1977 6 ปีที่แล้ว

    Wee fala kweli Ati miaka tano

  • @asiazuberi2624
    @asiazuberi2624 6 ปีที่แล้ว +1

    Usikatae mtt we mwanamke

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 6 ปีที่แล้ว +1

    Habari za tz za kipuuzi

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 6 หลายเดือนก่อน

      Kweli. Tanzania Bara hizo ndio habari zao za maisha Yao.

  • @moalaly4923
    @moalaly4923 2 ปีที่แล้ว +1

    acha masihara siendekezi ujinga

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 6 ปีที่แล้ว

    Mmmh tumemchoka huyo nayo tuleteeni vitu vya maana

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 6 ปีที่แล้ว +1

    acha ufara we we mbona maziwa kama unanyonyesha hayo alafu hyo miaka mitano si ushakuwa bb tayari

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 7 หลายเดือนก่อน

      Ziwa si tatizo,si wanaume wanayanyonya kila cku

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 6 หลายเดือนก่อน

    Sema hujamata wakukuoa ulipofika wee zaa utakuja juta umri unaenda mwajifanya watoto wadogo

  • @NduwimanaAmina-io2cf
    @NduwimanaAmina-io2cf 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mutoto. Munafananasana. Bora. Uremutoto. Aende. Arete. Urebabu. Azungumuze. Vizurikabisa

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว

    Okay tumekusoma

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 6 หลายเดือนก่อน

    Hat maelez yak yanaonyesh mtot wak

  • @davidjosiah4034
    @davidjosiah4034 6 ปีที่แล้ว

    Poor answer ....... you want your kid to be посол forget

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 6 หลายเดือนก่อน

    Umefanan nae mpk sauti nenda kamchukue mwenao

    • @rereshap9416
      @rereshap9416 6 หลายเดือนก่อน

      Yule uliyemzalisha wewe au ?!

  • @nyotaamadi8389
    @nyotaamadi8389 6 ปีที่แล้ว

    Duh mitano

  • @husseinmohamed9365
    @husseinmohamed9365 6 ปีที่แล้ว +1

    mitano,duuui

  • @nassirsamir3355
    @nassirsamir3355 6 ปีที่แล้ว

    Martha baba ako ushamuzia km humpend we anakupenda nan

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 6 หลายเดือนก่อน

    Lulu mtto wako umefanana nae na sura yako tu inaonesha ni mtto wako sio pow

    • @aminanimbona1861
      @aminanimbona1861 6 หลายเดือนก่อน

      Ashasema hana mtoto jamani mumuelewe

  • @musakituku458
    @musakituku458 6 ปีที่แล้ว

    Ask her, is she aware what menopause is?.

  • @braysonidama1661
    @braysonidama1661 6 ปีที่แล้ว

    Kadem nako kajinga kajinga tu

  • @mwajumamuhasu9885
    @mwajumamuhasu9885 6 ปีที่แล้ว

    utalea Wa wenzako mpk uzeeke kahaba ww

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 6 ปีที่แล้ว +3

    kiki tu ujinga

  • @MariyimJumanin
    @MariyimJumanin 28 วันที่ผ่านมา

    Kama mtoto wako mchukue

  • @aminaluttu8339
    @aminaluttu8339 6 ปีที่แล้ว

    nikushauri tu lulu nunua dawa za mafua maana naona yanakusumbua kila ukihojiwa

    • @deogratiusjoseph770
      @deogratiusjoseph770 6 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅 du

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 6 หลายเดือนก่อน

      Dada Mkumbwa Hiyo Ndio Ongea Yake Mafua Hayo Kila Akiojiwa Yanatokea Wapi 😂😂😂

  • @aminaabuu755
    @aminaabuu755 6 ปีที่แล้ว

    mhhh miaka mitano ushakuwa mbibi 😂😂

  • @dominickjohn1128
    @dominickjohn1128 6 ปีที่แล้ว

    Haka kadem nakakubali kinoma(kabebi face).

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂

    • @husnamlela1743
      @husnamlela1743 5 ปีที่แล้ว

      Iyo nywele nimeichoka machoni mwangu we dada