SALA YANGU - Sir Michael | OFFICIAL VIDEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ธ.ค. 2024
  • Tunawakaribisheni kutazama na kusikiliza wimbo huu wa sala unaoitwa SALA YANGU, ulioimbwa na Kwaya ya Vijana kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu - Babadogo, Jimbo kuu katoliki la Nairobi; ikiwa ni moja wapo wa nyimbo kumi katika kanda la tatu uliozinduliwa rasmi miezi michache zilizopita.
    Wimbo huu umetungwa na Sir Michael, na kuandaliwa na studio za St. Sylvester Media Production - Nairobi.
    Wasiliana na kwaya hii kwa nambari 0705 326 145 / 0728 219 505.
    SALA YANGU
    KIITIKIO: Sikia sala yangu Bwana (Mungu wangu), nikuombapo Bwana nisikie
    1. Mawimbi yanaponisonga Bwana, wewe ndiwe tumaini langu, nisikilize ee Bwana uniokoe.
    2. Nikumbuke wakati wa masaibu, shetani asifurahi juu yangu, kwa kuwa kukaa kwangu na kuzama kwangu.
    3. Nimekukimbilia wewe Bwana, nisiaibike milele, wewe ndiwe ngome yangu kimbilio langu.
    4. Baraka zako unimiminie, maana ndiwe kimbilio langu, nibariki ee Bwana unitakase.
    #GodAboveAll #YouthForChrist

ความคิดเห็น • 7

  • @josphynachy8365
    @josphynachy8365 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice one

  • @angelpaulinekadana500
    @angelpaulinekadana500 2 ปีที่แล้ว +1

    May our Almighty God shower you with more blessings and add you more strength to work for Him, congratulations 👏 our youths, Babadogo parish.

  • @samuelonyangonyaoke9677
    @samuelonyangonyaoke9677 2 ปีที่แล้ว +1

    Wooooo great performance

  • @dorothymbuere5832
    @dorothymbuere5832 2 ปีที่แล้ว +2

    SAFI SANA nyimbo zenu na mpiga kinanda safi kabisa ni nyimbo za zaburi ni safi . LAKINI nakosoa mavazi yenu ayo ya black hayakupendeza mengine ni mafupi muno. Kumbuka munamsifu Mungu lazima mvae nguo za kuonekana za heshima mbele za Mungu. Mulianza vizuri sana .Lakini zile siketi nyeusi na fupi hapana. hapana Vijana super mavazi yao shida kwa wa dada.Mbarikiwe Nyimbo ni safi sana na mpigakinanda super. Mavazi meupe kwa wamama super na vijana. pia shida ni sikirti tu hapana hapana.

  • @richalltimepraisestogod5660
    @richalltimepraisestogod5660 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni Vijana wa parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Babadogo, Nairobi. Baraka za Mungu kwenu, Kwa utunzi na uimbaji nzuri wa sala. Wimbo mzuri mno, ubunifu wa kiwango Cha juu, picha Bora, mpangilio nzuri wa vyombo na sauti. Mavazi, vyote Kwa jumla .
    Sadakta!
    Mungu awajalie nguvu.🙏