ST. CECILIA YOUTH CHOIR - BABADOGO
ST. CECILIA YOUTH CHOIR - BABADOGO
  • 51
  • 420 851
MKATOLIKI KAMILI { Najivunia } (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Babadogo
WIMBO: Mkatoliki Kamili aka NAJIVUNIA
MTUNZI: Sir Michael
WAIMBAJI: Wanasecilia Babadogo
AUDIO: St. Sylvester Media Production
VIDEO: One Fine Flick Studios
Tunawakaribisheni kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa NKATOLIKI KAMILI, ulioimbwa na Kwaya ya Vijana ya Mt. Secilia kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu - Babadogo, Jimbo kuu katoliki la Nairobi; ikiwa ni moja wapo wa nyimbo kumi katika kanda la tatu.
Wimbo huu umetungwa na Sir Michael, na kuandaliwa na studio za St. Sylvester Media Production - Nairobi.
Wasiliana na kwaya hii kwa nambari 0710 398 180 / 0715 351 243.
ENJOY!
MKATOLIKI KAMILI - NAJIVUNIA
Najivunia kua mkatoliki kamili,
Natetea imani yangu kwa ujasiri,
(Sababu naijua ni thabiti kwa Mungu x2)
1. Nafurahia mwongozo wa kanisa,
jinsi roho wa Mungu alivyo niongoza,
sala na ibada ilivyo ratibiwa.
2. Nina uhuru wa kunena na Mungu,
baba, na mwana, na roho mtakatifu,
Mungu mwenye nguvu katika altare.
3. Ninao uhusiano nae Yesu,
kwa kumpokea kwa mwili na damuye,
roho na uungu katika ekaristi.
4. Tunaongozwa na watu wa hekima,
Papa, maaskofu, mapadre, na watawa,
ndani yake Mungu wanatuimarisha.
#GodAboveAll #YouthForChrist
มุมมอง: 12 406

วีดีโอ

Our Lady of Mercy - Mass | Victor Mwadime | Tuhurumie/Utukufu
มุมมอง 11K2 หลายเดือนก่อน
Watch and listen to the fine tunes of St. Cecilia Choir - Babadogo as they perform Our Lady of Mercy mass at Sacred Heart of Jesus Parish - Babadogo. 0:00 - Tuhurumie/Kyrie 3:07 - Utukufu/Gloria Organist @eugineshikanga5550 #youthforchrist #youthministry #wanasesilia
Ninakupenda ewe Mwokozi wangu || P. F Mwarabu || Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
มุมมอง 1.3K2 หลายเดือนก่อน
Watch and listen to the fine tunes of St. Cecilia Choir - Babadogo as they perform Ninakupenda ewe Mwokozi wangu composition of Paschal Florian Mwarabu. Organist @eugineshikanga5550 #youthforchrist #youthministry
Hatutoki hapa - St. Gregory Ongata Rongai Choir | Sacred Heart of Jesus Parish Liturgical Dancers
มุมมอง 1.5K3 หลายเดือนก่อน
Watch Sacred Heart of Jesus Parish liturgical dancers dance to Ochieng Odongo's Hatutoki hapa as sang by St. Gregory Ongata Rongai Choir. This video is for liturgical, evangelization and entertainment purposes only. We therefore DO NOT own the rights to this song. All rights belong to the original owners and producers, MBEGU NYINGINE PRODUCTIONS and St. Gregory Ongata Rongai Choir - th-cam.com/...
TWENDENI TUKAMPOKEE - Dan Kasambia | Official Video // St. Cecilia Choir - Babadogo
มุมมอง 1.4K4 หลายเดือนก่อน
Tunawakaribisheni kutazama na kusikiliza wimbo huu wa komunyo unaoitwa TWENDENI TUKAMPOKEE, ulioimbwa na Kwaya ya vijana ya Mtakatifu Secilia kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu - Babadogo, Jimbo kuu katoliki la Nairobi; ikiwa ni moja wapo wa nyimbo kumi katika kanda la tatu uliozinduliwa rasmi miezi kadhaa iliyopita. Wimbo huu umetungwa na Daniel Kasambia, na kuandaliwa na studio za St. S...
NALIFURAHI WALIPONIAMBIA - ST Joseph's the Worker Mutituni Choir | Sacred Heart Liturgical Dancers
มุมมอง 27K5 หลายเดือนก่อน
Sacred Heart of Jesus Parish liturgical dancers dance to Nalifurahi waliponiambia | Twende nyumbani, Entrance song by st Joseph's The Worker Mutituni Catholic Choir. This video is for liturgical, evangelization and entertainment purposes only. We therefore DO NOT own the rights to this song. All rights belong to the original owners and producers, D.M. Mueke and ST JOSEPH'S THE WORKER MUTITUNI C...
MUNGU AMEPAA | Alfred Ossonga - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
มุมมอง 9296 หลายเดือนก่อน
Watch and listen to the fine tunes of St. Cecilia Choir - Babadogo as they perform Mungu Amepaa, a composition of Alfred Ossonga during ascension mass at Sacred Heart of Jesus Parish - Babadogo. Organist @eugineshikanga5550 #youthforchrist #youthministry
Twende Nyumbani - Nalifurahi Waliponiambia - David Mueke | Performed by Babadogo Muungano Choir
มุมมอง 2K7 หลายเดือนก่อน
Watch and listen to the fine tunes of Sacred Heart Catholic Parish - Babadogo Muungano Choir as they perform Nalifurahi Waliponiambia Twende nyumbani mwa Bwana, composition of David Mueke during confirmation mass graced by Archdiocese of Nairobi's His Grace Archbishop Philip Anyolo, at Sacred Heart of Jesus Parish - Babadogo on 20th April, 2024. Organist Maestro @eugineshikanga5550
SIFA ZA BWANA - Sir Michael | Official Video // St. Cecilia Choir - Babadogo
มุมมอง 1.6K7 หลายเดือนก่อน
Tunawakaribisheni kutazama na kusikiliza wimbo huu wa shukrani unaoitwa SIFA ZA BWANA, ulioimbwa na Kwaya ya vijana ya Mtakatifu Secilia kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu - Babadogo, Jimbo kuu katoliki la Nairobi; ikiwa ni moja wapo wa nyimbo kumi katika kanda la tatu uliozinduliwa rasmi miezi kadhaa iliyopita. Wimbo huu umetungwa na Sir Michael, na kuandaliwa na studio za St. Sylvester ...
Tunakuja na Vipaji Vyetu - Tunaleta Mavuno Bwana Mungu Pokea // Yamba Yamba
มุมมอง 2.1K8 หลายเดือนก่อน
Watch and listen to the fine tunes of St. Cecilia Choir - Babadogo as they perform Tunakuja na Vipaji Vyetu - composition of Alfred Ossonga and Yamba Yamba during Palm Sunday mass at Sacred Heart of Jesus Parish - Babadogo (24th March, 2024) Organist Ambrose #youthforchrist #youthministry
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu | G. A Chavallah | Kwaresma|Nani Angesimama
มุมมอง 7098 หลายเดือนก่อน
Watch and listen to the fine tunes of St. Cecilia Choir - Babadogo as they perform Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu | Nani Angesimama, composition of G. A Chavallah during mass at Sacred Heart of Jesus Parish - Babadogo. Organist Ambrose #youthforchrist #youthministry
MMOJA ATANISALITI (Mimi Nawaambia) - St. Cecilia Choir - Babadogo (Lyric Video) // Kwaresma // Lent
มุมมอง 2869 หลายเดือนก่อน
Tunakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu wa kwaresma unaoitwa MMOJA ATANISALITI, ulioimbwa na Kwaya ya Vijana ya Mtakatifu Secilia kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu - Babadogo, Jimbo kuu katoliki la Nairobi; ikiwa ni moja wapo ya nyimbo kumi katika kanda la tatu uliozinduliwa rasmi miezi kadhaa zilizopita. Ni matumaini yetu kuwa itakufaa kwenye tafakari yako katika kipindi hiki c...
AFICHAYE DHAMBI ZAKE | Aloyce Goden - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
มุมมอง 1.6K9 หลายเดือนก่อน
Watch and listen to the fine tunes of St. Cecilia Choir - Babadogo as they perform AFICHAYE DHAMBI ZAKE composition of Aloyce Goden during mass at Sacred Heart of Jesus Parish - Babadogo. Organist Michael Dom #youthforchrist #youthministry
NITAKUPENDA MILELE - JULIANA | M.C Mabogo - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
มุมมอง 9609 หลายเดือนก่อน
NITAKUPENDA MILELE - JULIANA | M.C Mabogo - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
Mama Maria | Pokea zetu salamu | Kavakule Meriack - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
มุมมอง 4.4K10 หลายเดือนก่อน
Mama Maria | Pokea zetu salamu | Kavakule Meriack - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
NYOTA YA MATUMAINI | Pascal Nestory - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
มุมมอง 1.4K10 หลายเดือนก่อน
NYOTA YA MATUMAINI | Pascal Nestory - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
NASADIKI | MIMI YESU Arrangement - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
มุมมอง 8K11 หลายเดือนก่อน
NASADIKI | MIMI YESU Arrangement - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
Itengenezeni Njia ya Bwana | Alfred Ossonga - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
มุมมอง 1.5K11 หลายเดือนก่อน
Itengenezeni Njia ya Bwana | Alfred Ossonga - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
HUYU NI NANI - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
มุมมอง 2.4Kปีที่แล้ว
HUYU NI NANI - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
YESU KRISTO NI MFALME | Ray Ufunguo - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
มุมมอง 2.2Kปีที่แล้ว
YESU KRISTO NI MFALME | Ray Ufunguo - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
Njooni tuingie - St. John XIII Rabuor Catholic Choir | Sacred Heart Babadogo Liturgical Dancers
มุมมอง 132Kปีที่แล้ว
Njooni tuingie - St. John XIII Rabuor Catholic Choir | Sacred Heart Babadogo Liturgical Dancers
MAMA MARIA | Sir Michael | (Official Music Video) - St. Cecilia Choir
มุมมอง 1.7Kปีที่แล้ว
MAMA MARIA | Sir Michael | (Official Music Video) - St. Cecilia Choir
We asa osa X Utukuzwe | Performed by St. Cecilia Choir Babadogo
มุมมอง 2Kปีที่แล้ว
We asa osa X Utukuzwe | Performed by St. Cecilia Choir Babadogo
CHRIST THE KING MASS | KYRIE/GLORY
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
CHRIST THE KING MASS | KYRIE/GLORY
Fadhili Za Bwana - St. Cecilia Choir Babadogo
มุมมอง 469ปีที่แล้ว
Fadhili Za Bwana - St. Cecilia Choir Babadogo
NALIFURAHI WALIPONIAMBIA | WAKRISTU WOTE TUSIMAME
มุมมอง 3.4Kปีที่แล้ว
NALIFURAHI WALIPONIAMBIA | WAKRISTU WOTE TUSIMAME
I LOVE YOU MPENZI WANGU - PERFORMED BY ST. CECILIA CHOIR; BABADOGO
มุมมอง 9Kปีที่แล้ว
I LOVE YOU MPENZI WANGU - PERFORMED BY ST. CECILIA CHOIR; BABADOGO
Ngai Niariturathimaga | Afande Kiiru - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
มุมมอง 2.6Kปีที่แล้ว
Ngai Niariturathimaga | Afande Kiiru - Performed by St. Cecilia Youth Choir - Babadogo
Misa Subukia | Tuhurumie/Utukufu
มุมมอง 55Kปีที่แล้ว
Misa Subukia | Tuhurumie/Utukufu
MTAKATIFU KORU | Best Sanctus | St. Cecilia Choir - Babadogo
มุมมอง 3.1Kปีที่แล้ว
MTAKATIFU KORU | Best Sanctus | St. Cecilia Choir - Babadogo

ความคิดเห็น