HATUA KWA HATUA: Namna ya kufuga samaki katika vizimba, gharama zake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ส.ค. 2020
  • #NaneNane #Simiyu #Wakulima #SikukuuYaWakulima ‪@DailyNewsDigital‬
    Wataalam wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo wanaendelea kuelemisha mbinu kadhaa za kuboresha sekta ya kilimo @Daily News Digital

ความคิดเห็น • 11

  • @victoriammari7159
    @victoriammari7159 2 ปีที่แล้ว

    Million Saba kwakweli mko kuu huwezimkomboa mwananchi watching jaribuni kuangalia hapo hujanunuavifaranga

  • @jovinb6
    @jovinb6 13 วันที่ผ่านมา

    Kweli gharama zote hizi kwa startup? Then jua gharama za kununua eneo la beach sio mchezo

  • @richardchimba3800
    @richardchimba3800 10 วันที่ผ่านมา

    Gharama gharama

  • @chriskudilla5355
    @chriskudilla5355 ปีที่แล้ว

    Gharama nyingi mno😊

  • @gracemarere5086
    @gracemarere5086 2 ปีที่แล้ว

    Shida c hela,ila naona mzunguko Sana ingetahishwa kupunguza mzunguko kila idara.wekeni hivo vibali wataalam hao wanaokagua ukiende sehm moja vibali na wataalam wawepo

  • @wolfganggumbo9226
    @wolfganggumbo9226 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa gharama zote hizo,serikali inawalenga watu gani katika shughuli hii ya ufugaji samaki kwa kutumia Vizimba?

  • @suleimanshilugu3678
    @suleimanshilugu3678 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba zenu

  • @nelsonbaregu2895
    @nelsonbaregu2895 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona gharama ni nyingi sana jamani tutafika kweli
    Mala 200,000
    Mala 3,000,000
    Mala 2,000,000
    Kazi kweli kweli

    • @user-bp2ht8ob7q
      @user-bp2ht8ob7q 9 วันที่ผ่านมา

      😢Ni Mara na sio mala

  • @zabronernest3471
    @zabronernest3471 ปีที่แล้ว

    Gharama ni kubwa mno

  • @rinusrichard
    @rinusrichard 2 ปีที่แล้ว

    nadhani hii mbinu sio ya kumkomboa mwanachi wa hali ya chini