Umezengua Bana sikama mwanzo siku hizo hatukuelewi Sisi mashabik zako bro MDA NI kidogo wimbo pia uzingatie ila 🎉🎉 KAZI nzuri congratulations 👏 big up BT hayo makosa uzingatie wengine hawaoni nikuomba like. Tu😢
@@JamesJ-b2h ukiangalia Baba yang kipofu na kp na zebu Siri ya huba Nawengine ata wakati ako na kinaa Bravo na sadra alikuwa anafanya vizur san lkn naon xhv anepoteza Dira huyu mjomb 🤣🤣
Oyaaa bro unatuma kipisi chenye dk 8 aah ni dagaaa uwoooh kwel utoto Bora hata mtoto unaweza kusema hajakuwa uwooo ni umamdogo Bora hata mamdogo utasema nae bado mdogo ananyonya uwooh ni umamkubwa Fatuma seleman mchumba lajabu kaza bro tunakutegemea et move zako nzuri sana😮😅😊
Juma jicho vp mbona tena filamu nzuri inaelekea tale patamu zaidi lkn naona kama wafeli kumalizia mchongo vizuri,jitaidi tumalize vizuri ss mashabiki tuko kwa kukusapoti na pia twaona kila kitu.
Juma unazingua
juma unatisha lakini fanyawepes kuleta miendelezo epsoad37
😂🎉🎉🎉😅😅
Mimi wa kwanza
Umezengua Bana sikama mwanzo siku hizo hatukuelewi Sisi mashabik zako bro MDA NI kidogo wimbo pia uzingatie ila 🎉🎉 KAZI nzuri congratulations 👏 big up BT hayo makosa uzingatie wengine hawaoni nikuomba like. Tu😢
Kuhusu mmbo nanyimbo nikama hii movie nzima nikama hio nyimbo ndio muhimu sn kuliko ata wanachokiongea alf ep vifup lkn anasomo comment lkn hatuelew
Juma anazingua Sana
@@JamesJ-b2h ukiangalia Baba yang kipofu na kp na zebu Siri ya huba Nawengine ata wakati ako na kinaa Bravo na sadra alikuwa anafanya vizur san lkn naon xhv anepoteza Dira huyu mjomb 🤣🤣
Juma nitumie hii nyumba
@@mtotowarasta8046 🤣😂😂 umenipoteza kabisa sielewi
😮ni mzuki tu hamna kitu
Unatupa dk 8 ni kisamvu icho ni dagaa fatuma seleman
Unazinguwa sana ndugu juma, iyo sio kisanvu😂 fatuma selemani, tumika kazi kwa umakini sio vema unatufanyia
Pacome brinch mzee amecheza kama muungwana San japo ni mhuni 👋 comasava
Mbona 37 akuna
Juma una Kaiza movie sana alafu mbona mda mfupi
juma unafel kwenye dakika bro chache xana🫣
Juma unazingua kweny dakika
❤❤❤
Safi
Daaa kawimbo kazuri sanaa jaman naomben like zenu
🎉
Mbonaa unabaniaa dakikaaa fatumaa ww
Nzur San kaka
Anajitaidi jamaa
Nyimbo inazidi mda mchache sana asee aaah
37. Mbona hatuipatii mashabiki tupoo motooo
Juma jicho, huo wimbo nautka sana.
Ushanipoteza
Siku zote hizo unatoa dakika nane wewe mbona uko na masiara
Wa iyo movie yako
ALF JUMA UMEKUA FALA KWELI SASA NDIO NINI IKI
Hii nyimbo mi ndio naipenda mapenzi ya choyo bigup Sana juma nakukubali
Oyaaa bro vp iyo nyimbo nimeikubali mapenzi ya choyo
🎉🎉
😂😂😂😂😂Wali edit huko mwengine wakajisahau hawakuwanakitu chakueka😂😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri
Mm naomba uuuh wimbo nitumie jina la uyuuh msahni anaitwaje mm Niko Moçambique
Kaz nzur wap anazingua saiv mala nus mala analudia Ludia si usenge huo juma na ww mbona ulikwa ushaanza kuua t umekuwaje nyuma haukuwa ivo
Mimi apa kutoka ushago
Uyuu miyeyusho dakika 8 tu yani
Vipi mzee juma 😂😂jicho una Kaiza movie 🎥 mbona atu elei
Mbona wimbo uzid unafely juma
Juma naomba jina la wimbo
Juma jicho juma chongo muongo huyo
Juma vp Tena mbona kama haupo seriously au mashabik wamekuchanganya kuifatilia San ndy MN dk kdg San Alf inachua mda mref duuu
Tatizo juma jicho una Kaiza movie sana ume patwa na nini bro
Sorry
Oya juma achakuchez na MB zetu
Maana umeanza kuzingua
Mweny kit kayatimba nyumba inauzwa
Juma vp kaka mbona kimy
Oyaaa bro unatuma kipisi chenye dk 8 aah ni dagaaa uwoooh kwel utoto Bora hata mtoto unaweza kusema hajakuwa uwooo ni umamdogo Bora hata mamdogo utasema nae bado mdogo ananyonya uwooh ni umamkubwa Fatuma seleman mchumba lajabu kaza bro tunakutegemea et move zako nzuri sana😮😅😊
umechoka na kazi wewe potea
Juma umeanza mambo meuc dk 8 ni highlight ya magoli ya yanga sio tamthilia
Hahahaha kweli kijana wetu anafeli sanaa kwa sasa
juma dakika nane kweli??
Kaka juma unatuznguah jalibu kusom ata comment Ili ujue nn tunataka watazamaji wako
Kaz nzuri ila haielewek kbx yaan imekuwa Sasa mvulugan kwel nashindwa ata kujielezea
Juma wewe ni kuma tu
Mda kidogo iga Kwa clam VEVO bn
👊👊🫡🫡
Juma ngoja tukuchane yani sjui unafanyaje kazi yani vipande avieleweki kabisa yani ebu jitaid bn
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mda
Juma jicho vp mbona tena filamu nzuri inaelekea tale patamu zaidi lkn naona kama wafeli kumalizia mchongo vizuri,jitaidi tumalize vizuri ss mashabiki tuko kwa kukusapoti na pia twaona kila kitu.
Mbona unazingua episode gan hizi umeanza kutoa
Anachopitia juma kama nakihic vile so tumsamehe bure
Samahan
fatuma seremani mchumba rajabu
Episode gani unakua na dakik 8
Unazingua
kutok Zanzibar jicho family❤
WANAOKUSIFIA WANAKUPOTEZA KAZI NI ZURI LKN MAKOSA NI MENGI KULIKO UZURI WA KAZI DK6 KIPANDE KIMEISHA MZIKI MKUBWA MALA INALUKALUKA TU
ℕ𝕒𝕥𝕒𝕜𝕒 𝕟𝕪𝕚𝕞𝕓𝕠 𝕙𝕚𝕪𝕠 𝕚𝕟𝕒𝕪𝕠𝕥𝕒𝕞𝕓𝕒 𝕜𝕨𝕖𝕟𝕪 𝕞𝕠𝕧𝕚𝕖 𝕙𝕚𝕚 𝕒𝕟𝕒𝕖𝕚𝕛𝕦𝕒 𝕞𝕤𝕒𝕒𝕕𝕒 𝕒𝕟𝕚𝕒𝕞𝕓𝕚𝕖 𝕪𝕒 𝕟𝕒𝕟𝕚
37. Mbona hatuipatii mashabiki tupoo motooo
juma unafel kwenye dakika bro chache xana🫣
❤❤