MITIMINGI # 680 SIRI YA KUUTEKA MOYO WA MWANAMKE AKABAKI NA WEWE TU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Mwanamke ana kiu ya kuoneshwa upendo kutoka kwa mume wake.
    Je wataka kufahamu kiu aliyonayo mwanamke?
    Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist #WCC +255 713 18 39 39

ความคิดเห็น • 74

  • @rosemangati8545
    @rosemangati8545 5 ปีที่แล้ว +2

    mchungaji unaeleweka sana sana Mungu akubariki sana. kwa kweli unaongea fact kabisa

  • @dastanpantaleo935
    @dastanpantaleo935 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu aniongoza maana umewafungua wengi kwa hili fundisho

  • @saumuathman901
    @saumuathman901 5 ปีที่แล้ว +2

    Imenigusa sana hii mchungaji....tunalia kweli sio uongo..

  • @munguaonayetv35
    @munguaonayetv35 3 ปีที่แล้ว +2

    Upo good japo haupo duniani

  • @godiasjohn2915
    @godiasjohn2915 4 ปีที่แล้ว +3

    Roho imesononeka sana rip brother 😥😥

  • @focustz4408
    @focustz4408 5 ปีที่แล้ว +6

    .hivi kwa nini watumishi wengi uwa wanakua na walinzi wakati wanaubili neno la mungu nimeona wachugaji wengi wamekua hivo

  • @mealemalika7565
    @mealemalika7565 5 ปีที่แล้ว +7

    Karibu kwetu kenya mchungaji

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 5 ปีที่แล้ว +5

    Ubarkiwe baba nazid kuimarika

  • @davidmidunga7690
    @davidmidunga7690 5 ปีที่แล้ว +3

    mafundisho yako yanazidi nakufungua zangu akili.mungu akuinue ili ukazidi nakunifungulia yale nisiyo yajua.mafundisho mazuri sana

  • @bablasam3970
    @bablasam3970 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah utakumbukwa daima

  • @angelsylvester4795
    @angelsylvester4795 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akubariki sana umenigusa sana icho unacho sema ni kweli tupu🙏🙏

  • @faidaruzamuka6997
    @faidaruzamuka6997 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe maisha marefu.

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen Baba kweli kabsa upendo ni mhimu kabisa

  • @mlasikalala3838
    @mlasikalala3838 5 ปีที่แล้ว +6

    Ubarikiwe

  • @collinsmadanji2350
    @collinsmadanji2350 3 ปีที่แล้ว +1

    Searching for that kind wife kupitia hii mafundisho God will open the doors

  • @felisterjoaeph432
    @felisterjoaeph432 5 ปีที่แล้ว +1

    Baba ubarikiwe sana na mfundisho yako mazuri, nayapenda ila natamani ck niwaailiane nawe nina ahida

  • @hawadule7023
    @hawadule7023 5 ปีที่แล้ว +4

    barikiwa sana

  • @quinneyoyo6608
    @quinneyoyo6608 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ali gupenda kutuzidi 😞 😭 mucungaji had ni mafunzo ananikusa kumbe 🇧🇮 Burundii kwetu uliwai kuja

  • @mhachependo4656
    @mhachependo4656 5 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru kwa mafundisho yako mtumishi wa Mungu nakufatilia nikiwa UAE

  • @rehemapeter8692
    @rehemapeter8692 5 ปีที่แล้ว +2

    Nmejifunza Pastor Mungu azidi kukubariki

  • @avitrujweka2113
    @avitrujweka2113 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika nabarikiwa sana na mafundisho yako, Mungu akuweke Pastor.

    • @bablasam3970
      @bablasam3970 4 ปีที่แล้ว

      Avit Rujweka ameondoka jamani

    • @avitrujweka2113
      @avitrujweka2113 4 ปีที่แล้ว

      @@bablasam3970 😭😭😭

  • @HubertCubaka
    @HubertCubaka 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa funzo hili...

  • @sophiasteven5661
    @sophiasteven5661 5 ปีที่แล้ว +2

    Haya maneno wangekuwa wanayasikiliza na kuyaelewa!!

  • @barakakomba6171
    @barakakomba6171 4 ปีที่แล้ว

    Hongela mchungaji nakuelewa Kama mugogo

  • @lissajeruto5373
    @lissajeruto5373 3 ปีที่แล้ว

    Bwana masikara,, mama mchungaji

  • @francinemwandu6325
    @francinemwandu6325 4 ปีที่แล้ว

    Napenda sana mahubiri yako

  • @danielulomi8994
    @danielulomi8994 5 ปีที่แล้ว +12

    Mwalimu nataka kujiunga kanisani kwako

  • @jacqulinemushi5849
    @jacqulinemushi5849 5 ปีที่แล้ว +1

    Amina kubwaa

  • @jescasilas8895
    @jescasilas8895 3 ปีที่แล้ว +2

    Rest in peace Pastor

    • @saidimulengima367
      @saidimulengima367 ปีที่แล้ว

      Is it true amepass!!!!!!!!!!!!!!!! He has been my best pastor online

  • @kingrutaonlinetv7630
    @kingrutaonlinetv7630 4 ปีที่แล้ว

    Very nice

  • @godlisten9260
    @godlisten9260 2 ปีที่แล้ว

    Rip 😭

  • @ostazclassic3370
    @ostazclassic3370 5 ปีที่แล้ว +6

    Upendo ni zaidi ya kilakitu aijalishi akoje

    • @yonamolell8164
      @yonamolell8164 5 ปีที่แล้ว

      Kweli mtumishi unamafunzo ya uwakik

  • @maryngowi7901
    @maryngowi7901 4 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @collettamaingi3599
    @collettamaingi3599 ปีที่แล้ว

    RIP

  • @mohamedmbarouk7482
    @mohamedmbarouk7482 5 ปีที่แล้ว

    mzee nakukubari mi muislamu tosha ila mafundisho yako sio mchezo

  • @afrarugakingira5862
    @afrarugakingira5862 5 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @mrmbilinyijr95
    @mrmbilinyijr95 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu jamani

  • @patricksaukiwa1954
    @patricksaukiwa1954 4 ปีที่แล้ว +1

    Ok

  • @KizaDamas
    @KizaDamas 4 ปีที่แล้ว +2

    Wachungaji tumeshasikia mengi na lawama zote mnazoelekeza kwa wanaume, ila kwa Sasa wanaume wengi wamepatwa na ugonjwa wa msongo wa mawazo kutokana na dharahu na mateso kutoka kwa wake zao, mnaliona ila mnajifanya hamuoni ili mjipendekeze kwa wanawake.

  • @sungula100
    @sungula100 4 ปีที่แล้ว +1

    However, wanawake wakristo muelewe kwamba kumwacha mumeo na kwenda kuolewa na mwingine ati kwa sababu mumeo hajui kupenda ni kumtenda Mungu dhambi, ni ibada ya sanamu, hapo utakuwa unaabudu "kupendwa" kuliko wewe kumpenda Mungu.
    Mchungaji alitakiwa kulitoa hilo kama angalizo. Kuna watu qatatoka hapa wakidhani ni halali kumwacha kama hakuoneshi upendo na kwenda kuolewa na mwingine.
    Fanyeni lakini mjue mtakuwa na kesi ya kijibu mbele za Mungu.

  • @user-cb1ij4oq4m
    @user-cb1ij4oq4m 8 หลายเดือนก่อน

    Sema tupone

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 ปีที่แล้ว +3

    hAHAHAHA naomba MUNGU Anipe masigala jamani looo

  • @benadetageremia4930
    @benadetageremia4930 5 ปีที่แล้ว

    Alyana

  • @alexjulius6143
    @alexjulius6143 5 ปีที่แล้ว +2

    nimebarikiwa na mafundisho yako

  • @christianuyagilo8207
    @christianuyagilo8207 5 ปีที่แล้ว +3

    Hawa jamaa wa miwan ndo malaika au

    • @agripinahmushi9500
      @agripinahmushi9500 4 ปีที่แล้ว

      Nafurhi San mafundisho yanafundsha yandoa japo sijaingia bdo

  • @weckajana1310
    @weckajana1310 5 ปีที่แล้ว +3

    Mch upo vizuri lakini je huyo bodyguard wako naye vipi?

    • @mitimingionlinetv9896
      @mitimingionlinetv9896  5 ปีที่แล้ว

      Wec Kajana Amina Ubarikiwe sana utukufu kwa MUNGU atupaye maarifa. Hawa sio Bodyguard bali ni wahudumu kitengo cha Protocol team. (P)

    • @joelinaissaay2435
      @joelinaissaay2435 5 ปีที่แล้ว +1

      Amina mchungaji

  • @joshuamahenge2365
    @joshuamahenge2365 4 ปีที่แล้ว

    NJIA ZA KUONDOA SUMU MBALIMBALI MWILINI
    Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi nk) au kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia kila siku. Sumu au taka pia zinaweza kuingia mwilini kupitia dawa mbalimbali hasa za kizungu tunazotumia kujitibia magonjwa mbalimbali.
    Mwili huzalisha hizi sumu au takataka (free radicals) kila mara kunapofanyika mmeng’enyo wa chakula mwilini mwako.
    Ishara zitakazokuonyesha mwili wako una sumu nyingi:
    -Uchovu sugu
    -Maumivu ya maungio
    -Msongamano puani
    -Kuumwa kichwa kila mara
    -Tumbo kujaa gesi
    -Kufunga choo au kupata choo kigumu
    -Kukosa utulivu
    -Matatizo mbalimbali ya ngozi ikiwemo chunusi
    -Pumzi mbaya
    -Mzunguko wa hedhi usio sawa
    -Kuishiwa nguvu
    -Kushindwa kupungua uzito
    -Kupenda kula kula kila mara
    njia za kuondoa sumu
    1.kunywa alovera jerry juice ya forever living
    2.tumia Arg + plus
    3.kunywa maji mengi
    4.kula matunda mengi zaidi
    kwa msaada zaidi tembelea instagram :#forever_heath_supplement
    au wasiliana nami kupitia whatsup +255759396103.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

    Unaolewaje wakati umeshazeheka

  • @felisterjoaeph432
    @felisterjoaeph432 5 ปีที่แล้ว +1

    Sorry mwishon mwa comment hapo ni, nataman niwasiliane na ww nina shida baba

  • @ushindieliya278
    @ushindieliya278 5 ปีที่แล้ว

    Uwiii haahaa

  • @kabossmwenda7266
    @kabossmwenda7266 4 ปีที่แล้ว +1

    Mafudisho yako yananifundisa kila siku nabarikiwa

  • @tulivuevethatemba7628
    @tulivuevethatemba7628 5 ปีที่แล้ว +3

    woou

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 ปีที่แล้ว +2

    Mmmm kumbe una bodigadi!!

  • @christinen8291
    @christinen8291 5 ปีที่แล้ว +2

    Hao wa bodigadi ni wa Mchungaji???? Tangu lini jamani????

  • @felisterjoaeph432
    @felisterjoaeph432 5 ปีที่แล้ว +5

    Samahan mwalimu, kwan wakatoliki hawajaokoka?wokovu ni matendo yako na sio ulokole au ukatoliki

    • @sengokangawe6318
      @sengokangawe6318 5 ปีที่แล้ว

      Ubarkiw mcungaj mungu ndo anakulinda sio bodgad bba

    • @sengokangawe6318
      @sengokangawe6318 5 ปีที่แล้ว

      Mafundisho mazuri sana ubarikw sana

    • @sonkojacky941
      @sonkojacky941 5 ปีที่แล้ว

      Felister Joaeph b

    • @maikokiowi3795
      @maikokiowi3795 5 ปีที่แล้ว

      baba we hatar kwa mafundisho yako

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 5 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa mimi mwenyewe mmoja wapo toka nilivyojuwa Mme wangu ana mke nje toka siku napata uhakika kwakweli moyo wangu ulikufa ganzi nilikuwa sili bila kumsubili lakini nikawa nakula na watoto wangu na nikasitamili hadi kwa miaka kadhaa hadi miaka kadhaaa hadi nikaamwuaa kuachan naye nilikuwa navuta subila hadi watoto wangu wakakuwa ndio nikachukua uwamwuzi ivyo Baba kweli usemayo

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 5 ปีที่แล้ว

    Amen