wow wow Mungu ni mwema jamani,Hongera sana mtumishi kwaajili ya ushindi wa watoto,Mungu aendelee kuwapandisha viwango adi biwango wawe wa kwanza kabisa top 3
Yaani toa sadaka ambatanisha na maombi specific kama Mtumishi alivyofanya hakika utapata matokeo.Mimi nimejifunza kupitia huu ushuhuda hakika ushuhuda unajenga na kuinuA
Amina ushuhuda huu ukazae matunda kwangu umenifunza Mungu akubariki
Nimejifunza kitu🙏. ubarikiwe mtumishi Anna
wow wow Mungu ni mwema jamani,Hongera sana mtumishi kwaajili ya ushindi wa watoto,Mungu aendelee kuwapandisha viwango adi biwango wawe wa kwanza kabisa top 3
What JESUS can Do👏👏👏
Naombeni na Mimi hayo maombi
Waoo, sifa kwa YESU, nimejifunza sana hapa. Asante sana
Glory to God nimepata somo hapa hongera kwa ushuhuda mtumishi
Faithfully God kuna nguvu ya sadaka
Hakika Mungu azidi kukuinua mtumishi
Amen mtumishi
Glory to God aleluyaah
Wow, Sifa na utukufu kwa Mungu🙏
Barikiwa sana kwa kutoa ushuhuda huu,hakika sadaka ina nguvu sana
Ameen Mtumishi Anna
Yaani toa sadaka ambatanisha na maombi specific kama Mtumishi alivyofanya hakika utapata matokeo.Mimi nimejifunza kupitia huu ushuhuda hakika ushuhuda unajenga na kuinuA
Kingine Roho Mtakatifu ametaka tujifunze kuwa specific