KUSANYIKO KUU (SIKU YA 1) - PRECIOUS CENTRE KIBAHA # 02/10/2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 44

  • @andreasdismas
    @andreasdismas 3 หลายเดือนก่อน

    Pendo lako Ee Bwana Mungu wa Efatha ni Kuuu mnono Asante kwa kunipenda na kunisongeza karibu yako

  • @Favoured_syl
    @Favoured_syl 4 หลายเดือนก่อน

    Nitaishia Efatha daimaa Yesu huyu Mkubwaa haelezeki kiukwel AMEEEENNNN 🙏🏻🙏🏻❤️❤️❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @PendoNgaselevaha
    @PendoNgaselevaha 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa Efatha wewe nikila kitu kwangu nimekuona usinipite

  • @angelinasamwel7108
    @angelinasamwel7108 3 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na kusanyiko kuu.

  • @ednasungatv7705
    @ednasungatv7705 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu,Baba yangu Muumba mbingu na nchi nakuabudu katika madhabahu hii I SALUTE YOU my Sweet and my Majesty God!..
    SALUTE U GOD!.

  • @AnnaKapela
    @AnnaKapela ปีที่แล้ว

    Najifungamanisha na madhabahu ya precious na baba yangu josephat Elias mwingira ❤❤ efatha

  • @ArielaDaniel-bg6uf
    @ArielaDaniel-bg6uf ปีที่แล้ว

    Najiungamani na madhabau ya kibaha

  • @JacquelineMagongo-hz5ts
    @JacquelineMagongo-hz5ts ปีที่แล้ว

    Kusanyiko la mwaka huu zuri sana Mungu mkuu awabariki wote waliotuletea ujumbe na walioupokea.

  • @justineaba6723
    @justineaba6723 ปีที่แล้ว

    Najiungamanisha na madhabahu ya kibaha efatha,,, nakupenda sana mchungaji Wang frank mapunda

  • @winfridamushimushi7025
    @winfridamushimushi7025 ปีที่แล้ว

    Aminaaa

  • @devothagowele6938
    @devothagowele6938 ปีที่แล้ว

    Mwamba namwamini .najifungamanisha na madhabahu hii.napokea

  • @lindanyakile2345
    @lindanyakile2345 ปีที่แล้ว

    Pokea sifa za moyo wangu Baba najifungamanisha na kusanyiko la EFATHA kibaha precious center; Kimwili siko hapo lakn kiroho tuko pamoja tukishiriki baraka za Bwana Mapenzi ya Mungu yatimie kusanyiko 2024 tuwe pamoja,.Hadi Raha jamani kama vile tuko mbele ya kiti Cha enzi maana UPAKO hata tulio mbali tunaupata BWANA YESU APEWE SIFA NA UTUKUFU MILELE YOTE 🙏💖

  • @DianaChiselema
    @DianaChiselema ปีที่แล้ว

    Najifungamanisha na madhabu ya precious center efatha kibaha baraka zote zitakazo tamkwa nami nikawe mmoja wao kuzipokea aminaa 🙏😇

  • @beatricekawaganise7392
    @beatricekawaganise7392 ปีที่แล้ว

    Najifungamanisha na .madhabau hii❤❤

  • @evodiuskalugila352
    @evodiuskalugila352 ปีที่แล้ว

    Najifungamansha na madhabau ya efatha usiku huu mungu nisaidie

  • @tumainielmshomba3768
    @tumainielmshomba3768 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana kuona jinsi mungu anavyotupenda

  • @LeahKasinde
    @LeahKasinde ปีที่แล้ว

    Naji ugamanisha kile kitacho nenwa nami nikapokee ktk jina Yesu

  • @tumainielmshomba3768
    @tumainielmshomba3768 ปีที่แล้ว

    Yesu tunaye hatuogopi

  • @jimmyngendelo
    @jimmyngendelo ปีที่แล้ว

    Utukukufu kwa bwana yesu.

  • @ntulimanda3086
    @ntulimanda3086 ปีที่แล้ว

    ❤😊🙏🙏🙏🙏

  • @bensonmerooficial
    @bensonmerooficial ปีที่แล้ว

    NAJIFUNGAMANISHA NA MADHABAHU YA EFATHA KTK JINA LA YESU KRISTO AMEN 🙏🙏🙏

    • @theresiabenito9841
      @theresiabenito9841 ปีที่แล้ว

      Najifungamanisha na kusanyiko kwa jina la yesu

  • @Reginajohnson19884
    @Reginajohnson19884 ปีที่แล้ว

    Hallelujah amen

  • @luluyusuph1350
    @luluyusuph1350 ปีที่แล้ว

    Najiungamanisha na ufunguzi wa kusanyiko kuu la precious center kibaha , mungu wa madhabahu ya efatha nitapokea kwa jina la yesu kristo aliye hai ameen ameen ameen 🙏

    • @monicaoland-cn8fx
      @monicaoland-cn8fx ปีที่แล้ว

      Najiungamanisha na ibada ya ufunguzi waibada hii, roho wa bwana akanipe kibari cha kupokea sawa na alivyonikusudi

  • @IkambaDaniel
    @IkambaDaniel ปีที่แล้ว

    Najifungamanisha na kongamano kibaha kwa mtume na nabii mwingira

  • @elishajailosy4916
    @elishajailosy4916 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @GloryMwaibasa
    @GloryMwaibasa ปีที่แล้ว

    Najifungamanisha na ibada

  • @letciamigodela9023
    @letciamigodela9023 ปีที่แล้ว

    Najifungamanisha na Ibada hii ❤❤❤❤

  • @vickynamkwawa9209
    @vickynamkwawa9209 ปีที่แล้ว

    I connect and receive in Jesus Name

  • @ZawadiMwambogolo
    @ZawadiMwambogolo ปีที่แล้ว

    Kusanyiko la mwamba Pana mungu malaika WA bwana WA mabwana wakifanya ukombozi na uponyaji mungu anafanya Kaz yakee🙏🙏

  • @lusianguno6434
    @lusianguno6434 ปีที่แล้ว

    Ameen. ✋💪

  • @AmosPaul-e1b
    @AmosPaul-e1b ปีที่แล้ว

    Punguzen matangazo

  • @erastocyprian3555
    @erastocyprian3555 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @beatricekawaganise7392
    @beatricekawaganise7392 ปีที่แล้ว

    AMEEN👏👏👏

  • @isayakipoi493
    @isayakipoi493 ปีที่แล้ว

    Jamani nawapataje watu kurasini wa lipeleke huko?

  • @Favoured_syl
    @Favoured_syl 4 หลายเดือนก่อน

    Nitaishia Efatha daimaa Yesu huyu Mkubwaa haelezeki kiukwel AMEEEENNNN 🙏🏻🙏🏻❤️❤️❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @judithnyembela3027
    @judithnyembela3027 ปีที่แล้ว

    Hatulegei ktk jina la Yesu

  • @HappyYohana-nv6xq
    @HappyYohana-nv6xq ปีที่แล้ว

    Najifungamanisha na kusanyiko hili

  • @ArielaDaniel-bg6uf
    @ArielaDaniel-bg6uf ปีที่แล้ว

    Najiungamani na madhabau ya kibaha

  • @ZenaFereji
    @ZenaFereji 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @dafrosamwingira1796
    @dafrosamwingira1796 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @VictoriaJames-kg6bu
    @VictoriaJames-kg6bu 3 หลายเดือนก่อน

    Amen.