Hakika (Official)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @Ellensingers
    @Ellensingers 4 ปีที่แล้ว +5

    Wimbo mzuri sana na nimependa ulivyoimba kwa utulivu. Nyimbo zako nazipenda sana!

  • @davidjeremia6699
    @davidjeremia6699 4 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu kwa kutumia vizuri karama ya uumbaji katika kumtumkia Mungu.

  • @zippykemunto197
    @zippykemunto197 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana kwa nyimbo zako nzuri. Mungu ni mwema hakika

  • @racheljulius7654
    @racheljulius7654 4 ปีที่แล้ว +2

    hakika Mungu ni mwema barikiwa sana dada yangu Namsifu maduhu mwita nakupenda sana katika uimbaji wako

  • @adventistmusicbysevelynlui557
    @adventistmusicbysevelynlui557 6 หลายเดือนก่อน

    My all time solo artist. Mungu akutumie zaidi

  • @ecumchannel270
    @ecumchannel270 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki zaidi....from Kenya

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen and amen my sister

  • @pascalmagere5671
    @pascalmagere5671 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana na Mungu azidi kuinuliwa.

  • @platonluneno6541
    @platonluneno6541 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe saaana nakupenda saana

  • @PeninaMakoko
    @PeninaMakoko หลายเดือนก่อน

    Amina mutumishi wa mungu tupo pamoja

  • @oman798
    @oman798 2 ปีที่แล้ว

    AMINA ubalikiwe sana Dada 🙏🙏😘

  • @balelesilanga8130
    @balelesilanga8130 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mungu ni mwema.

  • @modestersamwel6684
    @modestersamwel6684 4 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed wii
    Mungu akufunulie maono zaidi

  • @adventistmusicbysevelynlui557
    @adventistmusicbysevelynlui557 8 หลายเดือนก่อน

    Baada ya kukufuatilia kwa muda katika hobby yangu ya kutafiti juu ya muziki wa kiadventista. Nimeamua kukutangaza hadharani kuwa wewe ndiye mwimbaji wangu binafsi bora wa muda wote. Your melody, your messages and everything vinainua mno Mungu wa mbinguni.
    Licha ya kuwa na mimi ni mwimbaji binafsi lakini ukweli ni kuwa MUNGU anakutumia vyema mno kuliko waimbaji wengine (mimi nikiwemo - hivyo asitokee mtu akadai vinginevyo)
    Barikiwa sana

  • @SaitotiHinyura
    @SaitotiHinyura 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @shedracksumila5307
    @shedracksumila5307 3 ปีที่แล้ว

    Namsifu makacha

    • @namsifumaduhumwita2495
      @namsifumaduhumwita2495  3 ปีที่แล้ว

      mimi ni namsifu Maduhu Mwita..makacha ni mtu mwingine. Anazo kazi zake pia. Chek kwa jina lake anapatikana

  • @fredimsigwa3045
    @fredimsigwa3045 4 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed

  • @platonluneno6541
    @platonluneno6541 3 ปีที่แล้ว

    nataka number yako ya simu

  • @joshuamasunga_7rg
    @joshuamasunga_7rg 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu ni mwema.