FLORENCE ANDENYI - ATATENDA (OFFICIAL VIDEO) TEXT SKIZA 7636502 TO 811
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024
- Feel free to stream, listen and download Nimemuona Yesu album in all digital platforms album.link/r2r...
SUPPORT THIS MINISTRY
BUY GOODS TILL NO:44 74938
#FlorenceAndenyi #Atatenda #Ngomma
TEXT SKIZA 7636502 TO 811
artist:Florence Andenyi
song:Atatenda
Audio:M-town/amohadietachTM
MAKE UP BY JENNA
Hair by diralicious_salon
actors:Djshiti & Morio
M-Town Production
Contacts +254724033713
Follow Florence on fb / florence-andenyi-69839...
SUBSCRIBE TO MTOWN PRODUCTION ON TH-cam / @mtownproductionkenya
Alieimba kibali chako 😢mungu n mwema jmn 🙏🙏🙏🙏🙏
Dj shiti wapi likes wakenya kwa huu wimbo♥️😘
WAW it is good👍👍❤️❤️
Never heard this song. Its such a blessing. Mungu atatenda tukieka imani juu.
Hii wimbo huwa inanibariki Sana 🙏🙏🙏 naipenda sana ❤❤❤❤❤❤
My god is faithfully be blessed Florence mungu azidi kukutumia
I believe atanitendea mema na anitoe kwa hii sick bed siko pekeangu nimeweka imani niko na Yesu,blessed Florence Andenyi👏👏👏👏
MUNGU si mwanadamu aseme uongo,akisema atatenda amini atatenda,Imani yako ndio ufunguo👏👏
Kama alitenda yesterday atatenda leo hajabadilika kamwe. Our God is Great 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
DJ SHITI mungu atatenda
Nime barikiwa sana hujawai niangusha dada
Awwwwh..mtu wa nne...nipewe lyk plz🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏nyc song
Bonge la wimbo mama yetu ila Kenya mko vzr Sana aseeee injili iende mbele alafu unaonya huu wimbo ,ila kale kenye umefanya na matha mwaipaja mmmhhhhhh uliua una nguvu ya mungu ndani yako
Yes.. there's something about this song. Mungu atatenda
This songs is directed to me to think of my present state that is quite difficult but this song has encouraged me.
Tuko pamoja my dear what I believe is God is faithful and he brought us this far for a purpose,
Whatever we're facing today is our tomorrow's testimony don't give up
Nice song pongezi my dada
Amen hajabatilika wacha niweke imani mungu juu
I would real love to sing si unishike mkono unionyeshe Njia Florence I admire your music
🎼Mungu si mwanadamu avunje agano lake🎼🙏🙏
Kaboom kali sana
Waaa florence si amenona,jamani
frorence amenenepa sana siku hizi kweli ndani ya yesu kuna raha
Barikiwa kwa kazi nzuri
yeye ndo GOD jana leo na hata milele so kama alitenda jana so najua leo lazima atende be blessed florence Andenyi we love you.
Kama Weuwe umeona shiti Kwa ground na punda. .Tebu dondesha like bila kujali itapasuka tushangae pamoja tukiendanga. .. inauma but Itabidi uzoe. .Congratulations I like the messages and the video keep rocking super start
hata kama imechukua mda,Atatenda
Mungu nakuaminia kwa mambo makubwa najua utanitendea
Amen
Florence I love your songs... One day tutapiga collabo
Florence napenda wimbo zako sana tena kila asubuhi lazima nizieke niziskieeee kwa kuwa hua zinanibariki sana ..... sanasana ya kibali ....... mungu azidi. akuongeze miaka akikupea nguvu ya kumtumikia
Asante Yesu kwa huu wimbo. Kweli nimebarikiwa sana. Kama alitenda yesterday atatenda leo, hajabadilika. Amen🙏🙏‼
Amen
Waoooo ! Mungu akung'alishe zaidi
Atatenda .....my God i always call you Jehovah nissi
Alitenda bado Atatenda leo Mungu Hubadiliki kamwe , Asante Yesu Utatenda tena , Barikiwa 🙏🏼🙏🏼
mungu si mwanadamu........
Hakuna linalomushinda nina imani atanitendea zaidi...Amen...God continue Blessing you sister Andenyi
Nice song imenigusa for sure
Am just from tuko I like your story and the song is amazing God bless you
Yetu atatenda
Yabariki. Naipenda. Mungu. Azidi. Kukuinua
He is not a man to lie his time is best
Kama Alitenda Yesterday (2020), atatenda leo(2021), Hajabadilika kamwe..
Amen barikiwa sana sister
Kitu safi!
Wooow thats a good project
Amen 🙏 My sister from western.....you are blessed vessel
Floo is a blessed soul.....
Me and my family we love you and your ministry Flo and you know.God bless you dear
Upo vizuri mama mungu azidi kukuinua Zaidi na zaidi
Alitendea Shiti atakutendea pia🤗
Yes kama alitenda yesterday atatenda leo.Amen
I'm feeling blessed with this song. May God's more grace and favor be upon you Flo.
Covenant keeping God.🙌🙌
Am always blessed with your songs my dear friend
Powerful my big sister
Hard times I believe God will do it again
DJ shiti ni comedian ana support wengi sana.....baraka....good song flo
i love your songs
Alafu mnasema gospel imeisha
Imekubalika
Finally My Other Favourite Song is Out!!!
Congratulations Mtumishi for the Good Work.
HANA RECORDI YA KUSHINDWA
Weka imani yako juu maana atatenda... nmependa hio neno sana,God bless you siz
God bless u siz
Imani yangu iko juu
Powerful song siz,nyasaye akhukasie kabisaaa,more blessings
Nzuriiiiiiiiiii sanaaaa,
Likes za DJ Shiti guys, for sure atatenda siku zote
Shitiiiiiiiii saaafiiiii ,hapo sawaaaaa😄😄😄🙌🙌🙌👏👏👏👏💃💃💃from house help from kawangware to Gospel hit 🤣🤣🤣🤣🤣wapi likes za shiitiiiii
Shiti salams ilikataliwa juu Corona AMA msoto!!!🤭🤭🤭
i love this song the glory be to our Lord Jesus-Christ Mungu wa mapendo!!! Atatenda kabisa!!!
WOW.. Amina.. Mungu atatenda kweli
Eeeeeh! Shiti and morio
Good song
Great song. Another hit!! Keep up my sister.!!!
That's great atatenda
Wooow, atatenda kweli, congrats or am I seeing wrongly 🤰
Atatenda yesu mkubwa
Amenn,
what a song
he is faithful
awesome song keep up the amazing content
Wooooow nimebarikiwa sana
Alitenda atatenda leo" nice song God bless you sster
Nabarikiwa sana.
Dj shiti😊😊😊.. Mum this is lit.. May God favour you more
Kama unapenda hii wimbo gonga like hapa....barikiwa sana flo...
I love your songs indeed you are my mentor
Yes he says speak to that mountain yes
My dear you are blessed ooo vocals iko lit hit after hit
Florence andenyi 💪💪💪
You really bless me with your songs my sister
Kama alitenda yesterday atatenda leo hajabadilika kamwe 💕💕💕💕
Amen and amen siz Florence keep it up am so blessed to have you
Blessed song sister Florence , going far in Jesus name🙏
Atanitendea nami pia, Amen
Amen
Awwwwwweee , 😍😍😍😍😍atatenda kweli .Mungu yu mwaminifu
Keep It Up
since i watched your interview on @tuko news...i listen to your songs daily...daily daily.....am inspired....God bless you
Amen
Beautiful song my sister
Iko sweet Andenyi uko na talent ya kuimba
Wooow nice song Florence,God bless you as you continue to minister to God...First viewer i believe...
Baraka tele Flo..niko ndaaani kabisa 👏👏👏
Amen
Glory to God🙌🙌 u never disappoint Florence
very powerful song! more favor my sister