Haya maneno yataishi sana tena kwa muda mrefu kwa sbb ni ukweli Tuwafunze waislamu wenzetu kwa vitendo wawe kama hivi au zaidi ya hivi ili waache majibizano na matusi ya wao kwa wao kwenye mimbari
Naaam Shekh Allah aendelee kukupa ujasir na Afya jema Ila shekhe Irani sio miongoni mwa zile nchi zinazo iachilia Israel kuipiga gazi Iran ndio anapanga mikakati kumzuia Israel ache kuipiga gaza
Twayib
Shukran ustadh kwa kutuwekea khutba hii na shukran kwa ustadh aliye toa khutba hii
Hasbunallah wani'imal wakiil
Hakika umesema kweli na umefikisha ndg yangu baarakallah fiyk
Haya maneno yataishi sana tena kwa muda mrefu kwa sbb ni ukweli
Tuwafunze waislamu wenzetu kwa vitendo wawe kama hivi au zaidi ya hivi ili waache majibizano na matusi ya wao kwa wao kwenye mimbari
Naam, hizi ndizo khutba zinazohitajika kwa sasa
Kama misikiti ingekuwa na khutba kama hizi badala ya Masheikh kuwaza ubwabwa Waislamu tungekuwa mbali sana
Naaam Shekh Allah aendelee kukupa ujasir na Afya jema
Ila shekhe Irani sio miongoni mwa zile nchi zinazo iachilia Israel kuipiga gazi
Iran ndio anapanga mikakati kumzuia Israel ache kuipiga gaza