MAFURIKO DAR YAACHA BALAA - RC CHALAMILA ATOA TAMKO - "MVUA WAMESEMA ZITAENDELEA KUNYESHA"...
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.พ. 2025
- MAFURIKO DAR YAACHA BALAA - RC CHALAMILA ATOA TAMKO - "MVUA WAMESEMA ZITAENDELEA KUNYESHA"...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Asante mtani wangu nyie ndio majenbe❤❤❤❤❤
Hongera kazi yako ni njema Mungu akubariki
Mheshimiwa Chalamila, Mungu ambariki. Yaan ameongea mambo yaliyonyooka sana.
Hongera kazi
Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki.
Madhambi mengi
Turudi kufuata amri za mungu na kuacha makato aliyokataza
Huyu ndio kiongozi
Mungu a2kumbuke polen Wana jangwan
Poleni jaman mungu awatete pia mchukue tahadhali
Hata wakati wa nuhu wanasiasa walikuwa wanasema hivyo hivyo kuwatia moyo wenyedhambi wakashitulia dunia ile imezama nabii ametabiri hapo dar wamemdharau badala ya kumfata
Wananchi wanatakiwa wahame waende wakamalizie sehemu yao ya maisha mikoa mingine,tena sio kuhamia na kurelax ni kufunga na kusali kuomba toba kwa mola wako maana ni nyakati za mwisho,HIYO NI ELNINO SIO MVUA Ndogondogo.
Dareslam mji wa hovyo sana miundo mbinu toka zamani hamna ni kubeba watu mgongoni hata watu wanzima eti mji mkuu ni aibu tupu viongonzi wengi wako dar lakini wanaangalia tuu wanaona ni sw mji mkuu wa tanzania viongonzi kelele tuu ni mji mnzima
Kikubwa ni kumuomba sanna allah c viongoz kuwaliliya
Polenta san
Poleni
Mmmmmh yani hawa viongozi wetu😂😂
Hameniwoote huko daa. Muje vijijini kama hamtak kaenihukohuko msitupigie kelele
Yule mwengine anahangaika na madanguro badala ya kuhamasisha uzibuaji mitaro
MH charamina mzungumza pointi sana
Hapo panatakiwa fly over. Serikali ianze ujenzi Mara moja.
Nyie onen sifa na mapkipik ndan ya maji hujui maji yanachimbaee sehem hatakama uliizoea ikiwa tambarare ukiona maji yamejaa paogope
Mkuu wa mkoa maenyewe anatafuna maneno😂😂 hana majibu. Rip JPM
Halafu kuna watu walikuwa wanasema TMA waongo ila hii nchi watu wana mizaha sana na maisha
Hata serekali ilikua haiamini mana muda wote kwanini wasijenge kivuko
Watanzania wanapenda kuzarau vitu hivi maji yanayoenda mbio unavukaje hapo naunmruhuje mtoto avushwe hapo mi bola nilal njaa lkn civuki mpk yapungue kbis
Uongo huo siasa hiyo😅😅😅😅
Dah cjui kwnn watu wanaforce kupita na vyombo vya moto kw hali jaman achen n htr
yaani huyu mkuu wamkoa anajitahidi sanaaa aongezewee mshahara simunaona anvyojituma?
Nimekupenda mheshimiwa,wadizne vitu sahihi gharama sahihi
Mh hatali
Imeisha hio na msharidhia subirini mwakani ndio hayohayo
Nchi imejaa porojo hii kila kitu rais
Kazi iendelee 😂😂😂
Dhuluma ufisadi uuwaji ndio mwisho wake huo rudisheni haki za watu muliopora si hivyo Mambo yatakuwa makubwa zaidi dhambi ni dhambi tu
Dahh inatisha
Siasa jamani
Na jangwani Leo MTO msimbazi umefurika huenda barabara ikafungwa. Ilikua ni kujenga daraja fupi tu LA juu toka fire hadi magomeni kuondoa kero hill sugu lakini wanawaza kujenga daraja toka Dar hadi Zanzibar ambapo Azam marine na wengineo wanafanya vizuri sana na hakuna kero. Halafu kuna anaetatua matatizo huko Dodoma nadhani anafanya mchezo wa kuigiza .
Kwani Mbowe ni mtendaji nani atampa hata senti moja ya kutenda. Akifanya hivyo mbona atafungwa na Chalamira kuwa ameingilia visivyo muhusu. Mnapoongea kinachowezekana au una taka tu kudhihaki. Maandamano yanaweza lufanya serikali ikatatua shida zinazokusibu.
maneno haijengi msingi Kila mara tunaona cinema na Kisha hakuna chochote kinachofanyika matatizo ya mafuriko yanafanya wachache kujinadi
Mapema tu mnalalamika na hii NI tella TU bado picha yenyewe situnajifanya mungu hatumujui tunalijua zaidi jina la jamuhuli ya Tanzania hapa ndipo atjilikana tu Nan mbabe Kat ya wakuu wa dunia na mungu
Apo Swaga2 Jambo Lipite Ukweli Kamili Daraja Kubwa Sasa Mpango Wa Kujenga Kidogokidogo C Matumizi Mabaya Ya Pesa
Nacheka Sana
Maneno yako Kweli kabisa mkuu. Jamuhuri ya muungano wa tanzania.kazi iendelee.
Kama anasema hataki wanainchi wasipate mbona sass ndiyo mateso yamezidi ?
Majigambo tu matendo sufuri
Mineno mingi hamna kitu
Duuh waty ndo wanaona pakujipatia kwenda jero kulud jelo jaman
Kama maji ni mengi hiv mbona umeme unakatikakatika
Ni JPM TU alifanya mnayotaka wananchi ulimwengu wa sasa ni wa propaganda. Maneno matupu hayavunji mfupa😂😂 RIP JPM
Hapo ni muda tatizo linajulikana kwanini serikali wasiweke flyover kuyatupa tatizo mojakwamoja
Miaka 70 ya uhuru.
Hivi hao wanaopita na pikipiki wanajiamini nini lakini??
Duuuuu. Hatari. Poleni kwa maafa kwa wananchi waliopatwa na mafuriko
Jamani. Tusimtwishe kila kitu raisi. Yeye ana majukumu mengi. Hivi vichwa vyenu havifikirii chochote? Kila kitu raisi, raisi. Atafanya mambo mangapi?? Haya mafuriko ya kila mwaka huwaga yanawanufaisha nini? Usisahau kauli yako kuwa Dar hakuna mafuriko.
Hii😢
Watu Hawaijui ELNINO maana yake nn? Dar ni mji mzuri tu sema tu ni wakati wa ELNINO yaani mabadiliko ya tabia ya nchi
Hapo ni wapii..?
Hakuna kitu chochote wezi tu
CCM chini tuondoke madarakani
Apo inatakiwa ujezi wa barabara daraja lihinuliwe ili maji yapite kwa utaratibu ila mkiliweka kwa chini ndioivomvua kama izo lazi iwe tatizo
Kariako ulisema ni hujuma hapo pia kuna hujuma?,mafuriko dar yameanza Leo?,nchi hii maneno mengi,mnasubiri maafa ndio mseme.unaposema mnajenga kivuko mvua zinasubiri mmalize kwanza au vipi?.
Pombe yajana
Veve wimunu na nusu 👍🫡🫡🫡
Hakuna ujasiri kwenye maji ni hatari tupu.
Kivuko kisichokuwa na gharama kubwa si mdoli huyo loooh nchi hii ni uongo mtupu
Hivi hawa ELNINO wanaijua kweli au wanazingua,madaraja ya nn sasa hapo?
Yani ukiona hivyo kaa nyumbani Tu. Watoto wataenda Shule siku nyingine.
Sijawahi mwelewa huyu jamaa toka simiyu
Watu wana roho ngumu,hayo maji kweli unapanda toyo,hapana jamani hii nikuwekea roho rehani
Mmmh jmn Maj yanateremka kwa kas mtu anavuka tena na pkpk jmn
Watu wanaroho jmn😊
@@rechalmshana1293 yaan akipona hyo ashtakie kuthubutu kujiua
Mheshimiwa Kilungule pia tunahitaji barabara.
Maji yanatenbea.vpmunaruhusu wabebwe alafu wasombwe.na.maji
Uko mbele tuta kumbuka Toba ya tz aliyosema Tengwa
Maneno mengi vitendo hamna ela za kujenga miundo mbinu hawana ela wanaiba tu kujinufaisha wao na familia zao Ccm ni maadui wakubwa wa maendeleo ya Nnchi yetu
Ww mm mpuuz kama huyo boda hanipitishe kabsa
wekeni ma box culvert watu wavuke,....
MUHESHIMIWA MKUU WA MKOA NAKUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU MAMA AKULETE TANGA. IL UWE MKUU WETU
Police na wanajeshi walitakiwa kusaidia watu na watoto kivuka
Wanasibiri kufanya usafi tar 23,24
Yaani wewe Mkuu unahamasisha watoto wabebwe hapo ?ingekuwa wako ungeruhusu huo ni uuaji kabisaa. Na watu wasivyojitambua wanaitikia kazi iendelee huku mnamateso ujinga wa hali ya juu
Binadamu kusikiliza, tuponakusema kutendandiyokaz baba
Tarura waache kuzidisha hela
Hii miundo mbinu imekuwa kidonda sugu . Kuwe na usulihisho wa dharura. Si mlijua rlnino zinakuja
muwahi haraka sasa
CCM HIYOO. YAANI RAIS SAMIA AMESHINDWA KUWAOMBA WANAJESHI WAWEKE DARAJA LA MUDA?. KAMA WALITUMIA WANAJESHI KUFANYA USAFI , WATASHINDWAJE KUJENGA DARAJA? HIZ MILLIONI 500 WAPENI JESHI WAWAJENGEE DARAJA LA HARAKA.
Mmmmmmh
Kama anasema watu wasipate shida utekelezaji uko wap wananchi wanataka vitendo siokila saa blabla tu
😂😂😅