Mzee irudishe Pentekoste kwakweli,kanisa limepotea imeshakuwa sadaka za kuinuliwa ,kuvunja laana,za baraka.n.k kana kwamba Yesu hakufa msalabani,watu wanapotezwa kweli,Magembe ongeza speed kabsa bado watu hadi wakombolewa akili zao, Mungu akutie nguvu Baba.
Huyu baba Mchungaji anahubiri ukweli, nakumbuka nimewahi kuwa katika vifungo vya majini. Na nilihangaika sana nilishatoa mpaka sadaka lakini wapi. Lakini siku ambayo wachungaji sahihi walipoingia ndani ya mji wangu na kuomba usiku wa manane hali haijawahi kurudi tena na nyumba imekuwa na nguvu ya Mungu na uwepo wa Mungu, nilikuwa nashindwa kuomba ila tangu wameingia ndani ya mji wangu ninaweza kuomba.
Hii ndio pendekoste harisi mungu akutangulie mzee magembe.
Amen , wewe n jasusi la kweli, popote Kristo yupo anafurahia sana anaposikia sauti yako
Haleluya! Haleluya!🎉🙏
Safi kabisa mtumishi MUNGU akulinde maana una busara sana 🙏
Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu
Hongera sana mzee magembe kuitetea injili ya kweli
Mzee irudishe Pentekoste kwakweli,kanisa limepotea imeshakuwa sadaka za kuinuliwa ,kuvunja laana,za baraka.n.k kana kwamba Yesu hakufa msalabani,watu wanapotezwa kweli,Magembe ongeza speed kabsa bado watu hadi wakombolewa akili zao, Mungu akutie nguvu Baba.
Amen
Mungu akutie nguvu na ujasiri katika kuelezea ukweli
Piga kazi Mzee wachungaji wengine hawajitambui ludisha pendekoste Ile ya zaman mungu akupe wepes katika safari ya kwenda mbingun
Ubalikiwesana mtumishi
Hii iko sawa kabisa baba kweli tupu
Mungu ni mkuu
Hapo sawa
Hili kanisa lipo mahali gani?
Umenena Babangu
Kufa kupo tu natamani Mungu akikupenda zaidi , watoto wako wa kiroho waje waiendeleze injili ya kweli na uwazi.
Nakuelewa Baba wachungaji wengi wameitwa kutumika lakini hawajui wajibu wao mpaka mauti
Kwani Sumbawanga ndio Kuna uchawi mtumishi ?
Amesema hivo kutokana na kinachoaminika na jamii kuwa sumbawanga ndiko Kuna uchawi Sana,
Ni mtazamo wa kijamii tu, nothing serious mpendwa
Amesema hivyo kutokana na kwamba kipindi hicho alikuwa yupo Sumbawanga ninavyoona.
Huyu baba Mchungaji anahubiri ukweli, nakumbuka nimewahi kuwa katika vifungo vya majini. Na nilihangaika sana nilishatoa mpaka sadaka lakini wapi. Lakini siku ambayo wachungaji sahihi walipoingia ndani ya mji wangu na kuomba usiku wa manane hali haijawahi kurudi tena na nyumba imekuwa na nguvu ya Mungu na uwepo wa Mungu, nilikuwa nashindwa kuomba ila tangu wameingia ndani ya mji wangu ninaweza kuomba.
endelea kujifunza na kuelewa kwa undani zaidi ili siku moja nawe uwe baraka kwa Mwingine
Hakika babu
Ukweli mtupu
babu!!!