How we longed for this songs upload!!! memories run deep!!! This songs shaped our generation. How i wish we had same artist in this generation to be also remembered in the future!!! Chidumule the G.O.A.T
Thank you very much for this song, one of my favorites. I was looking for it all these years and I was very happy and grateful when I found it here. How nostalgic!
One of the most influential music in my life as I grew up. Thanks mum for investing on Christian music you brought salvation home. Continue singing with the angles.
Mteule Mtumishi wa Mungu mpenzi Cosmass Chidumule Kazi yako no njema Sana , imetulia mno na inatubariki hasa,inagusa moyo MOJA kwa MOJA kuipitia sauti adhimu ya dhahabu aliyokugea KIPEKEE mola wetu wa PEKEE.Kwangu Mimi kwa jicho la rohoni nakusihi ongeza Kasi KATIKA utunzi na uimbaji WAKO huu utalipwa mno mbinguni kwa kuwapeleka wengi ndani kabisa Kwenye ufalme wa Mungu wa Kweli ambaye ndiye Mwenye Enzi na miliki yote.Ubarikiwe milele Amina.
My mom loved this song😢😢😢, hii ni kumbukumbu yako uliyoniwachia😢😢😢😢RIP momma❤
She in a better place.....
Resting With the Angels
Najisikia furaha naposikia wimbo huu....ubarikiwe mtumishi
Napenda sana nyimbo zako Mtumishi,mara kwa mara natafuta nyimbo zako mpya sipati.
Asant mtumishi kusikia maombi yetu nyimbo zako ulikuwa ujaziweka uku nimefurahi sana kusikiliza nyimbo hii
How we longed for this songs upload!!! memories run deep!!! This songs shaped our generation. How i wish we had same artist in this generation to be also remembered in the future!!! Chidumule the G.O.A.T
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana napenda sana nyimbo zako❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huu wimbo nilikuwa nautafuta miaka mingi…Mungu kasikia maombi yangu
La chanson que j'ai tant recherchée depuis des années sur TH-cam, j'ai enfin retrouvée, Merci ❤
Mungu wetu abariki mutumishi wake amujaze upako mpya zaidi
Wimbo huu nliupenda Sana nkiwa class 6 huku kwetu pwani ya Kenya . Sai nko na family yangu naitafuta album yote nkumbuke Enzi zangu plz
hongera sana Baba mtumishi
Huu wimbo mzuri sana maneno yake na hata sauti Yako baba chidumule you are genuine musician
Thank you for downloading this song. Was looking for it for many years. Much Love from Lubumbashi DR Congo. Ubarikiwe Mzee Chidumule Cosma.
Namiye niko wa munkeya.... 22ans inje ya congo
Thank you very much for this song, one of my favorites. I was looking for it all these years and I was very happy and grateful when I found it here.
How nostalgic!
Powerful song
Ubarikiwe sana mungu akuzidishiye tena n'a tena
Ooooh my mom use to love this song jmn leo ntamtumia i remember i was in std 4 ,God bless you Chidumule 🙏🏼❤️ Feb 2024
I remember when I was young my dad loved this song. Rest in peace😢
Hii nyimbo yanikusa roho......yanibariki
Asante sana Mtumishi,tunaomba nyimbo nyingine.
Ubarkiwe Baba uishi Miaka Mingi
One of the most influential music in my life as I grew up.
Thanks mum for investing on Christian music you brought salvation home.
Continue singing with the angles.
Ndugu yangu mwimbaji Cosmas Chidumule Mungu akubariki kwa nyimbo hizo zimenisaidia sana ktk safa5 yangu ya wokovu.
Mteule Mtumishi wa Mungu mpenzi Cosmass Chidumule Kazi yako no njema Sana , imetulia mno na inatubariki hasa,inagusa moyo MOJA kwa MOJA kuipitia sauti adhimu ya dhahabu aliyokugea KIPEKEE mola wetu wa PEKEE.Kwangu Mimi kwa jicho la rohoni nakusihi ongeza Kasi KATIKA utunzi na uimbaji WAKO huu utalipwa mno mbinguni kwa kuwapeleka wengi ndani kabisa Kwenye ufalme wa Mungu wa Kweli ambaye ndiye Mwenye Enzi na miliki yote.Ubarikiwe milele Amina.
Ubarikiwe cosmas chidumule kuniumbia tena matumaini kupitiya nyimbo hizi za kiroho Imani yangu inajengwa kabisa
ubarikiwe sana mtumishi
Thanks for uploading these songs. I have been searching for this album . Blessed
Same to me....I was searching for this song for 5 yrs
Asante Sana Kwa kutuma hii nyimbo Kwa mtandao
Only tears
could explain this
What a Mighty Revelation❤❤❤❤
asante
Amen Amen😢😢
Barikiwa sanaa Transformed man of God Chidumule
🎉
Mungu,Akubariki❤
Ubarikiwee