AIC GEITA VIJANA CHOIR WAPELEKENI WAMISHENARY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @ElizabethElikana-v9q
    @ElizabethElikana-v9q 8 หลายเดือนก่อน +3

    Naipenda hii nyimbo sana

  • @RachaelDan
    @RachaelDan 11 หลายเดือนก่อน +2

    Pongezi sana Kwa kazi safi❤❤❤

  • @DottoDundo-b4v
    @DottoDundo-b4v 11 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU awabariki vijana wa YESU Nawapenda

  • @WiliamJames-e2l
    @WiliamJames-e2l ปีที่แล้ว +2

    Mbalikiwe sana wana aic kalangalala

  • @rizikiamedia
    @rizikiamedia ปีที่แล้ว +2

    Daaah aiseeee nimekosa hadi neno la kusema ....... Mungu awabariki sana

  • @naomijames362
    @naomijames362 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika wimbo unanibariki cn❤

  • @silanzuki8627
    @silanzuki8627 ปีที่แล้ว +2

    Now this are melodies that i would urge choirs to embrace
    So soothing to the soul...
    Kwaya zengine utashangaa utuzi hauna mwelekeo

  • @mariamjoseph5164
    @mariamjoseph5164 ปีที่แล้ว +2

    Baba angu nae kwa maigizo yupo vizuri hapo aliangushwa na Nani sasa😂 anyway Mungu awabariki watumishi wa Mungu kazi yenu ni njema Sana tuzidi kupeleka injili natamani siku moja nitumike shambani mwa Bwana pamoja nanyi Kama ambavyo mzee kuzenza alivyotumika hapo🎉

  • @dottonyililajr.855
    @dottonyililajr.855 ปีที่แล้ว +4

    Mungu Awabariki sana Wimbo mzuri message nzuri sana

  • @meslvoiceproduction
    @meslvoiceproduction 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu nimwema hakika utume mkuu ndiyo kitu cha msingi wana wa Mungu tumtumikieni Mungu pasipo kuchoka wala kurudi nyuma huku tukiukomboa wakati

  • @masanjabahamephilbert6720
    @masanjabahamephilbert6720 ปีที่แล้ว +4

    Nimekuwa wa kwanza kuvuna baraka hizi kwa mungu wa mbinguni

  • @RestutaHuru
    @RestutaHuru ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwe sana wapendwa

  • @JumaSodan-lw1nj
    @JumaSodan-lw1nj ปีที่แล้ว +4

    mungu mwaminifu awabariki Sana kwa moyo huo

  • @amosjilala8982
    @amosjilala8982 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo mzuri sana.
    Nimeona mpo Katesh naombeni mawasiliano yenu maana nipo maeneo haya ndugu zangu

  • @mwlSama
    @mwlSama ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo nzur ... mbarikiwe

  • @hezbonkainanga5046
    @hezbonkainanga5046 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo nzuri mno... Kila wakati napenda kuangalia kazi hii nzuri... Huyo binti ambaye ni soloist anaimba vizuri naomba azidi kutumika kwa kazi ya Mungu

    • @juliuscharles9631
      @juliuscharles9631 10 หลายเดือนก่อน +2

      yaani mpaka nawaza mbona kapewa kipande kidogo cha kuimba?

    • @hezbonkainanga5046
      @hezbonkainanga5046 18 วันที่ผ่านมา +1

      @@juliuscharles9631 angepewa kipande kikubwa

  • @elizabethnduku8022
    @elizabethnduku8022 ปีที่แล้ว +2

    Woooooow kazi nzuri

  • @naomijames362
    @naomijames362 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki cn kwa utumishi mnaoufanya, solrist Mungu akubariki bint mdg unaimba cn ❤

  • @johnmaulid8074
    @johnmaulid8074 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥

  • @RachelAbdul-w7w
    @RachelAbdul-w7w ปีที่แล้ว +2

    Kabisa tushilikiane

  • @juliuscharles9631
    @juliuscharles9631 10 หลายเดือนก่อน +2

    mbona naona wimbo huu pekee lakini kwenye nyimbo zingine za geita vijana choir naona sura ngeni