GB 64 unajitahidi sana ktk hoja zako. Ila unakosea sana kila unapozungumza unaizungumzia Utopolo. Unawapa mileage kupitia wewe. Ingependeza sana kama muda wako mwingi ungetumia kuizungumzia Simba zaidi bika kuwahusisha Utopolo. Waache utopolo wapambane na hali zao....!
Gb uko sawa kbs, waambie wajipange na mechi ijayo hiyo ndo itakua na figisu sana maana hiyo ni tawi la wale jamaa.
Yanga Wana tafuta mechi 5 za Simba kuziharibu
GB64 big up huo ndio ubaya ubwela utoplo wamebaki kulalamika kama wanawake
Kwer kaka mpla wabongo mi sjui kwanini ina kua hiv halaf simba mbona inalaumiw kwa magoli halal ila wao mpaka magor yamikono wapo kimya
Goli la baka pia match yao zaid ya KENGOLD LILIKATALIWA goli alali kabisa
GB 64 unajitahidi sana ktk hoja zako. Ila unakosea sana kila unapozungumza unaizungumzia Utopolo.
Unawapa mileage kupitia wewe. Ingependeza sana kama muda wako mwingi ungetumia kuizungumzia Simba zaidi bika kuwahusisha Utopolo.
Waache utopolo wapambane na hali zao....!