Mbona umenipa jina la Mange Kimambi au nikushtaki, maana hiyo post umechukua kwenye account yangu ya facebook na um niita Mange Kimambi. Unao ushahidi wa hiyo post ya Mange Kimambi??. Kwanini umenidhalilisha kwa kuniita jina la kipagani na kunipa jina la huyo malaya??
Mnamtumia Man Of God kutafuta viewers...Mnajiua wenyewe bila kufahamu...acheni kutumia watu wa Mungu kwa media zenu...Who are you to keep tracking men of God... Hii ni laana mnajipalia wenyewe...
Usivunjike moyo kwa ajili ya wanadamu , mtumikie Bwana MUNGU wako aliye kutuma kwa nguvu zako zote , wengine tunakuelewa sana to hatuna shaka nawe , MUNGU ndio anayekujua vizuri
Mange acha kutuletea utoto, yaani mtu Kumbusu mke wake ni jambo la falagha!! au kumkumbatia ni jambo la falagha? Kwa wapendanao hayo ni mambo ya kawaida, kama wewe hufanyiwi hivyo, pole. Asante.
Fanya kazi ndugu usiogope vita ya wafuasi wa shetani Mungu atakushindia
Pastor is one among great Pastors in the world 🌎
Shida wachungaji wa leo nikuleta mambo ya kidunia madhabahuni hoi ni hovyooo
Wivu tu
Mbona umenipa jina la Mange Kimambi au nikushtaki, maana hiyo post umechukua kwenye account yangu ya facebook na um niita Mange Kimambi. Unao ushahidi wa hiyo post ya Mange Kimambi??.
Kwanini umenidhalilisha kwa kuniita jina la kipagani na kunipa jina la huyo malaya??
Yeye SI malaika
Faragha iko wapi hapo sasa......ila chuki ni mbaya sana
SI make wake!!upendo huo Kwa mke wake.au ni demu?
Mnamtumia Man Of God kutafuta viewers...Mnajiua wenyewe bila kufahamu...acheni kutumia watu wa Mungu kwa media zenu...Who are you to keep tracking men of God...
Hii ni laana mnajipalia wenyewe...
Usivunjike moyo kwa ajili ya wanadamu , mtumikie Bwana MUNGU wako aliye kutuma kwa nguvu zako zote , wengine tunakuelewa sana to hatuna shaka nawe , MUNGU ndio anayekujua vizuri
Kaharibu cha nani hapo. Acheni umbea mrudieni mungu
Acheni maneno ,huyu mke wake,na hili moja tu mnapiga kelele,
Mange acha kutuletea utoto, yaani mtu Kumbusu mke wake ni jambo la falagha!! au kumkumbatia ni jambo la falagha?
Kwa wapendanao hayo ni mambo ya kawaida, kama wewe hufanyiwi hivyo, pole.
Asante.
Sasa huyu sini mke wake zambi ikuapi watu mnatabia MUNGU awakutunze mtumishi wewe mange kinakuuma nini
Ukiona mtu anataftwa taftwa ujue nyota yake sio ya mchezo ton kapola anaenda kuwa chombo cha hatari afrika na ulimwenguni
Mage kua mtu mzima