BILIONEA LUGUMI AWAJENGEA GHOROFA WATOTO YATIMA - "NINALEA WATOTO wa DINI ZOTE - HAPA WAPO 700''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 81

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @AmbokileFumigation
    @AmbokileFumigation 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Mzee Wangu unaupendo Sanaa God Bless U ❤❤💪🏿💪🏿

  • @IbrahimRamadhan-f3c
    @IbrahimRamadhan-f3c 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Mwenyezi mungu akujaalia uwe na moyo huo malipo yako kwa mungu

  • @meshackchacha7072
    @meshackchacha7072 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Mungu anaona ulivo kubali kufanya kazi yake amina sana na asante sana ndg yangu

  • @Hamis-ew4qw
    @Hamis-ew4qw 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Allah akuongoze inshaallah uwe na moyo huo huo shekh Lugumi, usisikilize maneno ya watu

  • @AyubuIkaku
    @AyubuIkaku 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Mwenyezi Mungu akuzidishie katika rizki ya halali na akulinde

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Mungu akubarikii jamanii akuongezeee palipo punguwaaa daaaaa nimejikuta naliii😢😢

  • @maryamsaid6534
    @maryamsaid6534 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Tunamuomba Allah akulinde na shari tunazoziona na tusizoziona akupe nguvu afya, unachokitowa kizidi akutizame kwa jicho la Rehma siku ya hesab Ameen Ameen Ameen Yaa Rabbi Takabal dua

  • @ericbalige1781
    @ericbalige1781 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Hongera sana Bw. Said Lugumi. Mungu akuzidishie

  • @GeofreyMtensa
    @GeofreyMtensa 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Akikwama anaomba nchi ya Israel ...nimemnukuu...api wenye D2 wataelewa..Mungu akubariki sana Lugumi, Mungu ibariki sana Israel kwa kumpa suport..❤

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mwenyezi MUNGU akupe umri mrefu.

  • @MkaliMlanzi
    @MkaliMlanzi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jazaka Allah Kheiry

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Huyu ndo tajiri anajua kupewa utajiri nikusaisia wengine sio kutanua na familia yako wengine wanateseka

  • @NassoroSalum-f3h
    @NassoroSalum-f3h 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akuzidishie Said Lugumi wewe ndo tajirii

  • @binmussahaji4932
    @binmussahaji4932 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huna baya ,much love kwako

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mashallah mashallah Allah mbariki zaidi

  • @MicahGhloloj-bs4cy
    @MicahGhloloj-bs4cy 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akuone kwa kila jema na Mauti isiwepo karibu yako mpaka uzee mwema ❤❤❤

  • @lightwilliam4443
    @lightwilliam4443 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akuzidishie sana mzee Lugumi❤❤❤

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Allah akujalie ulipo toa pazidi yaarab ❤❤❤

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mungu akuongezeee daaaa

  • @hassanhussein-ow7qh
    @hassanhussein-ow7qh 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Allah akulipe kheri Wallah

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mashaallah hongera sana mkuu Allah akubarik zaid kwa moyo wako

  • @SallmaXg
    @SallmaXg 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Masha'Allah

  • @abdulwadi8667
    @abdulwadi8667 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Eeemungu wangu nijalie nifanye kamahivi napenda kusaidia masikin eemungu wangu nisaidie

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu mzee akiwa rais raha sana

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    MashaAllah ❤❤❤❤❤❤❤

  • @mackysuphian
    @mackysuphian 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    MashaAllh ♥️

  • @ZaitunJuma-l5p
    @ZaitunJuma-l5p 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mashaallah

  • @firmakisika5073
    @firmakisika5073 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mwenyezi Mungu akutunze , Huduma yako ni njema sana machoni pa BWANA.

  • @rukiaramadhan2117
    @rukiaramadhan2117 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Manshallah Allah tuwezeshe nasi

  • @giliadimlavwasi4028
    @giliadimlavwasi4028 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    ⛪🕌✅Mungu akutunze Bwana Saidi Lugumi

  • @jonaspatrick2871
    @jonaspatrick2871 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunashukuru kwa jambo hilo kaka, ni zuri sana, Mungu akuzidishie zaidi ya ulichonacho.
    Swala zaidi ni usalama, especially fire 🔥 emergencies kuwe na escape plan nzuri. Hope Mungu ataepushia jambo lolote baya kutokea but it's just a precaution.

  • @luganomwambete7090
    @luganomwambete7090 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Raisi akuteuwe uwe kiongozi kwenye nchi hii nimependa Mzee mungu akujalie afya njema na nguvu.

  • @Odo10188
    @Odo10188 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah Akupe Arya na umri wewe na familia yako Allah kuzidishie neema yaa kareem

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Allah akufanyie wepes na majiri wengine wasaidie wtt yatima kama ndugu yetu huyu.

  • @juliusmakula1659
    @juliusmakula1659 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera sana Said Lugumi.Mchango wako kwa taifa unaonekana.

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kaka Hongera sana ww kweli ni Tajiri, wengine wenye uwezo na Hawa Saidi watu hao ni maskinI sana.

  • @HajiMgwami
    @HajiMgwami 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kaishia darasa la saba tu, lakini roho yake ya kutoa kwa watu hasa watoto ambao ni yatima ndio Mungu anamfungulia, Allah mwenyewe alishasema Atakae msaidia Yatima basi na yeye Atamshika mono...

  • @juliethkatabwa5306
    @juliethkatabwa5306 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akutunze Said Rugumi. Endelea na huduma yako ni kubwa. Unajua ulipopita na Mungu amekuita kwenye huduma. Nimefurahi kukuona.

  • @allybilali9212
    @allybilali9212 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah anaona unayoyafanya hakika ni moyo wa kipekee mno,,, Allah akupe umri mrefu na afya njema

  • @LutfiaRashid
    @LutfiaRashid 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii kauli ya ulichokipata sio chako chote naielewa kabisa

  • @renatusjeremiah
    @renatusjeremiah 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu Kama Hawa ndo watumishi wa mungu wa mungu wa mbinguni

  • @VedastusSwai
    @VedastusSwai 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Na mm ningekuwa nauwezo ningesaidia Kama anavyosaidia baba lugumi ila one day yes🙏🙏 ata Kama sio kwa kikubwa ata kidogo tu

    • @musaenocy
      @musaenocy 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Anza na ulichonacho , hakuna kidogo wala kikubwa utoaji ni wito na ni moyo

    • @VedastusSwai
      @VedastusSwai 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @musaenocy Asante nimekuelewa 🙏🙏

  • @rusimbitumaini7772
    @rusimbitumaini7772 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndugu yangu hakika mwenyezimungu atakulipa mema yako nchi yetu tulivu Alhamdulilah. Dr samia Suluhu Hassan mama yetu bila utulivu wa nchi yetu hata yatima wasingepata utulivu.

  • @MauBecca
    @MauBecca 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakubali Tajiri Hauna baya Mungu akupe maisha marefu uweze kuwafariji wasiokuwa nacho

  • @shabaninayopa-nw9cf
    @shabaninayopa-nw9cf 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah akujalie Lugumi

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Manshallah

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Usitake details sana,utaharibu shughuli,br

  • @JonathanJohn-b1y
    @JonathanJohn-b1y 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama kweli pesa zako za freemason nakuombea zibadirike maana unayofanya niheri kwa jamii

  • @Said_Abdul
    @Said_Abdul 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama jian lake ,Saidi=furaha,bahati, baraka. Hakika ndugu kabarikiwa hapa duniani na Akhera pia

  • @Pemba680
    @Pemba680 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mtu wa maana sana

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Brother ukumbuke na kwetu Mwanza na Magu

  • @CyprianTraiphon
    @CyprianTraiphon 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Godlove achapwe viboko

  • @zahornassor5420
    @zahornassor5420 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna mmoja roho imemuuma apo apo anataka kumuuliza nyumba sita zinagarimu sh ngap😂😅

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umejua Cha kufsnya Dunia hii

  • @GideonLenard
    @GideonLenard 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa hawa ndio matajiri sio matakataka yanakaamtandao yanatukana watu nakuwa waita maskini na wakati wao wanaela za kudonjoa

  • @kelvinedward1405
    @kelvinedward1405 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hz ndo habari sasa

  • @yudatadeimdoe9215
    @yudatadeimdoe9215 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    DUUUU,, WE NI WA TOFAUTI MNO MZEE WANGU...IYO KWELI ADI UITWE,,,ASEEE KI STAILI IYO MUNGU ANAKUZIDISHIA MALA DUFU HAKIKA WE NDO WA MFANO HAPA TANZANIA SIJAWAHI ONA

  • @thegoatapocalpse63
    @thegoatapocalpse63 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mpaka unatamani ungekuwa yatima

    • @wazirimakua8769
      @wazirimakua8769 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Kufuru hiyo ndugu yangu, kuwa na wazazi wako hata kama ni maskini kuna maana sana. Hao yatima ni vyema kuwapa faraja ili waishi kwa furaha, lakini sio kuuombea uyatima.

  • @YonnaMagawa
    @YonnaMagawa 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unatisha mwamba

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wako wengine kama hawa boss sema media hazi wajui

    • @almazroey2006
      @almazroey2006 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hataki kujifaharisha ndio anachomaanisha kama nimejenga mm Kwa pesa zangu

    • @almazroey2006
      @almazroey2006 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na ndivyo uislamu unavyo tufundisha ukifanya jema kuwafanyia watu usijifagharishe nalo kwao mana unaweza kuvunja mioyo Yao Kwa hakika Fanya Kwa kheri na Allah ndio mlipaji .

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Akikwama anaomba Israel safi sana 🇮🇱🇮🇱💪

  • @Saimonchristopher
    @Saimonchristopher 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MUNGU akikupa fanya na ww ivyo

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mara serikali mara mii sina kituo sijakuelewa

    • @AshaMwamba-m5x
      @AshaMwamba-m5x 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amemwambia hana kituo ila anasaidiaa

    • @abdulwadi8667
      @abdulwadi8667 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hujaelewa nduguyangu amekuambia hivyo vituo nivyakwake ika watoto yatima wanaletwa na serikal

    • @almazroey2006
      @almazroey2006 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na ndivyo uislamu unavyo tufundisha ukifanya jema kuwafanyia watu usijifagharishe nalo kwao mana unaweza kuvunja mioyo Yao Kwa hakika Fanya Kwa kheri na Allah ndio mlipaji .

    • @almazroey2006
      @almazroey2006 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hataki kujifaharisha ndio anachomaanisha kama nimejenga mm Kwa pesa zangu

    • @Kiyama-g8f
      @Kiyama-g8f 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuna kitu kipo nyuma ya hii project,siyo bure!! Tutakuja kuyaelewa baadae sana,huyu bwana atakuwa tu anatuviriga ili tusiyachokonoe mengi zaidi,ameamua kujificha kupitia mwamvuli wa Dini....na yatima.

  • @IssaKaduma-q6j
    @IssaKaduma-q6j 55 นาทีที่ผ่านมา

    Masha Allah

  • @KingsMoha-l9w
    @KingsMoha-l9w 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Usitake details sana,utaharibu shughuli,br