Yaani dah ...!! Kuna watu ni kenge ila hawajijui kama ni kenge.....!! Sasa hili jinga litamuongoza nani....!!! Si utajikomba kwa wakubwa mpk baasi....!!
Mimi nampongeza mwijaku kwa inshu ya kuthubutu watu wengi hushindwa kuthubutu kwasababu ya woga na kutojikubari sawa mwijaku Hana experience serikalini lakini Wenda angepita nayeye ndo ungekuwa mwanzo kwa upande wake na angepita now tungekuwa tunaongea mengine. Mimi nawashaulini vijana tuwe na ujasiri katika kuthubutu/kujaribu Mambo yenye faida. nasivinginevo.
Toka lini mtu mshakunaku akaweza kuiongoza serikali ya Tanzania si ataenda kugombanisha tyuu 🙄 hivi mama samia kabisaaa na usomi wake amchague mwijaku we kuweza 🤣🤣🤣🤣🤣
Ukizngatia huna ahadi za ukwel ahadi zako ni uongo utadanganya bunge ungetimiza ile ulioahidi kwamba ukifungwa na Yanga unavua nguo unatembea uch wa mnyama xx hujatimiza tutakuamin vp kauze ubuyu ndio kaz yakoo
Huyu mwamba n shujaa sema watanzania dharau huzd Katka mtizamo Kwan kakosea nn katiba imeruhusu wewe unaemkashifu hukielewi katiba yetu Speech nzur na ya hekima Uthubutu wake kongole nying kwake Nchi hii n ya watanzania wote Wala s ya Koo au familia fln
Uyu taget yake sio uspika. Maana ata yy mwenyewe anajua kbs kuwa hawezi kuwa spika adi dunia inaisha. Ila lango lake ni kujiongelesha ongelesha mitandaoni ili rais Samia amuone akizan labda atateuliwa
We kuma kabisa kagombee nafas ya umbea au uropokaj msenge ww unaharb tasnia ya wasanii hata ubaloz hupati msenge ww hujitambui kagombee uchawa umbwa mkubwa ww huwez uongoz wwte ww
Ccm ya Leo ni mbwembwe tupu
Www chawa mwijaku unasifa unapenda uonekane mitandaoni kwasifa ili ujuulikane kamavile unajuwa kumbe hunalolote badala fitnatu
Huyu jamaa bhana kila kitu anakitaka yy 😅😅ukiwa spika mm nahama nchi👐🏃🏃🏃
Mwinjaku unawez ipo siku
utapat cheo serikali 🙌
Yani hili jamaa silielewagi kbx
Sjawah mwelewa huyu jamaa
Hv huyu jamaa dishi lake lipo sawa kabisa!?
Good speech Brother!
Hiyo milioni Moja yako ungewapa yatima nawasijiweza mungu angekubariki tapeli wewe
ivii kuchukua form ya uspika wa bunge million ngap?
Kila kitu na wakati wake Hongera kwa uthubutu mungu atakupa saizi yako inshallah 😘
Nakupongeza kwa ujasili umeonyesha namna vijana tunavo takiwa kusubutu hata kwa maisha yetu ya kawaida asante mwijaku
Mwijaku kama Mwijaku. Hongeraaa
Kuna watu hata kuku hawawez ongoza akiwemo huyu
Hufaibwana hivi mnafikiriaga nini Kua uongozini lelemama au anatafuta kiki tutachagua hata machizi
Yaani dah ...!! Kuna watu ni kenge ila hawajijui kama ni kenge.....!! Sasa hili jinga litamuongoza nani....!!! Si utajikomba kwa wakubwa mpk baasi....!!
Kwa akili zako izo mwijaku tusinge kubali uwe sipika 😂😂😂😂🤣
Kuwa speaker wa bunge inahitaji experience kwenye siasa na bunge sio utoke Insta uje BUNGENI. Never
😂😂😂Kweri mwambie huyo na kofia yake kama ganda la chungwa Sema nimependa sana leo kaongea vizuri ana busara kumbe safi sana mwijaku👍
Kutoka kuwa chawa then awe spika wa bunge la Jamuhuri, total comedian.
😅😅😅
Jamaa alitaka kiki mpaka kwenye upande huu. Jamaaaani
We shida yako kitengo huna lolote.. unajrbu kumtongonza mama akupe kiti 🤣
Mimi binafsi naona ungalie Mambo mengine yanayofanana nawewe ktk siasa hufiti
Na machawa wanataka usipika hongereni
🤣🤣🤣
Mimi nampongeza mwijaku kwa inshu ya kuthubutu watu wengi hushindwa kuthubutu kwasababu ya woga na kutojikubari sawa mwijaku Hana experience serikalini lakini Wenda angepita nayeye ndo ungekuwa mwanzo kwa upande wake na angepita now tungekuwa tunaongea mengine.
Mimi nawashaulini vijana tuwe na ujasiri katika kuthubutu/kujaribu Mambo yenye faida. nasivinginevo.
Kabisa aisee
SPIKA SPKA SPIKA SPIKA AMA kweli Tanzania imefika pabaya
Bora umekosa ulikuwa hufai kabisaa
Toka lini mtu mshakunaku akaweza kuiongoza serikali ya Tanzania si ataenda kugombanisha tyuu 🙄 hivi mama samia kabisaaa na usomi wake amchague mwijaku we kuweza 🤣🤣🤣🤣🤣
Ukizngatia huna ahadi za ukwel ahadi zako ni uongo utadanganya bunge ungetimiza ile ulioahidi kwamba ukifungwa na Yanga unavua nguo unatembea uch wa mnyama xx hujatimiza tutakuamin vp kauze ubuyu ndio kaz yakoo
Haki gan umemnyima, ?
Huyu muongoo 😂hkn wazir alokushawish😂
We nae mbwebwe sana nani angekupa usipika mtu mwenyewe lopolopo
Ww si ndiye uliyesema utavua nguo simba ikifungwa? Usije ukavua nguo bungeni 🤣🤣🤣
Nimnukuu Issa Azzam ,Sifa na Faida ndo maisha ya mwanadamu....
utapita kaka mungu akutangulie mbele naishi RDC uvira
Si Afadhali hiyo 1million ungempa MENINA akatumia na mwanao 🤨🤨🤨🤨🤨
Maisha yakimchanganya mwanamme hua ni hatari sana ila huyu achunguzwe vzuri
Eti kulisaidia taifa
Ulienda tu kuuza sura WWE labda ukaongoze ng'ombe
Mwijaku ni mtu mmoja anajua kutafuta umaarufu kwa kila hali maana alijua kabisa hapati nafasi lkn kaingia kujitangaza ..
CCM inavijana wa hovyo sana
Niwaambie kitu uthubutu wake lazima afikiriwe na kuna siku mtamwona sehemu njia za mungu hazichukiziki
Msimtukane jaman
Anatafuta kiki sana mwijaku anataka Kila jambo awepo
Chombo n Clouds pekeeeee
Polee
Mwijaku🔥🔥🔥🔥🔥
Unaweza vua nguo huko ikawa balaa mana akili yako inakutosha wewe
Hahahaaaaaa mbona unamfanyia hivo mwenzio????
Ndazaa kweli ww ata mjumbe wa nyumba 50 uwezi
Nchi hii ni ya drama tu kishalenga mbali uyo
Wewe huwezi kuwa spiker labda mtendaji wa kijiji wewe chawa wa konde boy toka zako
Huyu mwamba n shujaa sema watanzania dharau huzd Katka mtizamo
Kwan kakosea nn katiba imeruhusu wewe unaemkashifu hukielewi katiba yetu
Speech nzur na ya hekima
Uthubutu wake kongole nying kwake
Nchi hii n ya watanzania wote Wala s ya Koo au familia fln
Uyu taget yake sio uspika. Maana ata yy mwenyewe anajua kbs kuwa hawezi kuwa spika adi dunia inaisha. Ila lango lake ni kujiongelesha ongelesha mitandaoni ili rais Samia amuone akizan labda atateuliwa
Mwijaku is very strategically anajua wapi anataka kwenda
Mwijako anatafuta nafasi serikalini labda ateuliwe
Spka uwezi pata rabda waya wa shoti
Akuna mtu aliye kusaport Bwan
Uyu jamaa lengo lake sio uspika shidaake niukuu wa wilaya
😂😂😂😂😂 Eti spika
We kenge kweli ani kila sehem wewe unataka kujifanya mpambe
Kinachoniuma ni hiyo hela uliyoenda kuchukulia fomu 😭😭. Hela ilivyo ngumu nyinyi🤔🤔
Fala Sana ww
Kaka wewe nishuja insh'allah ipo siku utawashangaza watu
Umesikia vitu anavyoongea sasa ameanza kusifia raisi sasa alikua anataka kua spika wa raisi au Bunge yaani haya maisha hatari sana
Hajielewi, kazi anayoiweza ni uchawa tu. He is one fool who has never been in anything, hakuna mtu anayejielewa anayeweza kukubaiana na upuuzi wake.
Wahuni bana daah
Yan uyu jamaa ni mshamba kinoma nani ana imani na ww Pole tatizo unapenda san sifa uingozi utausikua ty
Akuamin nani wewwe mmmmh plehhhh
Tanzania mnamachizi wengi xana
Wanazingua mno
Tunajua ulikuwa umetumwa ndiyo ionekane kama kuna democracy
hapo mwijaku anakitu anakilenga kesho kutwa nyie hamjuwi ipo siku mtaona ye sio chiz msikilize vizury
Hapo ni bungeni au Clouds mbina mic zote ni za Clouds
Spika bunge la mashoga au
Kutoka kwenye chawa sasa unataka spik Chaw
Ndg zako wakinanani et Uspika 🙄🤪
Anahisi menina huyo
Dishi haliko sawa
Kaendeleze umbea huko mitaan Uspika na ushialawadu wap na wap? Katangaze umbea mtaan kule hakutakiwi watu wambea kama wew
Huyu kichaa
Naona press ina mic za clouds tu😂😂😂
🤣🤣🤣Half kweli
Mwijaku bwana
Huna lolote kalale bado mapema
Kila kitu ni utani ila kwa nchi ilivyo kuna siku atakuja kupewe cheo , ki utani utani tu
Umeona 💪
Kbs
Mwijaku anaweza kuwa kiongoz tena mzur sana
Uyu karogwa msaidieni
We kuma kabisa kagombee nafas ya umbea au uropokaj msenge ww unaharb tasnia ya wasanii hata ubaloz hupati msenge ww hujitambui kagombee uchawa umbwa mkubwa ww huwez uongoz wwte ww
Anatafuta jina
KWA MARA YA KWANZA MSHKAJI KUONGEA MANENO YAENDANAYO NA UMRI WAKE
Umethubutu inafurahisha ucheshi pia umechangia
Duh!!!!!
Mwemba ni jina la kikongo. Tunampaje uspika mtu mwenye asili ya kongo.
Mwembaaaaa
mimi hata sijasikia anachozungumza nimekata sauti, kilichonileta ni coment tu.
Hahahaa nikweli
Kirandage una hahaa
Bunge sio la wehu wewe gombea uchawa utapata
Punguza sifa za kijinga ww muha
Mpumbavu sana wewe ulifikilia ni kiki iyo au
4
Mmh ovyoo
👏
Uwiii na ulivyo fuku ci ungefukunyua cili za nchi 😂 honger kwa kusubut
😂😂😂😂😂😂
TUACHE UBISHI HUYU NI YEYE KABISA
th-cam.com/video/hgGtbkhGp6k/w-d-xo.html