Mubarikiwe sana katika kufundisha watu, nimefarijiwa kweli kupitia huu nyimbo
Amen
Imetulia vizuri sana.
Kazi nzuri
Mungu awabarika sana wa tumishi wa bwana ila nawahomba albumu nyingine msivahe rangi nyingi kichwani chagueni rangi moja tu ...Asanteni kwa usikilivu mwema🙏🙏
Amen amen Mungu awabariki sana👏👏
Amena kubwa niki sikiya wimbo uhu nakumbuka kwaya yetu kwakweli
Wimbo huu unanikumbusha sana ndugu zangu luundu na sadi hongereni sect 4 kwa kazi hii njema
MUNGU awabariki Sana vijana wetu pia awazidishie amani tell.
Wimbo mzuri Sana.
Nice song god bless all of your great work
amen kubwa..tunaomba mungu azidi kuwabariki kwamaana nimengi ambayo mnayahandaa kwa kazi ya bwana .....👏👏
Amen huu wimbo unanibariki sana
Mubarikiwe waimbaji wa nyimbo za Mungu
Wimbo huu unanipa majonzi sana mpaka nasikia rohoni yaani umeimbwa kiuruma huruma hivi alahaniwe aliye msaliti mwokozi.
AMEN mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri
Safi sana mungu awabariki good job
Mungu awabariki sana nataman ningekuwa apo
Mungu awajalie neema kwa huduma hii ,kwa kweli hayupo awezae kupingana na "Jemadari" wa vita ahishie juu ya mbingu za mbingu,ELSHADAI ndilo jina lake.Malipo yenu ni mengi tena yanafurika kama maji ya bahari kuu.
Tunawatakia baraka tele wana Ujumbe kwaya
Mubarikiwe sana kabisa
Mubarikiwe sana
Barikiweni sana watumishi
Mubarikiwe sna waimbaji
Mnahimba vizuri Sana wanduguzanu mubari kiwe Sana
Mungu awabariki sana tu tuma zengine
Secta ya inne yetu mbarikiwe sana ,Nikweli moyo unahuma pale unapotendewa mambo mabaya
Mungu awape nguvu
Mungu awabariki sana🙏
Mungu awazidishie talent zenu
Mungu awabariki katika kazi zenu
Huu wimbo huwa unanikumbusha kambini Nyarugusu kweli.
Nice song God bless you so much
Mbarikiwe sana
mubarikiwe
Amin🙏💝
Bwana yesu awabariki sana kwaya etu ehee mungu ibariki kwaya yetu iendelee mmeimba vizuri sana ilatuna omba wimbo mmoja ivi amukuiweka uku you tube nilikua naitaji nsaada wenu muiweke naipendaga sana wimbo huo unaitwa uwemacho ndugu yangu au nyakati zamwisho au sikuza mwisho please muiweke mubarikiwe sana na mungu awajalie amena0
Fantastic,
!
Mubarikiwe SANA
Napenda sana kazi jema
Amen
Hakunaga TAJI ya UBISHI labda niwakumbushe ilo tu🙏
Amen 👍👍👍👍
Mungu awe pamoja nanyi katika Kila mfanyalo
Amina
AMEN 🙏❤️
Mungu awatiye nguvu ili siku moja mfikile lengo letu, mkaimbe zaidi mbinguni. Nakumbuka kazi yangu, Mungu awabariki sana.
Amenaaaa
Nice song
Eti labda ungewatuma malaika za mbingu. Wala ungeshuka mwenyewe maana watu wamekuwa viziwi hawasikii ya MWANADAMU mwenye mwili kama wao🤔.
NAPENDHA SANA TU
Amen🙏🙏🙏🙏🙏
Nakuombea uwemwimbaji kama m.mwahipaja
Baraka telee
🙌💪🙏🙏👏💞
Mwenyezi Mungu awe nanyi daima
Kali sana hii kbs moyo unauma kweli
bed song
Mubarikiwe sana
Mubarikiwe
Amen
Mubarikiwe
Mubarikiwe sana kwa ujumbe Nzuri Mungu awabariki
Nawe pia