Viongozi mbali mbali wasifu hatua ya Rais na Raila kuondoa tofauti zao na kuweka taifa mbele

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Viongozi mbali mbali wameisifia hatua ya Rais William Ruto na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga kuondoa tofauti zao za kisiasa na Kuweka Umoja WA taifa mbele kwa kuwahusisha viongozi wa upinzani katika baraza la mawaziri. Haya yanajiri huku baadhi ya Wakenya wakiendelea kumshutumu vikali Odinga kwa kile kinachotajwa kuwa usaliti wa mabadiliko yaliyoshinikizwa na vijana wa Gen Z.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 2

  • @keithouma8238
    @keithouma8238 หลายเดือนก่อน +1

    Gen z walisema hawana mkubwa wao Sasa mbona wanalaumu Raila na Raila siyo mkubwa wao wawache kihere

  • @nishastar720
    @nishastar720 หลายเดือนก่อน

    Raila na makosa .amedandia jambo lisilo lake,genz hakutaka mwanasiasa awahadae