#Live
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV
nafatilia sana hayo mafundisho. barikiwa mtumishi. huku USA mji wa Arizona tunafatilia. Amen
Napenda sana mchungaji unavyo hubiri
Nashukuru. Nimetoka mbali na hii mafudisho. Nimebarikiwa
Amen and Amen. Without the Holyspirit in our lives then our walk with Christ is vague. Thank you for this preaching. GOD bless you all.
Am a kenyan living in Qatar doha may God rescue innocent souls
Your teaching is powerful God bless you
Nakuelewa Sana MCH,
God bless you always mutumishi tupe siri zote
Nifanyeje mtumishi
Amen jina la bwana libarikiwe mungu akubariki mchungaji uzidi kuyanena
Thanks for the final prayer. Am blessed. Man of God may The Almighty God bless you abundantly.
Amen Amen glory to God
Mungu akubariki Mchungaji. Mambo haya yako kwetu na huku nimeolewa . Niombeemchungaji
Tushinde in the name of Jesus xst Amen
Weeee ushuhuda huu unatisha Sana
Nimepanda mahubiri yako Mungu akubariki
God have Mercy upon Kenya
Nimebarrkiwa sana na nimeokoka kupidia.kwamaubiri yako muchungaji wa mungu mungu aendelee kukupa nguvu
Amina
Hata mimi I was shocked by that act
Amen,, MUNGU awabariki, tunabarikiwa sana
Amina.
Please help me about this I really want to be fine in Jesus sadaka zangu Zote zilipelekwa kusimu bila ya mimi kujuwa
Mm nakumbuka nilipokua mdogo nakumbuka tulipelekwa kwa mgaga tukachanjwa sote dada na kaka sote tukachanjwa nakupakwa dawa nyeusi
Mimi nimo
Katella
Ulikosea kuwaacha vijana wapotee kwenye pigo la shetani
Maskini Alibino wameibiwa wengi sana
Amen
How can I meet Men of God
I'm humble watching from Nairobi Kenya
MCHUNGAJI KATEKELA mimi napenda lota niko napigana na kaka yangu mudogo inamanisha nini ?? Naomba unambiye plz
Niko na swali what can I do ili niepuke monitoring spirit napitiya Hali ngumu Sana jini huniita Sana ni kwa nini help me on what 2 do about this situation aliye niuza kusimu Asha kufa
Mungu huyu niwa ajabu sana. Mwachen Mungu aitwe mungu
Shuhuda zako nimezipenda mchungaji Katelela, mafundis
Mafundisho yako ni mema Sana Mungu akubariki sana.
Amen
Amen