MTUMWA WA MAPENZI 07

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 102

  • @ElizabettEmanuel
    @ElizabettEmanuel 3 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani tusiangalie. Tu tujifunze kwamba si kila mausiano lazima yafikie ndoa nas kila anaesema anakupenda. Bas anakupenda. Haya nimaisha halisi ya mausiano yetu yote kumladh 😂❤❤❤❤❤

  • @zuleykhasaid967
    @zuleykhasaid967 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani mtumwa ni nini lakini tukudhalilisha hivyoo 😂😂😂 jamani heeeeee

    • @MankaTemba-z3d
      @MankaTemba-z3d หลายเดือนก่อน

      Jmn ndo uhusika wake😂😂😂😂😂

  • @vesitinarevocatus7333
    @vesitinarevocatus7333 9 หลายเดือนก่อน +6

    Ilanyie kitebe anaumbo kaumbika😂😂😂 kweli kitebe popote ulipo mauayako 🌷🌷😅😅

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣

  • @RoseKasichana
    @RoseKasichana 2 หลายเดือนก่อน

    Kitebe huyu ni zuu bila shaka shape. Nayoooo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hii move nimzuri na inamafunzo mazuri sana wanawake tujifunze kuwa watumwa wamapenzi 😣🤲💯💯🥰🥰🥰

    • @busatitv
      @busatitv  8 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 9 หลายเดือนก่อน +3

    Duuh kweli mtumwa,,,,ila hata kwetu kuna wanaume kama fudi kila

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @Amina-s2n3k
    @Amina-s2n3k หลายเดือนก่อน

    Wewe mtumwa wamapenzi kweli mm koma nanyenyekea kazi tu

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 2 หลายเดือนก่อน

    Ayo machozi yemyewe atafamya.kiramutu akuzarau

  • @ElizabettEmanuel
    @ElizabettEmanuel 3 หลายเดือนก่อน

    Unatongozwa siku moja. Unatoa na. Maelekezo ya vifungo kudadeki alaaaa😅😅 kumladh

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is หลายเดือนก่อน

    Mapenzi ya nyokoooo kwan mwanaume ni yeye pekeyake pumbavuuuu 😢😢😢😢😢

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 2 หลายเดือนก่อน

    Fundi killer xk yako yaja naisubiria wema wa maskini hauna cf kweli

  • @achkarcell4373
    @achkarcell4373 9 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo jamaa ni uyo mdada alompata sai awe na ukimwi ndo na yeye akipate pate kama vile anavyo mtesa mwenzake

    • @aishaallyaishaally3220
      @aishaallyaishaally3220 9 หลายเดือนก่อน

      Nataman pia😂😂😂😂😂😂😂

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

    • @maysaghjii5058
      @maysaghjii5058 9 หลายเดือนก่อน

      Anifa uyosimume

    • @maysaghjii5058
      @maysaghjii5058 9 หลายเดือนก่อน

      Anifa wajidanganya tu yatakukuta tu

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 3 หลายเดือนก่อน

      Mwenyewe anaonekana ni mrahisi sana hata inawezekana anaukimwi kweli😂😂😂

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o หลายเดือนก่อน +1

    Mtumwa Kwan ww unagalia kwenye kishundu mapenz ya nyokoo we bwabwa mtumwa

    • @busatitv
      @busatitv  หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

  • @maryammaryam1560
    @maryammaryam1560 9 หลายเดือนก่อน +1

    Fundi wamapenzi Fundi wauharibifu WAnawake afu WAnawake nao hakili Hamna hao😊

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Aiseee balaa zito

  • @AlfaChiii
    @AlfaChiii 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana hii Ina hisia sana

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 9 หลายเดือนก่อน +2

    Yani mtumwa unaomba hadi pesa ya chakula uwapikie hao kenge we kweli mtumwa zuzu😂😂😂

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda หลายเดือนก่อน

    Jamani fundi wewe unautumia vibaya fundi wako kuwa naimani

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mi siezi pika wallah naeza chemsha maji nikawamwagia mfie mbali kudadekii

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani kuwa mwanamuke jasili.mbona machozi amezidi

  • @perisbeib2126
    @perisbeib2126 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan Mtumwa kama Mtumwa kweli maana sio kwa hali hiyo😂😂😂😂pumbavu mm

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Kabisaaa

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani ww fundikila ni Mungu mpaka unasema atakua mtumwa maisha yake yote litakukuta zito ww your time Inakuja

  • @maryammaryam1560
    @maryammaryam1560 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jishauwe Vizuri anifa update najambo ndio furaha yangu mtumwa naweye mbona Huna akili weye jamani akaa

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣

  • @taharamohd4853
    @taharamohd4853 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yan uyu mtumwa kama limelogwa na uyu lifundi Kila tipwatipwa mvivu wa mnyaa

    • @MankaTemba-z3d
      @MankaTemba-z3d หลายเดือนก่อน

      Ndo character alyopewa😂😂😂😂

  • @MunyirunguHonest
    @MunyirunguHonest 3 หลายเดือนก่อน

    Halikini mtumwa wacha kulia lia kama mtoto mimi sipendi tabia yako hiyo kuwa na amani hi simwisyo ya maisha yako

  • @nadzuwazidi
    @nadzuwazidi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Anifa leo ni mwenzio anaitwa bwenyenye kesho ni wewe ulijue hilo😢😢

    • @busatitv
      @busatitv  3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @umaima1178
    @umaima1178 9 หลายเดือนก่อน +1

    Weweeeeeee wera weraaaaaaaaaàa busati ❤❤❤

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      😍😍😍🥰

  • @ShamilaOmar-v9y
    @ShamilaOmar-v9y 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hapo nasi tunapaswa tujifunze kitu

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Kabisaaa

  • @JessicaJennifer-l6m
    @JessicaJennifer-l6m 27 วันที่ผ่านมา

    Fundi kila jamani mbona wamfanyia mtumwa ivo

  • @jaliamartinz
    @jaliamartinz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Mtumwa😢😢

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwn hyu mtumwa alirogwa ama nin mbya mbna sielewi yani waletewa mwenzio na bado uko lakin wee anifa hyo kai hakupendi atakuchezea mwisho akuwache ila tambua iko sku hayo.machozi ya mtumwa yatakupa funzo

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Kapenda sanaaa

    • @nadzuamrema5837
      @nadzuamrema5837 9 หลายเดือนก่อน

      Kupenda ukwaju

  • @NipherRubia
    @NipherRubia 3 หลายเดือนก่อน

    haki fundi killer vane😢😢😢😢

  • @hlimaa5182
    @hlimaa5182 9 หลายเดือนก่อน +1

    Anifa umedandia mapenzi subiri upate lako langu jicho 🤔

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Alooo

  • @salmsalmo931
    @salmsalmo931 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumwa mtumwa mtumwa nimekuita mara3 achana nae mwanamme hayupo peke ake na nataman huyo mwanamke awe na ukimwi alompata sasa hivi na yeye aje kuteseka kama anavyomtesa mtumwa

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Mtumwa amekwama kabisaaa

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtumwa kichaa saanaa 😮

  • @paulinanhinde6845
    @paulinanhinde6845 3 หลายเดือนก่อน

    Fundikila 😂😂😂😂

  • @jubaidamiss2409
    @jubaidamiss2409 4 หลายเดือนก่อน

    Next ❤❤❤❤

  • @antoniadudus7917
    @antoniadudus7917 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mutumwa wee fala kweli😂😂

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

  • @ElizabettEmanuel
    @ElizabettEmanuel 3 หลายเดือนก่อน

    Upo apo hahahaha apana

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 9 หลายเดือนก่อน +1

    Anifa litakukuta jambo zito kuliko mtumwa we jisheuwe tu kwa huyo Nyoka asiye jua thamani ya mwanamke

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Yani

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 3 หลายเดือนก่อน

      Wanawake wengine hawatumii akili ety unaona mwenzako anateswa ww ndio wajiona uliumbwa na gold ety

  • @SaquinaMinrage-m4o
    @SaquinaMinrage-m4o 2 หลายเดือนก่อน

    Na huyu mtumwanae

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 9 หลายเดือนก่อน +1

    Majina mengine jaman😢😂

  • @MikiMorningmiki
    @MikiMorningmiki 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri 😂

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @faridahally6314
    @faridahally6314 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kai km ndio angekuwa mwanaume wangu ningemkata hiyo naniliu yke🙈

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣

    • @NaomimuniweMteti
      @NaomimuniweMteti 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Sofiashabani780
    @Sofiashabani780 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimewahi sijaachwa mbali sana

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Umewahi sanaa

    • @Sofiashabani780
      @Sofiashabani780 9 หลายเดือนก่อน

      @@busatitv ila Kai ywaniudhi mbona ywamtesa mwenzake hivo sioni nikiendelea kuagalia mm

  • @Hidaya-e7x
    @Hidaya-e7x 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona vipande vifupi sana

  • @fatmahraseid7019
    @fatmahraseid7019 9 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo mbwa unakata nyeti zake tu

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Balaa zito

  • @DanilovianaViana
    @DanilovianaViana 3 หลายเดือนก่อน

    Kai utajutia nafsi kua na uyo anifa

  • @ToshaMwema
    @ToshaMwema 9 หลายเดือนก่อน +1

    Muvi ni nzuri ila fupi sana wapedwa

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Burudani bila kikomo usijali

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 2 หลายเดือนก่อน

    Jalibu kuomyesha.ujasili basi

  • @timabakariy4559
    @timabakariy4559 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi pia nimewah from 🇸🇦🇸🇦

  • @HazinaSaid-ze8lk
    @HazinaSaid-ze8lk 9 หลายเดือนก่อน

    Majina mengine hayafai aki

    • @LatiffahHassan
      @LatiffahHassan 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @Sofiashabani780
    @Sofiashabani780 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kai ywanisinya natamani hata nisiangalie hii series

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Poleeee

    • @Sofiashabani780
      @Sofiashabani780 9 หลายเดือนก่อน

      @@busatitv khaaaaa

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 9 หลายเดือนก่อน +2

    Wa pili

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Saafi

  • @GresGres-jg1kz
    @GresGres-jg1kz หลายเดือนก่อน

    Fundi wa mapenzi kila mahali

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 9 หลายเดือนก่อน

    Umeyataka

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs หลายเดือนก่อน

    😂😂❤❤🎉🎉

  • @mwatakajehamisi1724
    @mwatakajehamisi1724 9 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      😍😍

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @shadyazitueni5338
    @shadyazitueni5338 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huy mtumwa nae chiz yan umeletew mwanamke ndan alaf bad uwapikie aaaah hapan jaman sio kiivyo

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      Yani balaaa

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 9 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

    • @busatitv
      @busatitv  9 หลายเดือนก่อน

      🥰🥰😍😍🙏🙏🙏