Mahujaji wa Tanzani wakiwa Jamarat kutupa Mawe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @mohamedabdulkadir2667
    @mohamedabdulkadir2667 4 หลายเดือนก่อน +4

    MashAllah maelezo safi kabisa, Mwenyezi Mungu awakubaliye hija yenu. Amin

  • @MikkyKikula
    @MikkyKikula 3 หลายเดือนก่อน

    Aah alhamdulillaaah ndugu zettu mlio fika latka jumba tukuf la allaah aazza wajallaaa nass allaah atukaalie rizq za kher ishaallah atujaalie kufka maeneo hayoo

  • @maryamhimid5577
    @maryamhimid5577 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awafanyie wepesi na kila la kheri mahujaji wetu katika ibada zao za huko makka

  • @khadijaKidusi-dq2bc
    @khadijaKidusi-dq2bc 4 หลายเดือนก่อน +1

    subhannalah Alihamnduliah Alahuakbru. Nasi mungu atujaalie Nasi tukahiji Kama sisi

  • @AsiaDrasai
    @AsiaDrasai 3 หลายเดือนก่อน

    Allah awafanyie wepesi

  • @Mariamu-xv9mp
    @Mariamu-xv9mp 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu wape,wepesi

  • @QueenFridausi
    @QueenFridausi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu amipe wepesi mashaall kweli mungunimkubwa

  • @leonceuwandameno6378
    @leonceuwandameno6378 4 หลายเดือนก่อน

    Duu, kazi kweli kweli!

  • @Zawadi-gp5vy
    @Zawadi-gp5vy 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenye mungu awatakabaliye ibada zao Nasisi tulobakiya mungu atupe uwezo naniya ya kwenda kufanya ibada ya hija na siye

  • @MamaIda-v3k
    @MamaIda-v3k 4 หลายเดือนก่อน

    Mashalla- Mashallah😅

  • @brownmarwa
    @brownmarwa 4 หลายเดือนก่อน

    mwenyezi msaidie kijana wangu Faraji matiko marwa arudi salama awe mzima wa afya.

  • @husseinmgoo3074
    @husseinmgoo3074 4 หลายเดือนก่อน

    Ok

  • @KhadiaAli
    @KhadiaAli 4 หลายเดือนก่อน

    MWENYEZIMUNGU awafanyie wepesi mfanikishe hilo

  • @HAPPYSULE
    @HAPPYSULE 4 หลายเดือนก่อน

    Hii nini Mungu awape ufaham

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 4 หลายเดือนก่อน +4

      Usijudge dini za wenzako wakati dini yako bado hujaifahamu ifahamu ya kwako kwanza!

    • @shakirashakira-gc2yw
      @shakirashakira-gc2yw 4 หลายเดือนก่อน

      Akupe nawewe pia mana umelala usingizi wa akili na kuwamka mbaka Allah akupende akuwamshe pole kwa usingizi huo

    • @RajabJr-r6y
      @RajabJr-r6y 4 หลายเดือนก่อน

      Fata kile unachukiamini ww kw mujibu wa imani yko ucipende kuteta imani ya mwenzko km ww ni muungwana

    • @asmaalli8100
      @asmaalli8100 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe akili Huna kwa nini udharau imani ya wenzako..

    • @asmaalli8100
      @asmaalli8100 4 หลายเดือนก่อน

      Eti nini kile wewe unaona nini ?