RICHARD ZEBEDAYO - Tabu Zangu ( COVER )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • original song by Rose Muhando
    SONG COVER BY Richard ZEBEDAYO
    PRODUCTION HOUSE: MORIOX MEDIA Ltd
    Audio Producer : Kiriki
    Video Director : kayitare
    D.o.p ; kayitare
    Video Editor : kayitare
    colorist : kayitare
    location ; somewhere in africa
    LYRICS
    Tabu Zangu BY Rose Muhando
    Hallelujah
    Naitazamia mbingu mpya na nchi mpya
    Huko nitapumzika milele
    Taabu zangu zikiisha, nitamwona Bwana wangu
    Akinikaribisha kule, karibu upumzike
    Hapa ndipo nyumbani kwako, hapa ndipo mahali pako
    Hapa ndipo makao yako, karibu upumzike
    Haleluya nitaketi kwa furaha, nitapumzika kwa mungu, nitapumzika
    Nitavikwa mavazi meupe, nitavikwa taji ya ushindi
    Taabu zote na mateso yote, hakika vitakoma
    Nitaungana na malaika, maserafi na makerubi
    Tukiimba nyimbo za ushindi, haleluya usifiwe
    Naona mbingu zimefunguka, na Yesu yu mkono wa kuume
    Akinitazama kwa upole, kwa macho yenye huruma
    Naona mbingu zimefunguka, na Yesu yu mkono wa kuume
    Akinitazama kwa upole, kwa macho yenye huruma
    Tatazama vidonda vyangu, tatazama makovu yangu
    Niloumizwa duniani, na watu wa ulimwengu
    Tatazama vidonda vyangu, tatazama makovu yangu
    Niloumizwa duniani, na watu wa ulimwengu
    Tachukua kitambaa, atanifuta machozi
    Akisema pole mwanangu, Yesu tanikumbatia
    Bado kitambo kidogo, nitapumzika
    Yesu atanipeleka, kwenye kijito cha uhai
    Huko taniosha mwili wangu, nitapewa mwili mpya
    Nami nitaimba hosana, hosana ndiye mbarikiwa
    Nitaruka kama ndama, milele hata milele
    Yesu atanipeleka, kwenye kijito cha uhai
    Huko taniosha mwili wangu, nitapewa mwili mpya
    Nami nitaimba hosana, hosana ndiye mbarikiwa
    Nitaruka kama ndama, milele hata milele
    Tavumilia, kwa ajili yako Baba
    Yatosha walivyokuonea, Yatosha walivyokudhulumu
    Yatosha walivyokupiga, karibu upumzike
    Yatosha walivyokuonea, Yatosha walivyokudhulumu
    Yatosha walivyokupiga, karibu upumzike
    Yatosha walivyokuudhi, Yatosha walivyokutukana
    Yatosha walivyokuzomea, karibu upumzike
    Yatosha walivyokuudhi, Yatosha walivyokutukana
    Yatosha walivyokuzomea, karibu upumzike
    Haleluya, mateso yangu yakiisha nitauona uso wa Mungu
    Nitamwona Yesu niliyepigwa kwa ajili yake
    Yatosha walivyokuonea, Yatosha walivyokudhulumu
    Yatosha walivyokupiga, karibu upumzike
    Yatosha walivyokuonea, Yatosha walivyokudhulumu
    Yatosha walivyokupiga, karibu upumzike
    Yatosha walivyokuudhi, Yatosha walivyokutukana
    Yatosha walivyokuzomea, karibu upumzike
    Yesu atanipeleka, kwenye kijito cha uhai
    Huko taniosha mwili wangu, nitapewa mwili mpya
    Baada ya taabu, ni furaha
    #kenyagospel #tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #msaniimusicgroup #airtanzania #trending #nenolitasimama #msaniirecords#kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
    #kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
    AMENIWEKA HURU KWELI
    Nina Si
    Rose Muhando - Mapambio(official Video)
    Rose Muhando - Waache Waende
    Bella Kombo ft. Zoravo - Ameniona

ความคิดเห็น • 109