Hisopo-Kijenge SDA Choir (1st Album)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 11

  • @wilsoncharles2069
    @wilsoncharles2069 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu wa Mbinguni . The Nyikas and others, Mungu hatawaacha kamwe

  • @nellymnzava5277
    @nellymnzava5277 ปีที่แล้ว +2

    Baraka za Bwana ziwe zenu mnapomtumikia Mungu!

    • @wilsoncharles2069
      @wilsoncharles2069 8 หลายเดือนก่อน

      Habari za siku Nelly. Na wewe ulihama kuyoka arusha na kuacha kuimba?

  • @leonardalphonce8924
    @leonardalphonce8924 ปีที่แล้ว +1

    amina mungu awape nguvu mlieneze jina lake

  • @RahabuJoseph-sp5dz
    @RahabuJoseph-sp5dz ปีที่แล้ว

    Amina

  • @Antonyjoram
    @Antonyjoram 11 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana mnanikumbusha makambi parane 2001

  • @denicomar2782
    @denicomar2782 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikwe sana kwa nyimbo hizi nzuri naomba mtuwekee hizi nyimbo
    Dhambi Inatesa, Tangaza habari njema, Piga kelele paza sauti, Mpe Yesu Moyo wako, Jihadhari na Dunia
    Pamoja na nyingine za zamani zote hata kama hazina video tunaomba hata kwa audio

    • @kijengesdamedia7725
      @kijengesdamedia7725  2 ปีที่แล้ว +1

      Amina..
      Sawa sawa mtu wa Mungu tunazifanyia kazi... Tuendelee kubarikiwa.

    • @denicomar2782
      @denicomar2782 2 ปีที่แล้ว

      @@kijengesdamedia7725 Amen mubarikiwe pia