I'm definitely going to try this,,,,alafu dada I was suggesting kama that black bowl you use to mix your ingredients,just measure it before mixing and then later on just weigh it with the cake batter to avoid kutumia vyombo vingi
❤️❤️❤️❤️…mziwanda kimzani changu kama icho kina act abnormal yan namba zinajipelekepeleka tu kinaweza kutengenezeka au ndo ndo imeisha iyo ntafute kipya
Ubarikiwe kipenz Mungu azid kukuinua zaid kupitia wewe jamn nimeshajua kutengeneza keki an nakufatilia mnooo nilikua sijui kitu chochote ❤❤
Mwenyezi mungu akubariki kwa kutuelekeza kazi yako nzur sana
Woww nzur je kama huna maziwa inaweza ikatoka vizuri
Ni nzuri, Mimi nilikuwa nakosea nikiweka unga napiga sana na machine ila hii nimeipenda mno imetoka vizuri nimezingatia sheria 8
ibarikiwe kazi yako mziwanda
Amiin🙏
nzur sana
Kwakwel Nimeijaribu yan ni🔥🔥🔥nzuri mnoooo Ahsantee sana
Shukran kwa mrejesho ni keki nzuri sana hii😋😋👌👌
We missed you 🌹❤️ thanks for sharing 🤗
Thank You ❤
Amazing one✈✈
🤝
I'm definitely going to try this,,,,alafu dada I was suggesting kama that black bowl you use to mix your ingredients,just measure it before mixing and then later on just weigh it with the cake batter to avoid kutumia vyombo vingi
Hizi ukiziunganisaha ukapamba unauza beigan
Allah akubariki my
Amiin jazakal Allah kheri
Nice
Asante sana
Siagi ni ya kampuni gani
Hujaelezea moto ni no ngapi wa oven
Asante dear ..tunaomba na kipimo cha maziwa uloweka
Imeandikwa 1/2 kikombe
Hi sister can i half the recipe?
Halafu sijaona ukiweka flavour,inamaana huweki?
Yote inatoa keki kilo ngapi tafadhali.
Watching from kenya
Inatoa kilo na nusu
Which tins do you use is it the 6" or the 7"
❤️❤️❤️❤️…mziwanda kimzani changu kama icho kina act abnormal yan namba zinajipelekepeleka tu kinaweza kutengenezeka au ndo ndo imeisha iyo ntafute kipya
Sorry ,umekitumia kwa Muda gani tangu ununue ?
@@zayb_tz mwaka wa pili sasa dear
Oooh , me nimenunua wiki iliyopita, ningejuta Kama havimalizi hata mwaka 😃😃😃😃
Hii ni oven gani dada,nataka kununua oven,naomba nishauri ninunue aina gani na ya lita ngapi?,natamani nipike keki nzuri kama zako
recipe nzuri sana,ila nauliza maziwa yalikuwa kiasi gani halafu naeza nikaongeza pia na orange essence?
Waooh so yummy😋
We missed u alots darling😘😘😘😘
Please iyo 500g inatoa keki kilo moja ama?
Thank you dear.Naomba kuuliza ukiweka maganda ya chungwa na maji yake haina haja ya kuweka flavor?
Maganda na chungwa lenyewe ndo flavour dear...Hahitaji flavour nyingine...tena inakuwa tamu mno na inachambuka sana....
FLAVOUR ni yoyote utakayopenda inaweza kuwa Vanilla, Strawberry, Orange, lemon,Rose,pineapple,mango,bubblegum, n.k
Queen And Chill Thank you🙏