Mfumo wa kufuga ngombe wa maziwa, Kiambu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Ukulima wa ngómbe wa kufungiwa unaojulikana kama zero grazing ni chaguo la baadhi ya wananchi hapa nchini kutokana na ukosefu au uhaba wa ardhi ya kutosha.
    Lakini wengi hushindwa kuhimili aina hiyo ya ufugaji kutokana na gharama ya lishe hasa wakati wa kiangazi.
    Mkulima mmoja katika kaunti ya kiambu anatumia mbinu ya kuzika lishe ya mifugo wake chini ya ardhi kama njia ya kuihifadhi na hivyo kumuwezesha kuwa na akiba ya kutosha kulisha ngómbe wakati wote.
    Mwandishi wetu wa habari gladys kigo ametembelea shamba hilo na kuandaa taarifa hii...
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.co...
    / citizentvkenya

ความคิดเห็น • 20