TABIA 10 ZA KUZIBORESHA 2021 KAMA UNATAKA MAFANIKIO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Ungelipenda kuwa bora zaidi kuanzia mwaka 2021?Ungelipenda kuufanya mwaka 2021 kuwa ni mwaka wa mabadiliko makubwa ambayo ni chanya katika kila nyanja muhimu yaani ya kiroho,kiafya,kiutu na kifedha?
    Umechoka kujikuta kila mwaka unabakia vilevile hakuna mabadiliko?Umechoka kujilaumu kutumia fedha bila mpangilio?Kushindwa kuweka akiba na kuwekeza?
    Ungetamani uandike kitabu chako uache legasi,ujiongezee kredibiliti,upanue wigo wa koneksheni n.k?
    Video hii inaelezea tabia muhimu 10 za kujiboresha ili uweze kuwa bora katika kila nyanja nilizozitaja ya kiroho,kiafya,kiutu na kifedha.
    Tazama video hiyo mpaka mwisho na komenti ni tabia gani umekuwa ukiishi kwa ubora zaidi na ni tabia gani umekuwa ukifeli kuiishi kwa ubora.Kisha andika hapahapa mpango mkakati wako wa kujiboresha zaidi kwa mwaka 2021.
    Nifollow katika katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama vile;
    Facebook;
    www.facebook.c...
    Instagram;
    / manfred_manda_official
    LinkedIn;
    / manfred-manda-47525b193
    TH-cam / @talantamedia5796
    #TalantaMedia #Tabia #Mafanikio
    Nakutakia heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2021.

ความคิดเห็น • 2

  • @evodiusmbilla
    @evodiusmbilla 3 ปีที่แล้ว +2

    No. 3, No. 4. & No. 5 Determine one's economic life. Be blessed

    • @talantamedia5796
      @talantamedia5796  3 ปีที่แล้ว

      Thanks so much for your valuable time and comment.