UMOJA CHOIR FROM KKKT DK LOLE PARISH. KWAYA MCHANGANYIKO ILIYOSHIKA NAMBA YA KWANZA 2022 DK.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 7

  • @norahnicholaus5385
    @norahnicholaus5385 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana waimbaji na waumini Utukufu ni kwa Bwana .MCH.MTUI BARIKIWA

  • @JamilaMasoud-f7b
    @JamilaMasoud-f7b 4 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji Zabloni Mtui ni katika wachungaji wenye busara na hekima Mungu amlinde na mumtunza ampe maisha marefu Hongera sana baba mchungaji

  • @winfridashao8690
    @winfridashao8690 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongerrrrraaaaa mnoooo ❤️

  • @jacklintemba9100
    @jacklintemba9100 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki kwa huduma nzuri niinjoi sna

  • @KelvinShao-we5qp
    @KelvinShao-we5qp ปีที่แล้ว +1

    Pole nimewamiss sn

  • @bensonshayo8557
    @bensonshayo8557 2 ปีที่แล้ว +2

    Nzuri sana Mungu awabariki mno. Lakini ninaomba nishauri kidoogo.... kwa hao wanaochukua video, wajitahidi sauti ichukuliwe kwa utulivu maana haijatulia saaana. Asante

    • @lucyjsimpungwe7809
      @lucyjsimpungwe7809 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli usikivu wa sauti hakuna utulivu jamani